Upangaji wa kazi humaanisha kwamba badala ya kuchukua kazi nzuri iliyopo, unapanga mikakati ya kupata kazi inayoenda sawia na maazimio na mahitaji yako ya kibinafsi.
Unavyofanya kazi
Ratiba ya...
Bofya hapa!UNDP - Afghanistan - Jobs na hapa UNDP Jobs nimewaongezea link hii hapa http://careers.un.org/lbw/Home.aspx
http://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?job_id=19954
Nimeuptodate kazi tazama...
Mi nimaliza shahada ya sheria jamani: naweza kufanya kazi kama afisa sheria(legal oficer), human resources manager, credit oficer, relations oficer, tutorial assistance, administrative oficer nk...
Any interested party,
I am looking for a partner for establishing a consulting firm in Finance, Accounting, Secretarial and Taxation (FAST). I have already searched for a name from BRELA; and...
WANA JAMII kuna nyumba inauzwa kimara mwisho , njia ya kwenda bonyokwa - ghorofani.
nyumba ina vyumba vitatu, sebule , choo na bafu, jiko. na ina eneo kubwa sana la kutosha kujenga nyumba...
Ndugu zangu nisaidieni kama kuna ipo.Mimi nasoma chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MIST),mwaka wa pili diploma, idara ya Umeme na Electronics.Nisaidieni jamani likizo ya mwezi wa 12.
I am tanzanian,male aged 23 years old.highly self motivated and able to work under dynamic enviroment having completed Ordinary Diploma in Accountancy with good academic record (GPA 4.29).I have...
Wakuu hapa kuna gari inauzwa Toyota premio aina ya injini ni 7AT211 ya mwaka 1999.Inauzwa kuanzia 8.3ml ila maongezi yapo kwa mhitaji :email:kakakiiza@rocketmail.com au ni pm!kwa mawasiliano zaidi!
POSITION OVERVIEW
Provide support to NMM to ensure that Safety Objectives are aligned with the business plans and that all Safety Programs are implemented in accordance with Barricks Standards...
Jamani nisaidieni kazi kwenye taasisi za kiraia ,nimechoka kutumikia serikali ya awamu ya nne ,sasa yaelekea bado ninao mpaka m2015! nina BA katka utawala na uzoefu mambo ya jamii hii serious bosi...
Hamjambo wana JF. Naomba ushauri, mimi nafanya kazi kampuni fulani nje ya Dar na familia yangu ipo Dar. Huwa napata likizo kila baada ya miezi mitatu. Mshahara wake ni mzuri. Nimepata kazi Dar ili...
habari zenu wana jf, mimi ni kijana nimeamua kujiajiri natafuta fremu ya kuanzisha stationary iwe maeneo karibu na chuo chochote- dar. naombeni msaada wenu, asanteni.
kazini kwetu kuna mama mmoja wa kiganda, anafanya kazi nasi kama marketing manager...ila ana mambo ya ''kiswahili'', majungu, fitina, na kampeni za kutaka kusababisha wote tuliopo tuachishwe kazi...
Jamani nimekuja hapa jamvini nahitaji msaada wa mawazo.
nina BSc.Home Economics and HumanNutrition. nimehangaika kutafuta kazi bila mafanikio. ninajitahidi sana kutembelea website kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.