Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

1 Vote
Elimu ni maarifa mtu anayo yapata kutoka kwa wazazi, walimu na jamii inayo mzunguka.Elimu huongeza maarifa na kuondoa ujinga. Sasa kuna Elimu bora na bora Elimu. Watu wengi husema...
1 Reactions
0 Replies
332 Views
Upvote 1
1 Vote
SULUHU MBADALA YA UKOSEFU WA AJIRA NCHINI TANZANIA Maana ya ukosefu wa ajira. Kwa maana ya kawaida na inayoeleweka na wengi. Ukosefu wa ajira humaanisha kitendo au hali ya mtu kukosa au kutokuwa...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Upvote 1
1 Vote
WENU MTAMBO1272019 Maana ya simu janja. Ni aina ya rununu ambayo inafanya mambo mengi kuliko simu nyingine ya kawaida,zinzfanya kazi kama tarakililishi,lakini hiki ni chombo kinachobebeka na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Leo hii hapa nchini ukiuliza: kwenu mnatumia nishati gani katika kupika, Asilimia kubwa utajibiwa haraka: KUNI au MKAA. Kwanini wakati vipo vyanzo vingine? Je, wanatumia sana kuni na mkaa kwa...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
Upvote 1
1 Vote
Mazingira ya upataji elimu kwa Wanafunzi wa Kike shuleni yaboreshwe Na wenu, Mtambo 1272019 Kwa miaka mingi, tumeshuhudia mtoto wa kike akiachwa nyuma katika suala la upataji wa elimu bora ...
1 Reactions
0 Replies
636 Views
Upvote 1
3 Votes
Katika jamii na taifa lolote lile haipingiki kuwa elimu inasimama kama moyo au injili.Hili linajidhihirisha wazi kutokana na uwezo wa elimu kumtengeneza mtu kihaiba,kijamii,kihisia na...
5 Reactions
1 Replies
484 Views
Upvote 3
2 Votes
(MKOMBOZI MFILISI) Taifa ili lipate maendeleo watu wake ni lazima wajishughulishe kwenye shughuli za uzalishaji mali ili kuweza kulipa kodi ambayo ndio nyenzo kuu kwa taifa kujipatia kipato ili...
1 Reactions
0 Replies
324 Views
Upvote 2
1 Vote
Soma kwa utulivu mkubwa... Baba alinisisitizia kuchukua likizo kazini nirudi nyumbani nikamuone. Na alitaka nikae huko mwezi mmoja. Nilikua na mambo mengi sana kazini na nikamwambia sitaweza...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Upvote 1
1 Vote
Habarini ndugu zangu wanajamii forum leo kwa mara ya kwanza naandika katika "stories of change 2022" , kwasababu ni mshiriki mgeni na Sina uzoefu wowote Wa kuandika machapisho katika hili jukwaa...
1 Reactions
0 Replies
322 Views
Upvote 1
5 Votes
Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake Na Tanganyika Leo. Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini muungano wetu sio wa serikali moja yenye mamlaka kamili kama ilivyo kwa nchi na...
1 Reactions
5 Replies
477 Views
Upvote 5
2 Votes
Naikumbuka bayana siku hiyo. Hususani ule mlio, mkubwa kuliko kumbukumbu yenyewe. Nilikua mdogo sana lakini nakumbuka dhahiri kila kitu. Ni moja kati yale matukio unayobeba akilini mpaka kifo...
1 Reactions
3 Replies
720 Views
Upvote 2
6 Votes
Mwanangu, tazama mzazi wako nimeshakuwa mzee, umri umenitupa mkono. Meno yangu yote yamebongonyoka, siwezi hata kutafuna mnofu. Nguvu za mwili nazo zimeniisha, siwezi tena kusimama na kutembea...
1 Reactions
2 Replies
598 Views
Upvote 6
1 Vote
Hakika lilikuwa taifa la kushangaza, ilikuwa ni nchi ya kuvutia macho na kupendea kwa kutazamwa kwa macho. Ilikuwa ni sehemu ambayo yeyote angependa kuitembelea, eneo lenye mapori ya kipekee...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
1 Vote
Na mwandishi Fauster Fredricky, twende pamoja, Dhana ya uwajibikaji ni dhana ya muhimu katika maisha ya maendeleo kwani ni moja kati ya mambo ya msingi katika kuleta maendeleo, dhana hii hufanya...
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Upvote 1
2 Votes
Maandiko na filosofia mbalimbali kutoka kwa wasomi na wanazuoni mbali mbali ni chachu kubwa ya elimu juu ya Utawala bora. Wasomi na wanazuoni wengi wameweza kuongelea na kutoa maana halisi ya...
2 Reactions
0 Replies
646 Views
Upvote 2
2 Votes
Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya...
2 Reactions
0 Replies
508 Views
Upvote 2
1 Vote
1.0 UTANGULIZI Teknolojia ni suluhisho inayotokana na matumizi ya akili ya mwanadamu baada ya kufanya tafiti au hutokea kwa dharura. Teknolojia inalenga kurahisisha au kutatua changamoto fulani...
1 Reactions
1 Replies
615 Views
Upvote 1
12 Votes
Adhabu ya kupelekwa Kigoma hii ndivyo ilivyotokea kwangu mwaka 2012, mimi na wenzangu tulikuwa tunafanya kazi kwenye NGOs moja hivi , na tukiwa kwenye project moja wapo Mkoani Singida ilitokea...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 12
1 Vote
MTUNZI: HARIDI KORONGO JINA LA SHAIRI TOZO 1.Tunamshukuru muumba, alie tupa pumzi. Tanzania yetu nyumba, anailinda mwenyezi. Twapaswa kua sambamba, amani kwa kuienzi. Asanteni jamii, kutupa fursa...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Upvote 1
5 Votes
Nimekuwa nikijiuliza Kwa Muda mrefu sana kuhusu Hali ya shule zetu za msingi. Serikali yetu imefanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha takribani kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi. Jambo...
2 Reactions
3 Replies
571 Views
Upvote 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…