Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

7 Votes
Ni giza nene sana limetanda mbele ya macho ya wataalamu tulio nao katika nchi yetu. Wataalamu hawa wamebaki na taaluma zao bila ya kujua mahali gani wazipeleke taaluma hizo ili ziweze kuwanufaisha...
3 Reactions
1 Replies
329 Views
Upvote 7
1 Vote
MAFANIKIO Nikuweza kuyafanya malengo(Maono), mikakati au mawazo kuwa halisi katika Maisha, lakini WAJIBU Ni jumla ya majukumu yanayo mpasa mtukuyatimiza baada ya kupokea haki fulani Mfano Katika...
1 Reactions
0 Replies
412 Views
Upvote 1
1 Vote
Huduma ya kwanza inamaanisha huduma au msaada Unaotolewa kwa mtu anayekabiliwa na ugonjwa au madhara ya ghafla wakati daktari anapokua hayupo karibu na kabla hajapelekwa hospitalini au kituo...
1 Reactions
0 Replies
790 Views
Upvote 1
4 Votes
KUDHIBITI USUGU WA DAWA ZA KUTIBU MAGONJWA YANAYOSABABISHWA NA BAKTERIA NA KUVU (FANGASI) TANZANIA. Usugu(Upinzani) wa dawa ni hali ambayo vijidudu kama bakteria na fangasi kuzishinda dawa ambazo...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 4
3 Votes
Nikiwa Form Six Sumbawanga Sec, Ilikuwa ni siku ya Ijumaa,Siku ambayo tulikuwa tunawahi kutoka Darasani kwani ilikuwa ni siku special kwa ajili ya Michezo. Basi bwana me nkiwa na kibaiskeli...
2 Reactions
1 Replies
533 Views
Upvote 3
2 Votes
Kwanza natoa shukurani zangu nyingi sana kwa kupata nafursa ya kutoa mawazo yangu kuhusu kilimo Tanzania. Wakulima wamelima kwa muda mrefu sana kwa lengo la kuuza mazao yao na kupata chakula na...
2 Reactions
0 Replies
530 Views
Upvote 2
5 Votes
Sisi sote ni zao la malezi tuliyoyapata kwenye familia na jamii zetu. Wataalamu wengi wa makuzi ya watoto hukubaliana kwamba miaka sita ya kwanza ya malezi ndiyo hujenga haiba, tabia, na...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 5
1 Vote
SAYANSI NA TEKNOLOJIA Katika karne za sasa sayansi na teknolojia zimeweza kutawala, vitu vingi vimeweza kurahisishwa kupitia sayansi na teknolojia tunaona katika nchi mbalimbali jinsi gani...
1 Reactions
0 Replies
795 Views
Upvote 1
0 Votes
KIJANA INUKA 1 Umekaliwa kitako, Kukwepa tamaa yako, Wewe na jamaa zako, Wahisi maisha mwiko, Ujana ni mlipuko, Kijana nyosha kiwiko. Kitamu huwa ukoko, Kula bila chokochoko, Unaporemba mwandiko...
0 Reactions
0 Replies
277 Views
Upvote 0
1 Vote
Habari za usiku huu Wana Jamiiforums, Leo nataka kuongelea malezi ya mtoto wa kiume kwani kuna mahali naona jamii ya Tanzania pamoja na Africa kwa ujumla imepotoka au imejisahau sana katika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
3 Votes
Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua...
0 Reactions
3 Replies
439 Views
Upvote 3
2 Votes
Mabinti wawili,mtu na dada yake walikwenda kutembea kijijini kwao pamoja na wazazi wao. Baada ya kuwasili kijijini pale waliamua kwenda kusalimu ndugu, jamaa na marafiki ambao walikua hawajawaona...
2 Reactions
0 Replies
341 Views
Upvote 2
1 Vote
"NIWEZESHE NIKUWEZESHE " ni kauli mbiu ambayo inafaa sana katika kuhimizana sisi kwa sisi watanzania hasa zaidi ikiwa ni kwa upande wa wafanya biashara na wajasiriamali ikiwa ni pamoja na wateja...
2 Reactions
0 Replies
419 Views
Upvote 1
5 Votes
Creative Monster Baraza la wazee liliwahi kuomba vijana wawe na heshima kwa wazee hususani kwenye daladala pale wazee wanapokosa viti basi vijana wasimame kuwapisha wazee wakae. Ni kweli na ni...
3 Reactions
5 Replies
570 Views
Upvote 5
3 Votes
KILIMO FURSA KUBWA. Chanzo cha binadamu ni uumbaji wa Mungu. ‘’Mungu akasema , Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na...
3 Reactions
0 Replies
726 Views
Upvote 3
5 Votes
UTANGULIZI Katika Dunia ya sasa tekinolojia na ubunifu vimekuwa vyanzo vya maendeleo katika nchi mbalimbali, Leo hii Marekani, China, Urusi, India na nchi mbalimbali Duniani zimepiga hatua...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Upvote 5
1 Vote
Kwa kadiri kumbukumbu inanifikia, najikuta ni msafiri ambaye amepita maishani, niligonga milango yake mlango kwa mlango, na nikavuka nchi zake nchi kavu, na nikachukuliwa kutoka hapo na kushoto...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
Upvote 1
0 Votes
MAZINGIRA YETU, AFYA YETU,WAJIBU WETU: Afya zetu ni muhimu sana kwa ajili ya kesho yetu,kwani afya bora ndiyo chanzo cha uhai bora,tabasamu na bashasha njema kwa familia,ndugu na marafiki zetu...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Upvote 0
1 Vote
Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa katika jinsia zote,kutokana na dhulma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine.Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa haki...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Upvote 1
5 Votes
Habari mkuu, Kwenye uzi wetu tuongelea vitu vichache: 1. Utangulizi(maana ya supplementary) 2. Hatua za kuchukua unapopata supplementary 3. Hitimisho 1. Maana ya supplementary Supplementary ni...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Upvote 5
Back
Top Bottom