Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Kadri ninavyozidi kupitia baadhi ya maandiko ya kale, masimulizi na ninayoyashuudia.
Hizi ni baadhi ya sababu zinazofanya kuwepo wa vita:-
Wivu juu ya mtu au taifa moja kwa taifa lingine, Wivu...
KESHO ISIYOFIKA
“Unasikia midundo iyoo Chris!!? Yule Shayo mgombea wa PMP amekuja bwana!” Madokola, alimshtua Chris kwa kelele maana kwake yeye alidhani Chris alikwishazama katika ndoto na...
Sensa ya watu na makazi ni zoezi la kutambua takwimu za watu wote na makazi Tanzania ambapo hufanywa kila baada ya miaka kumi mara ya mwisho imefanywa kuanzia tarehe 23 mwezi wa nane mpaka tarehe...
1.0 Utangulizi
1.1 Mitandao ya kijamii imekua ni sehemu inayo wakutanisha watu kutoka pande mbalimbali za dunia, mitandao hii imeiminya dunia na kifanya ndogo kama kijiji kimoja. Kile kijiji...
Siri kuu saba zilizonifanya kuanzisha kiwanda baada ta kufukuzwa chuo.
Moja kati ya shughuli za kiuchumi zenye kuleta mageuzi makubwa Kwa uchumi wa nchi yoyote ni kuanzisha viwanda. Kuanzisha na...
Utangulizi
Ili uweze kufanikiwa katika jambo lolote lile, ni lazima ufuate kanuni na taratibu zitakazokuwezesha kufika kwenye kilele cha mafanikio. Hakuna mafanikio yasiyokuwa na utaratibu au...
Wakati wa balehe kuna changamoto nyingi sana, binafsi nimekumbana na mengi. Mengine yakinisibu moja kwa moja, mengine nikijionea kwa macho, kati ya mengi niliyoona kwa macho, lilinitisha lile la...
Sadaka
Je, ni sawa kuwa wanufaika wa jasho na sadaka za wengi waliokuwepo kabla yetu ikiwa hatuko tayari kuwa wa manufaa kwa watakaokuwepo baada yetu? Asilimia kubwa ya tulio hai leo hii...
Imeandikwa na Ras Zimba
Kwa mujibu wa tovuti ya egscholars.com kupitia andiko lililotolewa tar 16/3/2022 linaonyesha nchi kumi zilizoendelea barani Afrika hasa katika upande wa teknolojia kwa...
MAWAZO BIRIANI CHANZO CHA KUCHELEWESHA MAENDELEO KWA VIJANA
Biriani ni kati ya chakula maarufu kinachotumia viungo vingi ili kuweza kukamilisha pishi lake na vinapo changanywa viungo vingi ndio...
Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka ya nyuma na njia za kujiingizia kipato kwa nyakati hizi ni tofauti na kipindi cha nyuma. Zamani mtu unaweza kuamka huna hata shilingi kumi na ukatoka...
Tunaweza kubadilisha jamii kwenye swala la uchumi kwa sababu uchumi unapokuwa vizuri kwa kila mtu ndivyo kunakuwa na maisha bora katika jamii.
Nikiongelea uchumi nitajikita zaidi katika mapinduzi...
Kilimo tangu nyakati za uhuru mpaka leo hii ndiyo sekta pekee inayoajiri asilimia kubwa ya watanzania. Inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya watanzania wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta ya kilimo...
Kilimo ni uzalishaji wa mazao mashambani na ufugaji wa mifugo kama ng'ombe, mbuzi, kuku, Bata, nguruwe na kondoo. Kwa nchi nyingi za Afrika ikiwemo Tanzania kilimo ndiyo sekta muhimu kwani ndio...
Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa...
Maana ya Uwajibikaji
Ni hali ya kujituma kutimiza majukumu au wajibu fulani kwa wakati, mahali na muda sahihi.
Neno hili katika maadili na utawala linafananishwa na kuwa na jukumu la kujibu...
MAANA YA NAFAKA.
Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo.
Kumekua...
ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO
Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa...
MWALUBAINI WA KUTIBU HALI YA UBAKWAJI AU KULAWTIWA KWA WATOTO KATIKA JAMII YETU YA KITANZANIA.
Ubakaji maana yake ni ile ya mwanaume kumuingilia mwanamke bila ridhaa yake pasipo kujali...
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"
ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA...