Habari za muda ndugu zangu Watanzania,ni matumaini yangu tuko salama na tunaendelea kupambana kuijenga nchi yetu.
Sote ni mashahidi kwamba katika miaka ya hivi karibuni tangu kuingia kwa...
AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua.
Ni...
UTANGULIZI.
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na changamoto kubwa ya watu wengi kupata maumivu ya viungo sehemu mbalimbali za mwili. Zipo sababu nyingi zinazosababisha watu kupata...
TUENZI YA WAASISI WETU KWA USTAWI WA JAMII ZETU.
Na Nkurumah wa Karne ya 21.
Ni hudhuni, ni majonzi, ni machozi na taharuki kubwa kwa kijana, mwana wa Afrika Mwenye uzalendo na fikra chanya kwa...
Kifungo ni moja ya hatua za kumuwajibisha mkosaji ili atambue kosa lake na aweze kujirekebisha kwa kutokufanya tena kosa hilo na hata makosa mengine.
Mtu anapofanya kosa na kupewa kifungo au...
TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO
Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa...
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Raisi wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana...
Na Ibrahim Rojala
Ondoka,nenda kwenu,mwanamke gani wewe,beba mizigo yako na watoto wako,sipendi ujinga!
Haya ni baadhi ya maneno ambayo yamekuwa ni kawaida kwa wanawakewngi kuyapokea kila...
Katika vitu vinawatatiza wa mama wengi mtaani ni kupata shuguli itakayowaingizia kipato cha kutosha. Na kila wanapofikiria wazo la kuanzisha biashara basi wanakwazwa na ughali wa mtaji...
In the remote village of Emuoba, there lived a family considered to be of low class because apparently, they were cursed. They lived being ostracized by the rest of the village. They weren't...
Hebu fikiria, umepata nafasi ya kuzungumza ana kwa ana na Mh Samia Suluhu (Rais wa JMT) na una dakika tatu tu za kueleza nini ungetamani afanye ambacho kitakufaidi wewe (Kijana) na vijana wengine...
UKOSEFU WA AJIRA
Ukosefu wa ajira ni miongoni mwa matatizo ambayo yamekua yakijitokeza miongoni mwa vijana katika jamii ya Tanzania na Afrika.Ukosefu wa ajira umekua ukipelekea Ongezeko la ajira...
Chuma usipokitumia kwa muda kinaota kutu
Kwa wale ambao wamesoma chemistry japo kidato cha kwanza watakuwa wanaijua hii sentesi, hivyo ndivyo ilivyo na maisha ndivyo yalivyo.Tatizo sio mshahara...
PAMOJA TUNASHINDA
Kumekuwa na mapambano na vita dhidi ya umasikini, nchi imekua ikibadilisha sera na kauli mbiu kila utawala mpya ukiingia, Licha ya jitihada zote hizo takwimu zinaonyesha ya kuwa...
“UONGOZI BORA KWA MAENDELEO YA TAIFA”
Wengi tunajua sifa mbalimbali za viongozi bora waliopo na hata waliopita, basi sasa naend kueleza vitu vichache kwa upana zaidi juu ya viongozi ama uongozi...
Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii.
Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba...
Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana,
Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira...
Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi...
"Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na...
Kwa kuwa Serikali ina mpango wa kutoa bima ya afya kwa kila Mtanzania nimepata wazo la namna bima hyo inavyoweza kufanyika kwa kutumia TOZO ZA MUDA WA MAONGEZI,kwa kuwa idadi kubwa ya watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.