Wakuu nafasi ya Managing Director Tanesco imetangazwa ipo katika majira na mwananchi ya leo Ijumaa 18.09.2009.
Wenye uwezo jitokezeni mlitumikie shirika na mlete mabadiliko, ni nafasi nzuri ya...
The Kigali Institute of Science and Technology (KIST) wishes to recruit suitable qualified candidates for full-time teaching positions in its various departments. The following are the minimum...
Job Title: Deputy Commanding Officer, Arusha,
The appointment is limited to ICTR. Extension of appointment is subject to extension of the mandate and/or the availability of the funds. As the...
Habari wanajamii
Ni wazo ambalo limenijia baada ya kuona vilio vya watanzania wengi wanaotafuta ajira kua ajira nyingi sana zinatangazwa kwenye magazeti au sehemu zinginezo ni za kuzuga tu, kwani...
Hello JF,we have 7 volunteers available to work in DSM,Moshi and Mwanza Region for 3 Month from September.2009 to January.2010.
They can serve as System admin,Technical support or network...
INTERVIEW TIPS
Common interview questions
1. Tell me about yourself
The most often asked question in interviews. You need to have a short
statement prepared in your mind. Be careful that it does...
Mimi nimsichana wa miaka 27 nimemaliza advanced diploma katika chuo cha mipango Dodoma,
Wakuu niemelekezwa nije huku nijiregsiter na kueleleza yote niniliyo nayo naweza saidiwa.
Kifupi mimi ndo...
1. Job Title : Superintendent (HR General)
Source : Daily News, September 10, 2009
Requirements : Degree in Business Administration, Commerce or the Social Sciences
Job Description :Contribution...
Habari zenu.
Mimi ni mwanafunzi wa University of Johannesburg, South Africa; nasomea N.Diploma in electrical engineering (light current) mwaka wa tatu.
Natafuta in-service training (field) in...
Naitwa Consolata ni msichana wa umri wa miaka 24,nina certificate ya forest kutoka chuo cha kimoja Moshi, nimetafuata kazi kwa mda wa mwaka sasa sijapata,ni kweli elimu yangu ni ndogo sana lakini...
Wakuu,
Sorry for the delay ,
Nimesafiri kidogo, but this is what i have in my laptop mpaka sasa (for week 32).
Nitaendelea ku update (week 32) list kila wakati nikipata upenyo wa kuingia JF...
Jaribu kama unafit ktk vigezo wala usisite
MONITORING AND EVALUATION (M&E) OFFICER (position level will be dependent on the experience and qualifications of the successful candidate)
Please...
Chini ya Uangalizi wa Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana kupitia wakala wake wa Ajira (TaESA), Callix InfoTech ikishirikiana na Push Mobile Media Ltd imezindua rasmi huduma ya PATA...
mambo vp washika dau? hv zile nafasi za TPA walizotoa mwaka jana kibao kuna m2 anamjua m2 yoyote ambaye aliitwa au ww uliitwa? sina uwakika maana inchi yetu ni noma! poa kazi njema!
Kwa yoyote...
Ndugu zangu asalaam aleykum,
Tupo vijana kadhaa wajasiria mali tuna accounting package yenye jina tajwa hapo juu.
Tunaiuza kwa bei nafuu sana na ni nzuri kwa mazingira ya tanzania.
Kama unahitaji...
Job Title : Human Resource Officer
Source : The Guardian, September 3, 2009
Requirements : Bachelor of Arts or Business Administration or Psychology, Sociology or Advanced Diploma in above related...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.