Katika sehemu nliyojishikiza, sasa wameniambia wataniajiri! Hofu yangu ni jinsi gani nta-bargain hata kufikia kiwango nachokihitaji mimi! Kwa waliowahi pitia hili naomba msaada wenu!
ndugu wana jf, jana kuna tangazo lililetwa hapa jamvini na kampuni moja inajiita plusfinance wakasema kwamba wanahitaji watu kwa ajili ya business planing training ambayo itafanyika tarehe 26/27...
Jamani wana-JF nisaidieni nipate kazi za research assistance. Nina BA sociology na nimekua nikifanya prject/prgrm management ktk NGOs mbalimbali at least for the past 8 yrs. Natafuta kazi sijapata...
Tafadhali sana naomba anayeweza kupata gazeti la the guardian la tarehe 16/8/2011 anisaidie nafasi za ajira zilizokuwa zimetangazwa. Mm huku nipo kijijini na siwezi kulipata. Naomba sana msaada wenu.
Hello wana JF! Ndugu zangu nina Bachelor in IT(BSCS) na natafuta wadau wa IT wanaotaka kuongeza knowledge kwenye JAVA, C, C ++, C#, PL, AJAX, PHP, MySQL, HTML,XML, LINUX, CSS, JAVA SCRIPT na WEB...
Qualification: Holder of Diploma or FTC in Water Laboratory from recognized Technical College
Apply: Managing Director ,Mbeya Urban Water & Sewerage Authority
Box 2932, Mbeya
Details:Daily News...
Ndugu hivi tangazo la kazi linapohitaji mtu mwenye uzoefu wa miaka kumi wanakuwa wanhitaji wazee au kuna vijana wenye uzoefu huo au ni mbinu zao watoto wa wakulima tusiombe!
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba...
Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba...
naomba wakuu kama kuna mtu anataarifa zozote kuhusu matangazo ya
interview kwa kazi walizo tangaza mwezi uliopita katika chuo kikuu cha dodoma anifahamishe. Tafaadhali.
Mimi ni kijana wa Kitanzania,si mkimbizi ndo maana nimeandika id ya kitanzania,ni mtaalam wa ku design website...Kwa atakae hitaji naomba ani PM. Jaman naombeni msaada wenu ndo nimejiajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.