Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Nakala hii nitazungumzia KIRUSI CHA NHIF kimaana TATIZO LA MFUKO WA BIMA YA AFYA LINALOPELEKEA KUFA KWA NHIF. Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika kukizungumzia KIRUSI CHA NHIF lakini kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Upvote 0
0 Votes
BAJETI,USTAWI WA JAMII Na Emmanuel Ndaki 0747093133 DIRA na mwelekeo wa nchi inahusisha makadirio,mapato na matumizi,yaani tunategemea kusanya kiasi gani, tunatumia kiasi gani kujenga miundombinu...
0 Reactions
0 Replies
268 Views
Upvote 0
3 Votes
Katika Kijiji cha ntakuja kulikuwa na familia ya mzee chales ambaye alikuwa na watoto wawili wakike na wakiume mzee chales alikuwa na fikra mbaya na tamaduni zakizamani kwamba mtoto wa kike...
1 Reactions
1 Replies
302 Views
Upvote 3
4 Votes
Nifanye biashara gani? Nipeni wazo la biashara, nina mtaji wa milioni mbili nifanye biashara gani? Naomba wazo la biashara, biashara gani inayolipa? Haya ni maswali ambayo watu wengi hasa vijana...
6 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 4
2 Votes
Septemba 7,2022 waziri wa kilimo Husein Bashe aliweka ujumbe kwenye ukurasa wake wa mtandao wa twita,ujumbe huo ulikuwa na maneno yafuatayo,ninanukuu:Ukiwa na muda tafadhali nipe mawazo yako...
0 Reactions
4 Replies
875 Views
Upvote 2
0 Votes
CHUKI ISIYO SHABAHA. Makala hii inalenga jamii kwa ujumla kutengeneza chuki zisizo na lengo/dira visababisi, madhara, na namna ya kuondokana na Chuki isiyo Shabaha, Fuatana nami SamNah. Chuki kwa...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Upvote 0
0 Votes
Kumbuka ili uweze kufanikiwa katika mambo yote kwenye maisha yako, yaani; Kiuchumi, Kijamii, Kisiasa, Kiutamaduni, Kiteknolojia, Kiafya, Kidini na Kielimu kwa namna yoyote ile lazima uwe na...
0 Reactions
2 Replies
499 Views
Upvote 0
1 Vote
Naandika kwa kujiamini kwasababu ni mzima wa afya, na natumai hata msomaji wangu u mzima. Pamoja na changamoto nyingi za maisha, lakini yatupasa kumshukuru M /Mungu maana yeye ndiye atupaye akili...
0 Reactions
0 Replies
753 Views
Upvote 1
10 Votes
TANZANIA NA CHANGAMOTO ZA AFYA YA AKILI Utangulizi Afya ya akili kwa lugha rahisi tunaweza kusema kuwa ni ustawi wa mtu kisaikolojia na kihisia. Mara nyingi miili yetu huwa na afya njema...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Upvote 10
11 Votes
UTANGULIZI Ninayasoma maneno ya utangulizi yaliyo katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, maneno yaliyobainisha misingi ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
4 Reactions
6 Replies
768 Views
Upvote 11
5 Votes
Utangulizi Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021...
2 Reactions
12 Replies
748 Views
Upvote 5
1 Vote
Suala la ajira kwa vijana ni shida inayotusumbua nchi yetu kwa muda mrefu sasa. Moja ya masuluhisho ambayo yamekuwa yakipendekezwa ni vijana kujiajiri kupitia teknolojia, hasa mifumo ya...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Upvote 1
6 Votes
Utangulizi Kilimo ni kitendo cha kuzalisha mazao shambani. Ni mojawapo ya shughuli za mwanadamu zinazomsaidia kupata mazao kwaajili ya chakula na biashara ili kukidhi mahitaji yake ya kila siku...
1 Reactions
6 Replies
781 Views
Upvote 6
2 Votes
Wahusika, ■Njiwa. ■Kondakta. ■Dereva. ■Mama kuku. ■Miss Tausi. ■Mwewe. ■Kunguru. ■Bwana afya. ■Shangazi bata. Ilikuwa siku ya alhamisi asubuhi katika jiji la...
1 Reactions
2 Replies
372 Views
Upvote 2
0 Votes
Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote. Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula...
0 Reactions
0 Replies
213 Views
Upvote 0
2 Votes
Kama ilivyo asili yetu Watanzania kupumzika majira ya jioni baada ya shughuli mbalimbali za hapa na pale za kutupatia mlo, kupata wasaa wa kujumiaka na ndugu, jamaa na marafiki zetu (vijiweni)...
1 Reactions
1 Replies
494 Views
Upvote 2
26 Votes
Wakuu nimerudi Tena katika Story of change, Naomba Leo niwashirikishe mbinu nzuri za kuwalea watoto katika kipindi hiki Cha utandawazi! Kwanza nikiri wazi Mimi ni mzazi na mwalimu pia, kwahiyo...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Upvote 26
1 Vote
UBORESHAJI WA ELIMU TANZANIA Elimu nchini Tanzania ilianzia enzi za kabla na baada ya ukoloni. Elimu kabla ya mkoloni ilikua unapewa kazi za jamii kutokana na umri kuna waliolioma, kufuga...
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Upvote 1
0 Votes
Naitwa Emmanuel ni kijana wa miaka 28,nilizaliwa na tatizo la ngiri maji mawasiliano.Ni ugonjwa ambao ungetibika nikiwa bado mtoto mdogo,lakini kutokana na kutopata elimu sahihi,Wazazi wangu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
5 Votes
Kulingana na tafiti za kisayansi zinasema, jinsi wanadamu tunavyoonekana ni kwa sababu ya chakula tunachokula kila siku. Tangu kuwepo kwa dunia mwanadamu amekuwa anategemea chakula ili aweze...
4 Reactions
0 Replies
536 Views
Upvote 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…