Asalaam Aleykhum,
napenda kuuliza kwa anayefaham mf. mtu umepangiwa kituo cha kazi na mwajiri anatakiwa akulipe kiwango cha fulani cha gharama kusafirisha mizigo yako kutoka ulipo. je, km kuna...
wadau tunaomba mwenye taarifa kuhusu soks la ajira afrika mashariki atujuze, maana ake hapa bongo hatuna uelewa vizuri, kwa mfano suala la raia wa nchi zingine za afrika mashariki wanaruhusiwa...
PLUS FINANCE COMPANY LIMITED invites candidates for BUSINESS PLAN writing training on 26/27 August, 2011. Successful trainees will be part time employed. (10 posts available)BOOK NOW
Contacts...
Habarini za wakti GT, naimani humu ndani ntapewa mwanga katika hili suala langu.. Natafuta internship kwenye kampuni yoyote ya bima. Nimejaribu kutuma maombi lkn mpk leo kimya. Nimesoma bima na...
Wana jamii naomba mnifahamishi juu ya upatikanaji wa kazi endapo utakuwa umesomea BPS/DPS (BACHELOR IN PROCUREMENT AND SUPLLY OR DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY) kwa hapa TZ na nimashirika yapi...
hi watz wenzangu... naomba kuuliza, kuna sehemu niliwahi kusikia kwamba ukimaliza chuo kikuu unapeleka application zako na endapo kutapatikana vacancy watakuin4m. je ni wp? wanataka uambatanishe...
nimeangalia comment zenu zikanitosha kabisa baada ya miaka kadhaa nimerudi tena na kutaka kukiuza kiwanja hiki hiki ambacho kwa wakati ule nilibadili nia baada ya kupata utatuzi wa baadhi ya...
Niambie wadau vp pole na majukumu pia nawashukuru wadau wote wa jamii foramu kutoa news wadau nawaomba mkisikia nafasi za JWTZ zikitoka za degree order ni lini zitatoka kwa mwaka huu