Stories of Change 2021

Shindano la Kwanza - All thematic areas allowed

JF Prefixes:

3 Votes
Kwanza katiba ni nini? Katiba ni mwongozo wa kanuni na taratibu za kila siku za nchi. Katiba tunaweza kusema ndiyo nchi yenyewe maana hata viongozi na raia wapo chini ya mwongozo wa katiba...
2 Reactions
4 Replies
538 Views
Upvote 3
0 Votes
DEMOKRASIA KAMA MSINGI WA MAENDELEO Tanzania ni nchi ya kidemokrasia kwa mujibu wa Katiba ambayo viongozi wetu huitumia kuapa wanapoingia madarakani. Ibara 8(1) ya Katiba yetu inasema “Jamhuri ya...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Upvote 0
3 Votes
Ushauri wangu kwa Serikali kukabiliana na tozo la kodi kuwa kubwa na makato kwa wananchi na kutotegemea kwenye miamala ya fedha tu Serikali ingetazama namna ya kuwaokoa wananchi kwenye wimbi hili...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Upvote 3
0 Votes
Kwa mujibu wa sheria zetu, mtoto ni mtu yoyote mwenye umri chini ya miaka 18. Bima ya afya ni mfumo unao muwezesha mtu kupata matibabu pasipo kuwa na fedha taslimu pindi apatapo ugonjwa fulani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
NINI KIFANYIKE KUONDOA FIKRA YA KUAJIRIWA MIONGONI MWA KUNDI KUBWA LA VIJANA TANZANIA. UTANGULIZI. Suala la ukosefu wa ajira limekua tatizo kubwa sio Tanzania tu bali dunia nzima. Tanzania ina...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Upvote 0
0 Votes
Tatizo la ajira nchini bado halijapata ufumbuzi wa kudumu hasa kwa rika la vijana. Ila kuanzia miaka ya 2005 ujio wa vyombo vya usafiri vya bei ya wastani kama bajaji na pikipiki vimekuwa msaada...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Upvote 0
2 Votes
Changamoto za maisha /mafaniko katika maisha zinatufanya kuanzisha vitu vingi lakini tunashindwa kuona mwisho wake au matunda yake/mafaniko kwa mawazo yetu Vitu vingi au mawazo mengi yanakufa...
1 Reactions
2 Replies
774 Views
Upvote 2
1 Vote
Limekuwa ni swali katika Bongo za vijana wengi, kipi ni bora ama muhimu zaidi katika ulimwengu wa sasa baina ya Fedha na Elimu? Bila shaka kama swali la aina hii angeulizwa kijana wa miaka ya 80’...
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Upvote 1
3 Votes
Habari Mpendwa msomaji wa JamiiForums, Leo nimeona nitoe uelewa wangu huu ili niwashirikishe jamii ya kitanzania, hasa wapenda maendeleo na wale wanao tamani kuiona Tanzania ikikua kiuchumi...
2 Reactions
4 Replies
826 Views
Upvote 3
1 Vote
NGUVU YANGU NI SERIKALI, NA MIMI NDIYO SERIKALI YENYEWE! Nilipokuwa mdogo, sikuwa natambua umuhimu, ama kazi za koki ya bomba la maji kwasababu mara zote niliona mabomba hususani sehemu za umma...
1 Reactions
0 Replies
547 Views
Upvote 1
0 Votes
TATIZO SI MFUMO WA ELIMU Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Upvote 0
1 Vote
Medical personnels… be it doctors, nurses, lab assistants you name it... Are humans just like the rest of the people on this planet earth.They have feelings meaning they get hurt, they need time...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Upvote 1
10 Votes
Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba...
2 Reactions
1 Replies
784 Views
Upvote 10
4 Votes
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni matumaini yangu mu-bukheri wa afya. Mara baada ya salaam hiyo naomba niingie kwenye hoja yangu moja kwa moja. Awali ya yote, mada yangu...
1 Reactions
6 Replies
668 Views
Upvote 4
20 Votes
Heshima kwenu wasomaji na wapiga kura. Leo nataka niwape vijana fursa ambayo kwa miaka imedharaulika. Biashara ya maduka ya vyakula inaweza kumtoa mtu yeyote yule lakini inategemea na eneo na...
8 Reactions
7 Replies
3K Views
Upvote 20
0 Votes
Watanzania wengi wanasumbuliwa Sana na ukombozi wa kifikra, Changamoto nyingi Sana za Maisha zinaielemea Jamii kwa sababu ya Elimu Mbovu na Mijiundo ya kiutawala tuliorithi kwa wakoloni! Hii...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Upvote 0
7 Votes
1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 7
5 Votes
Janga la ukosefu wa ajira linaloikumba nchi yetu limepelekea kushuka thamani kwa elimu na kudharauliwa wenye elimu. Watu wamefikia kusema huku mtaani kwamba hakuna haja ya kusomesha watoto kama...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Upvote 5
0 Votes
Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Upvote 0
2 Votes
Tanzania ni nchi ambayo pato lake bado lipo katika ukuaji japokuwa tupo katika uchumi wa kati ila tunasafari ndefu ya kufika pato la juu. Hili tutaweza kulifikia endapo nchi na wananchi wake...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
Back
Top Bottom