Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vikuu wamejikuta katika wimbi zito la ukosefu wa ajira. Siku ya kuhitimu pamoja na kufanya mahafali huwa ni siku nzuri sana na inayopendeza kwa wahitimu, familia...
ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO
Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi...
UTANGULIZI
Stadi za maisha maisha ni maaifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema. (Nukuu kutoka Wikipedia)
Program ya stadi za maisha ni mkabala kabambe wa kubadilisha tabia unaotilia mkazo...
UTANGULIZI:
Kumekua na mabadiliko makubwa ya Tania nchi ktk sayari yetu kwa miaka ya hivi karibuni .Miongoni mwa sababu kubwa ya mabadiliko hayo yaletayo athari mbalimbali Kama mafuriko,ukame na...
Nikitazama sura yako, mwenendo wako, matendo na mavazi yako, nashindwa kuelewa, hivi unanitega? Huo mwendo sasa ndio kabisa unanichanganya. Ama umejua kwamba nami nategeka? Hiyo mikao yako ya...
TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA?
Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu...
Utangulzi
Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za...
Utangulzi:
Kumekuwa na ukimya mwingi juu ya lini ofisi kuu za ubalozi zitahamia Dodoma ili ofisi za Dar es Salaam zibakie kuwa ofisi ndogo. Hivyo nimekajaribu kuwaza nikafikiri kuwa kuna haja ya...
VIJANA NA AFYA YA AKILI
Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa...
ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika...
Karibuni muweze soma kazi yangu yenye kichwa Cha habari " VYANZO NA JINSI YA KUKABILIANA NA KUJIUA"
Kujiua ni kitendo cha mtu kutoa uhai wake mwenyewe kwa kuharibu uhai au kwa kuacha mambo...
Nini maana ya hedhi,
Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili...
USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Utangulizi
Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha...
Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa...
MAANA YA MAENDELEO HALISI
Maendeleo ni uboreshaji wa maisha kutoka hali ya chini kwenda hali juu kiuchumi, kijamii, kiteknolojia nk. Katika ngazi ya kitaifa inaweza kupimwa kwa maendeleo ya...
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi...
Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma...
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani...
Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje...
Serekali ya Dunia ni serekali itakayo unganisha watu wote na kuikomboa Dunia na kufanya Dunia nzima tuwe kitu kimoja na kuwa na nguvu sawa pamoja na maendeleo.
KWA NINI TUWE NA SEREKALI YA DUNIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.