Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

5 Votes
Vijana wengi hasa wahitimu wa vyuo vikuu wamejikuta katika wimbi zito la ukosefu wa ajira. Siku ya kuhitimu pamoja na kufanya mahafali huwa ni siku nzuri sana na inayopendeza kwa wahitimu, familia...
3 Reactions
3 Replies
437 Views
Upvote 5
1 Vote
ANUANI ZA MAKAZI SIO UREMBO, ZILETE MAENDELEO Tanzania kama nchi inayoendel inajitahidi kuleta mifumo nafuu Kwa watu Ili kuwasaidia katika shughuli zao Moja ya hiyo ni mfumo wa anuani ya makazi...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Upvote 1
93 Votes
UTANGULIZI Stadi za maisha maisha ni maaifa yanayotarajiwa kumsaidia mtu kuishi vema. (Nukuu kutoka Wikipedia) Program ya stadi za maisha ni mkabala kabambe wa kubadilisha tabia unaotilia mkazo...
66 Reactions
35 Replies
2K Views
Upvote 93
2 Votes
UTANGULIZI: Kumekua na mabadiliko makubwa ya Tania nchi ktk sayari yetu kwa miaka ya hivi karibuni .Miongoni mwa sababu kubwa ya mabadiliko hayo yaletayo athari mbalimbali Kama mafuriko,ukame na...
2 Reactions
1 Replies
630 Views
Upvote 2
1 Vote
Nikitazama sura yako, mwenendo wako, matendo na mavazi yako, nashindwa kuelewa, hivi unanitega? Huo mwendo sasa ndio kabisa unanichanganya. Ama umejua kwamba nami nategeka? Hiyo mikao yako ya...
1 Reactions
0 Replies
389 Views
Upvote 1
13 Votes
TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu...
1 Reactions
6 Replies
505 Views
Upvote 13
1 Vote
Utangulzi Kufuatia mpango wa serikali ya Tanzania kuagiza ndege moja ya mizigo (Boeing 767 yenye uwezo wa kubeba tani 52) katika kkufanya biashara na kusaidia katika usafirishaji wa bidhaa za...
1 Reactions
0 Replies
903 Views
Upvote 1
2 Votes
Utangulzi: Kumekuwa na ukimya mwingi juu ya lini ofisi kuu za ubalozi zitahamia Dodoma ili ofisi za Dar es Salaam zibakie kuwa ofisi ndogo. Hivyo nimekajaribu kuwaza nikafikiri kuwa kuna haja ya...
2 Reactions
0 Replies
862 Views
Upvote 2
0 Votes
VIJANA NA AFYA YA AKILI Kijana anatakiwa awe na afya ya akili kwa ustawi wake na jamii kwa ujumla. Afya ya akili nii hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutokuwepo kabisa kwa usumbufu wa...
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Upvote 0
1 Vote
ELIMU ni suala mtambuka lisilotenganishwa na AJIRA au KUJIAJIRI (Biashara). Hivyo suala la ELIMU linapaswa kutazamwa upya kama uwekezaji usasa ambao ni sharti ulete mafanikio kwenye jamii husika...
1 Reactions
0 Replies
347 Views
Upvote 1
23 Votes
Karibuni muweze soma kazi yangu yenye kichwa Cha habari " VYANZO NA JINSI YA KUKABILIANA NA KUJIUA" Kujiua ni kitendo cha mtu kutoa uhai wake mwenyewe kwa kuharibu uhai au kwa kuacha mambo...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Upvote 23
6 Votes
Nini maana ya hedhi, Hedhi ni kipindi au muda katika kila mwezi ambapo mwamke mwenye umri wa kuzaa hutokwa na damu kwenye uke ili kuanza mzunguko mwingine wa yai la uzazi. Kamusi ya kiswahili...
5 Reactions
4 Replies
825 Views
Upvote 6
24 Votes
USTAHIMILIVU KWA WAKULIMA DHIDI YA MABADILIKO YA TABIA NCHI. Utangulizi Mabadiliko ya Tabia nchi ni jumla ya mabadiliko ya hali ya hewa ya eneo fulani. Kilimo ni jumla ya shughuli zinazohusisha...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Upvote 24
2 Votes
Biashara ya mtandaoni ni biashara yoyote inayotumia mtandao wa intaneti kuuza, kununua na kutangaza bidhaa au huduma.Kutokana na ongezeko la matumizi ya intaneti sasa hivi Duniani kote bidhaa...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 2
1 Vote
MAANA YA MAENDELEO HALISI Maendeleo ni uboreshaji wa maisha kutoka hali ya chini kwenda hali juu kiuchumi, kijamii, kiteknolojia nk. Katika ngazi ya kitaifa inaweza kupimwa kwa maendeleo ya...
1 Reactions
0 Replies
390 Views
Upvote 1
2 Votes
Nikiwa kama askari niliye mstari wa mbele kwenye sekta ya afya, nasikitika kusema UKIMWI siyo tishio tena kama ilivyokuwa zamani, bali magonjwa yasiyoambukiza ndiyo tishio kwa sasa. Jamii inabidi...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 2
1 Vote
Kwanini unalala bado? Kwanini unalikumbatia shuka bado? Kumekwisha kucha, jua limekwisha chomoza. Amka sasa eeh mama Afrika maana majukumu yako ni mengi. Watoto wako wanalia njaa zinawauma...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
Upvote 1
3 Votes
Magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ni magonjwa ambayo hayasambazwi kwa mtu mwingine kwa kuwa hayana vimelea vinavyohusiana na magonjwa hayo, magonjwa hayo ni Kisukari, Pumu, Selimundu, Saratani...
0 Reactions
6 Replies
616 Views
Upvote 3
0 Votes
Wakati sisi tukila kushiba na kulala pazuri kwenye majumba mazuri kuna mtoto wa mika 7 hadi 17 analala nje ya kibalaza bila shuka wala godolo! Mimi binafsi huwa najiuza hawa Watoto wanatokaje...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Upvote 0
0 Votes
Serekali ya Dunia ni serekali itakayo unganisha watu wote na kuikomboa Dunia na kufanya Dunia nzima tuwe kitu kimoja na kuwa na nguvu sawa pamoja na maendeleo. KWA NINI TUWE NA SEREKALI YA DUNIA...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Upvote 0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…