Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

5 Votes
MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi...
4 Reactions
2 Replies
907 Views
Upvote 5
10 Votes
UTANGULIZI Kilimo ni dhana pana inayojumuisha uzalishaji wa mazao, ufugaji na uvuvi. Katika andiko hili nitaangazia kilimo kwa upande wa uzalishaji mazao. Sekta ya kilimo ni sekta mama ya...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Upvote 10
6 Votes
(Source: https://pixabay.com/photos) Magonjwa ya milipuko yamekuwa yakienea katika eneo kubwa sana na kuambukiza watu wengi kwa muda mfupi. Homa ya Uhispania, Virusi Vya Ukimwi na UVIKO-19 ni...
5 Reactions
6 Replies
849 Views
Upvote 6
5 Votes
Waswahili husema "Mwanzo Mgumu" kutoka na msemo huu tunaweza kujenga hoja kwamba, kila kinachoonekana kuna mwanzo ulio mgumu. Leo Jamii forum inawafuasi zaidi ya milioni moja lakini ilianza na...
2 Reactions
1 Replies
815 Views
Upvote 5
6 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi duniani ambayo imekuwa na changamoto ya vijana kukosa ajira mara baada ya kuhitimu masomo. Kumekuwa na mitazamo mingi juu ya tatizo hili ambapo wengine wamefikia...
3 Reactions
4 Replies
866 Views
Upvote 6
3 Votes
Kilimo ni kitendo cha kupanda ama kuotesha mbegu ya zao husika na kuvuna mazao kwa wakati muafaka. Kitendo hiki huambatana na jukumu la kuulea mmea katika kipindi chote cha kukua kwake hadi pale...
0 Reactions
3 Replies
861 Views
Upvote 3
0 Votes
Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Upvote 0
4 Votes
Mapinduzi ya nne ya viwanda, yajulikanayo kama 4IR au 4.0, ni mapinduzi ya kidijitali yenye sifa za muunganisho wa teknolojia kati ya nyanja za kimwili, kidijitali na kibayolojia. Mapinduzi...
2 Reactions
3 Replies
472 Views
Upvote 4
0 Votes
Usiri wa taarifa za mgonjwa atoapo akiwa maeneo ya kutolea huduma za afya Leo napanda jukwaani na andiko langu kuhusu kero inayotupata wagonjwa hasa tunapotoa maelezo kuhusu maradhi...
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Upvote 0
0 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye utajiri wa asili mkubwa duniani, lakini pamoja na kuwa na utajiri huo kasi ya maendeleo ya nchi ni ndogo sana ukilinganisha na rasilimali tulizonazo . Nini...
0 Reactions
0 Replies
313 Views
Upvote 0
2 Votes
Ikiwa vocha imenunuliwa katika mtandao uleule na ikatumika ndani ya mtandao uleule faida yote na cash ile iliyolipwa wakati wa kununua ile vocha itakuwa ni haki ya mtandao ule iliyowekwa ile...
2 Reactions
2 Replies
414 Views
Upvote 2
1 Vote
Naitwa Mundu nimezaliwa kwenye familia ya watoto saba. Baba yangu alifukuzwa kazi sababu ya ulevi na upinzani wa kisiasa mwaka 1996, mwaka mmoja tu baada ya mimi kuzaliwa nikiwa mtoto wa nne kati...
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Upvote 1
0 Votes
"Tanzania Tanzania Nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania jina lako ni tamu sana......." Tanzania nchi iliyopo ndani ya bara la Afrika katika ukanda wa Afrika Mashariki inayoundwa na mikoa...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Upvote 0
9 Votes
Tanzania ni miongoni mwa nchi chache ambazo zimebarikiwa vijana wapambanaji sana. Hii ndio nguvu kazi ya taifa na ndio chanzo halisi cha pato la taifa kutokana na jasho lao linalovuja kila...
7 Reactions
9 Replies
633 Views
Upvote 9
0 Votes
Utatuzi wao wa hili tatizo ni kuwatumia wananchi sms za kutoa taarifa za utapeli. Binafsi nimechoka kutuma hizo taarifa ambazo hazina mrejesho wowote. Ila bwana Kingambe, anaubunifu wake ambao ni...
0 Reactions
0 Replies
343 Views
Upvote 0
3 Votes
WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO. UTANGULIZI; Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 3
0 Votes
KISWAHILI NA MAENDELEO YA MTANZANIA Kiswahili ni lugha ya Taifa letu pendwa Tanzania, lugha hii inazungumzwa maeneo mengi ulimwenguni lakini chimbuko lake likiwa ni wabantu wanaopatikana maeneo...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Upvote 0
3 Votes
Upatikanaji wa ajira kwa vijana bado ni jambo linaloisumbua si Tanzania tu bali dunia nzima. Katika kujikwamua na tatizo la upatikanaji wa ajira kila taifa linajitahidi kuchukua hatua za...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Upvote 3
0 Votes
Ni matamanio ya kufuta alama za nyayo zinazoiendea njia ya uhasama, ni kiu ya kuiangamiza shari, ni msukumo wa kipekee nafsini mwa mtu, ni majuto yanayoleta nia ya kujenga daraja badala ya ukuta-...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Upvote 0
2 Votes
Ilikua ni mapema sana majira ya saa 2 Asubuhi katika kijiji cha Hatuchekani mkoa wa Magharibi nikiwa katika mazungumzo na mzee Haambiliki, Niliweza kubaini vyanzo vya maji tiririka yanayoelekea...
1 Reactions
3 Replies
434 Views
Upvote 2
Back
Top Bottom