Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

1 Vote
Mwishoni mwa miaka 1700's kuelekea mwanzoni mwa 1800 huko Uingereza kulikuwa na mapinduzi makubwa sana ya kilimo. Mapinduzi haya yalichochea kuongezeka kwa idadi ya watu kutokana na wingi wa...
1 Reactions
0 Replies
566 Views
Upvote 1
12 Votes
Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Upvote 12
2 Votes
Maisha ya ajira nchini yamekuwa magumu lakini tambua Dunia ni kijiji. Ukiwaza kufanya kazi popote Duniani Ni tofauti na mtu anayewaza kufanya kazi popote Tanzania. Wapo watu wamehitimu shahada ya...
2 Reactions
0 Replies
543 Views
Upvote 2
2 Votes
Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Mkoa wa Mara una watu wenye kabila tofauti na nyingi ingawa matamshi yao kwa asilimia kubwa hurandana kwani huwa katika hali ya ukali. Endapo kama wewe siyo mwenyeji wa Mkoa huo unaweza...
2 Reactions
0 Replies
295 Views
Upvote 2
1 Vote
Karibuni tena wapendwa kujifunza tena kupitia JAMIIFORUMS. Na leo tutapata wakati mzuri wa kujifunza juu ya mambo ambayo baadhi ya wajasiriamali/wafanyabiashara wanayakosea na hivo kushindwa...
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Upvote 1
2 Votes
Jamii yenye ukamilifu wa huduma ni ile inayojitosheleza kupata huduma zote za msingi zinazohitajika Kila siku. Bahati mbaya sana iliyopo ni kukosekana Kwa baadhi ya huduma za msingi katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Upvote 2
2 Votes
AKILI NA UBUNIFU NI MTAJI MKUBWA KULIKO FEDHA Habari za muda huu wanajamii forum leo katika jukwaa hili la story of change nina mada ninayoiwasilisha kwenu naombeni muipokee na ikaweze kubadilisha...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
Nawasalimu wana jamiiforums, haswa jukwaa hili pendwa la "stories of change" naimani nyote ni wazima. Ujumbe huu unalenga kusaidia jamii yote hususani vijana, wafanyakazi, wanafunzi na vizazi...
1 Reactions
0 Replies
846 Views
Upvote 1
1 Vote
Kwanza kabisa niseme asante kwa kuchukua muda wako kusoma thread hii ukimaliza unaweza weka maoni yako na ku vote ili niweze kushinda. Afya yako ya leo hii ndio chanzo kikubwa cha wewe kufikia...
1 Reactions
0 Replies
748 Views
Upvote 1
2 Votes
Mambo yatakayokuwepo miaka 50 Baadae. Inasikitisha kufahamu ya kwamba mambo yatakayokuwepo miaka 50 ijayo ni matokeo ya yale yanayofanyika leo. Je ni mambo yapi yatakayokuwepo miaka 50 ijayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 2
7 Votes
Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018. Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Upvote 7
1 Vote
Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine...
1 Reactions
0 Replies
500 Views
Upvote 1
1 Vote
Eti Choo Jamani, Dah! Moja ya kampeni kubwa kabisa kufanyika katika nchi hii ni “Nyumba Choo”, kampeni inayohamasisha ujenzi na utumiaji wa vyoo bora katika kaya zetu. Haina ubishi, ni suala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
2 Votes
Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
Nimeamua kuandika kuhusu swala la uvuvi haramu hapa nchini hasa nikiangazia ziwa Victoria Kwa sababu nina uzoefu mzuri kwenye shughuli za uvuvi. Nitaanza kwa kueleza maana uvuvi haramu na hali ya...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 1
2 Votes
ENCOURAGE SOLID WASTE MANAGEMENT TO THE COMMUNITY Waste management is gradually becoming a serious concern in Tanzania due to limited sorting at source and improper storage, collection...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
6 Votes
Utaratibu wowote duniani tunaoufuata binadamu katika kuhusiana, ni matokeo ya moja kwa moja au yasiyo ya moja kwa moja katika kutafuta njia zitakazo rahisisha uwepo wetu katika maisha yetu hapa...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 6
1 Vote
UTAWALA BORA NI KICHOCHEO MUHIMU KATIKA KUKUZA UCHUMI NA KUVUTIA UWEKEZAJI Utangulizi. Nianze Makala haya Kwa kutoa tafsiri/maana ya utawala Bora ambao naumaanisha katika makala yangu hii ya Leo...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Upvote 1
3 Votes
Kwa muda nafikiria,fumbuzi sijapatia, Madhila yanotukia,lini mwisho kufikia, Huru yakatuachia,mazuri kuyafurahia, Huwa nawaza ni nani,kumfunga paka kengele. Kwa siku zinavyosonga,ni mengi...
2 Reactions
1 Replies
271 Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…