Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
UTANGULIZI
Neno Kiongozi limebebwa na neno ‘nafasi’ ambayo inakamilisha uwepo wa icho cheo yaani ‘’KIONGOZI’’
Ni vizuri kuelewa katika maisha tunayoishi leo kuna mwanzo wake vivyo hivyo kuna...
Kilimo-ni shughuli inayofanywa na binadamu kujipatia chakula cha kujikimu kupitia mazao ya chakula na biashara mfano: mahindi,viazi, mihogo, mtama,ulezi,pamba,katani,mikonge nakadhalika na kilimo...
Ukatili ni hali ya kusababisha kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwingine,ilihali lipo suluhisho la wazi linaweza kupatikana kwa urahisi
Unaweza kuwa ukatili wa kukatisha uhai wa...
UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali ya mtu kuyakabili majukumu yake ipasavyo bila kusukumwa, kuwajibika pia nia hali ya mtu kutimiza vilivyo majukumu alionayo. Uwajibikaji umegawanyika katika nyanja...
Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
*Je, Uchimbaji ni nini?
Ni shughuli inayohusu uchimbuaji wa rasilimali zilizopo chini ya aridhi,nakuziongezea thamani kwa matumizi yakibinadamu.
*Je, Uchimbaji mdogo ni nini?
Maana yake...
Gesi Asilia ni nini?
Kwa mujibu wa tovuti ya “renovablesverdes”, Gesi asilia ni mafuta ambayo, kama makaa ya mawe au mafuta ya petroli, huundwa na hidrokaboni, mchanganyiko wa molekuli...
Meya ni neno linalotokana na neno la Kiingereza “Mayor”, ni cheo kinachotumika nchi nyingi duniani; hii ni nafasi ya juu kabisa katika halmashauri ya mji, manispaa au jiji.
Kwa mujibu wa...
Watoto wa mitaani, ni watoto ambao wanaishi mitaani, nje ya makazi ya kawaida. Kempe Ronald Hope, (2005) anatoa maana ya Mtoto wa Mitaani kama ifuatavyo: “Mtoto wa Mtaani, ni msichana au mvulana...
UTANGULIZI
"Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani)
Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni...
Uchumi ni mali iliyopatikana kutokana na mali za nchi au watu. Vitu viwili vikubwa vinavyoweza kumsaidia mtu kufikia malengo yake kiuchumi na kimaisha ni Nidhamu binafsi na Nidhamu ya maisha...
Kama ningepata nafasi ya kuboresha kitu kimoja hapa Tanzania, ingekuwa fursa kwa watu wengi kuinua kiwango cha maisha. Kitu ambacho ningeboresha ni mfumo wa huduma za afya, ambapo ningezipeleka...
Baada ya siku chache kupita toka kutokee kifo cha mzee Madodoso nimeamua kutembelea familia ya Mzee huyo ili niweze kuwafariji wafiwa na kuomboleza kwa pamoja Kwakuwa wamepoteza kichwa cha...
Napenda kutoa ushauri kwa kila mtu anayeweza kupanda miti ya matunda ya aina mbalimbali apande kwa wingi,ikishindikana kupanda kwa wingi, panda angalau hata miti mitatu ya matunda aina tofauti...
Faustine Kimath, katika chapisho lake la Julai 01, 2021, anasema, mfumo wa kodi nchini Tanzania unajumuisha aina mbalimbali za kodi zikiwemo Kodi za Moja Kwa Moja (“Direct Taxes”) na Kodi zisizo...
Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji.
Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa...
Siku Moja nilipokuwa nimetega sikio nikipata habari kutoka idhaa ya taifa nilivutiwa sana na Moja ya marudio ya usemi wa Baba wa taifa hayati Mwl.Julius Kambarage Nyerere ninanukuu, "Kama unadhani...
Utangulizi
Kwa mujibu wa taarifa ya WHO (2019) ni kwamba kila baada ya sekunde 40 kuna mtu anajiua kwa sababu kadha wa kadha. Tatizo la watu kujiua limekua kwa kasi na linaongezeka kila kukicha na...
Utangulizi
Ni kweli unasitahili kulaumu. Ni kweli wazazi hawakukuandalia mazingira rafiki ya kufikia mafanikio yako. Wewe siyo kama Mo Dewji aliyerejea nchini baada ya kuhitimu chuo Marekani 1998...
Kuna njia mbalimbali za kuhifadhi vyakula ili visiharibike mapema vitufae kwa misimu mingine ambayo vyakula vinakuwa adimu sokoni na bei kuwa ghali au kutopatikana na pia kuokoa matumizi makubwa...