Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Idadi ya vifo, majeruhi na athari hasi mbalimbali zitokanazo na mahusiano mapenzi na ndoa imekuwa ikiongezeka siku hadi siku. Vyombo vya habari vimekuwa vikiripoti idadi kubwa ya athari hasi...
Uhai wa serikali yoyote unategemea mapato inayoyakusanya ili kuendesha mipango yake katika nchi. Na nguzo kuu ya mapato hayo huwa ni wananchi waliyoipatia dhamana serikali hiyo hasa kwa njia ya...
Ufugaji wa Samaki aina ya sato kwa mikoa ya Shinyanaga na Tabora ni ukombozi mkubwa sana kutokana na mradi wa maji toka ZIWA victoria,mradi huu unaweza kuwa Msaada mkubwa sana hasa kwa vijana...
UPENDO ULIOPOA
Kuna aina nyingi za upendo ambazo binadamu tunajihusisha nao. Kwa sasa upendo ninaoutamani urejee ni ule upendo usio na sababu,upendo unaojali na kuthamini mazingira yote. Upendo...
Utangulizi
Sera ya elimu bure hapa nchini ilianza kutekelezwa na Serikali ya awamu ya tano. Sera hiyo ya elimu bila malipo inahusisha shule zote za Umma za msingi na sekondari. Ndani ya miaka...
Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao.
Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa...
Ubora Wa Taarifa (Data Quality), Ni mnyororo wa Taarifa sahihi za mtu, kitu au huduma Fulani katokana na mahitaji au Mazingira ya Umuhimu wa taarifa hiyo.
Huduma Bora ya Afya, Ni Mnyororo sahihi...
Utangulizi
Muonekano wa mji au jiji una nafasi kubwa sana katika furaha ya mtu, kuanzia kiakili mpaka kiuchumi. Sasa,ni muda sahihi, kuwa na mji ambao tutakutana na hewa safi, muonekano safi...
Habari, Kwa Majina Naitwa Theophilus Gugaguga. Mbele ya macho yako ni Nakala Fupi tu Ambayo inalenga kubadilisha Maisha Yako kuelekea katika ukuu. Kaa Chonjo, ukifuatilia kila Neno la Mawazo haya...
Habari,
Ninayo heshima kubwa kuchapisha maoni yangu kuhusu kuhifadhi mazingira.
TUHIFADHI MAZINGIRA KWA MAENDELEO ENDELEVU
Dhahania
Nikukaribishe mpenzi msomaji katika makala hii muhimu yenye...
Huwezi kuepuka kula kama unataka kuishi, virutubisho vinavyopatikana katika chakula ndivyo hufanya maisha waye endelevu kwetu, mwili na akili hujengwa kwa vyakula tunavyokula kwa makundi yake...
Kwa miongo mingi nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania, ambazo kilimo ni nguzo kuu ya uchumi, zimekuwa zikitegemea kwa kiasi kikubwa mvua katika kufanya kilimo. Kilimo cha aina hii...
VITA YA VIJANA DHIDI YA MAENDELEO YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
Chemsha bongo!
Je! Umewahi kujiuliza kuwa licha ya maendeleo ya sayansi na teknolojia kusaidia katika kuboresha maisha ya binadamu...
Itakuwa ni jambo la kustaajabisha endapo hata kwa bahati mbaya haujawahi kukutana na moja ya msemo miongoni mwa misemo ifuatayo: “elimu ni ufunguo wa maisha”, “elimu ni mwanga”, “elimu ni...
Ufugaji wa Samaki ni fursa kubwa sana kwa mikoa ya Shinyanga na Tabora kwa kutumia maji ya ZIWA victoria.
---
UFUGAJI WA SAMAKI(Sato) UNAWEZA KUTATUA HALI NGUMU YA KIUCHUMI KWA VIJANA WA MIKOA...
Elimu ni ujuzi ambao mtu au mlengwa hupatiwa kwa lengo la kumtoa kutoka katika umasikini wa fikra kwenda katika ubunifu na uzalishaji wa mawazo ulio bora katika kuleta maendeleo baina yake na...
SOC AFYA YA AKILI NA MALEZI
Katika maisha yote tulio ishi hapa duniani tumekuwa tukiamini kwamba hakuna kitu kinachotokea chenyewe lazima kuna kuna hatua amabyo huleta matokeo fula yawe mazuri...
Utawala ulio bora hujengwa kwa vitu viwili muhimu ambavyo ni MFUMO na WATU ambao ndio viongozi walio katika utawala. Mfumo ni mpangilio wa jinsi jambo au mambo yatakavyofanyika na Watu ndo...
Dunia gunia wahenga walisema, Pilika za maisha hasa utafutaji umetufanya kuwa busy na kusahau wanaotuhitaji zaidi.
Ubusy wa kazi na Safari umenifanya nisipate muda wa kukaa na familia yangu. Nina...
English should be taught since primary and nursery level in Tanzania. Education is a material that one can acquire either oral or written means from another person. In Tanzania, most government...