Nilishangaa sn mara ya kwanza kujiunga na jf... Mtu anaona sehemu nafasi za kazi thn kwa moyo mkujufu anapost watu waweze kufanya application...! Mungu awazidishie na uwe mfano kwa viongozi wetu...
Ndugu wanajamii kwa yeyote aliye sikia mahali penye kazi za muda mfupi za data collection anijulishe, nina experience therefore the output itakuwa nzuri sana. Nijulishe kwa message kwenye 0714...
Mi ni mwalimu wa wa sec diploma holder wa history na geography natafuta shule ya kufundisha dar au mkoa wa pwani nimefundisha sana mbali na dar sasa nataka kufanya kazi nyumbani(dar) uzoefu miaka...
mm ni kijana wa kitanzania. Ambaye nimemaliza DEGREE YA KWANZA MWAKA JANA CHUO KIKUU CHA DAR-ES-LAAM.BCOM. ila daah? nime apply mpaka nimechoka ngoma bilabila. Ila bado najipa moyo kama alivyosema...
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nasoma BA in Economics. Ninauwezo mzuri wa kutumia kompyuta na statistical package kama SPSS na E-views
.
Kwa sasa niko hapa Dar na nitafanya mahali popote.<br...
Assistant Lecturer (PUTS 14)
The Open University of Tanzania
Date Listed: 25/08/2011
Phone: N/A
Area: Dar Es Salaam
Application Deadline: 09/09/2011
Position Description:
From: Daily News...
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba...