Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara zinazofanya vizuri katika matumizi ya mitandao ya kijamii.
Ripoti ya takwimu za robo ya pili ya mwaka 2020 za Mamlaka ya...
FURSA ILIYOBADILISHA MAISHA YANGU
UTANGULIZI
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, najua mtakua mmeitikia “Kazi iendeleee”. Twende kwenye fursa sasa.
Hii ni fursa amabayo...
Mwanamke ni taswira na dira ya familia na jamii kiujumla kwakuwa ni mama pia ni mwenye nguvu anategemewa kama ilivyoelezewa katika vitabu vingi vya dini, ambapo hivi hueleza kuwa mwanamke ametoka...
Msitu tunaoishi ni msitu wenye mandhari nzuri sana na ya kuvutia umepambwa na ukijani unaoelekea kuwa weusi kutokana na udongo mzuri na wenye rutuba unaopatikana katika msitu huu wa Amani.
Katika...
Salama wapedwa?, nawasalimu, leo nataka kushea na ninyi machache kuhusiana na hizi biashara ndogo-ndogo, ila nitajikita sana katika biashara ya mahindi, naamini usipokata tamaa kusoma kuna maarifa...
Mtazamo ndiyo kitu ambacho humjenga mtu na kumpa tafsiri ya kitu chochote kile anachofanya, alichonacho, namna ya maisha na hata ufikiri juu ya maswala mengine yanayomzunguka. Afrika na watu wake...
Ubunifu wa Tegemeo Dickson unashangaza na ni wa pekee ambapo amefanikiwa kutengeneza chanzo mbadala cha nishati kinachoweza kusaidia sana kuhifadhi mazingira kwa sababu kuchukua nafasi ya matumizi...
Kikawaida elimu yetu iko katika mtazamo ambao unawanufaisha wachache, mtazamo wangu unagusia maeneo manne (4) ambayo yakiangaliwa na kuboreshwa basi manufaa makubwa yatakua matokeo yake. kama...
UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA
Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na...
Kiongozi ni mtu yeyote ambayae anaweza na anawajibika kuongoza, mtu yeyote anaweza akawa kiongozi hata bila kuchaguliwa uongozi ni jukumu la kila mtu ni jukumu la baba kwa familia yake👨👩👧👦 na...
Mambo vipi? Nimekuja kukuambia machache kuhusu mimi mpenzi wangu.
Mimi ndiye ninayekufahamu wewe kuliko hata unavyojifahamu wewe, Naam.
Mimi ndiye ninamjua mpenzi anayekufaa kuliko hata wazazi...
Uongozi ndiyo kiini cha mafanikio au anguko la jamii yeyote ile. Hakuna jamii, tasisi, kampuni hata taifa ambalo mafanikio yake au anguko lake halihusishwi na uongozi wake uliyopita au uliyopo...
Kumekuwa na Maoni mengi ya wadau wakishauri Mtaala wa Elimu ubadilishwe , huu uliopo kwa Sasa hauendani na mahitaji ya Taifa letu kwa Sasa . Umeshindwa kabisa kutatua Changamoto ya Ajira na...
Tafiti za kiafya zinaonyesha kuwa mtoto anahitaji sana maziwa ya mama kwani maziwa hayo yana faida nyingi sana kwa watoto katika maendeleo yao ya ukuajia wa mwili na akili.
Maziwa ya mama yana...
Vijana wa sasa katika ulimwengu huu kuna umuhimu wa kuangalia kesho yetu kwa jicho pana zaidi badala ya kuishi maisha kama mchezo wa kamali ujui lini unaweza toka kimaisha zaidi ya kusubiri...
Utangulizi na kauli kuhusu tatizo
Biashara ya samaki ni biashara inayokua kwa kasi sana hapa kwetu nchini Tanzania. Na hii ni kwa sababu ya uhitaji mkubwa sana wa samaki kama kitoweo chenye...
VIJANA, USHOGA NA USAGAJI. (HOMOSEXUALITY ADDICTIONS)
Hapo zamani vitendo vya ushoga na usagaji (LGBT) katika jamii za Kiafrika ilikuwa ni aibu na laana kufanya vitendo hivyo kwa kuzingatia...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 kwa sasa,ambaye kwenye kundi la watu ambao hawajalelewa na wazazi wao ni mmoja wapo ni mzaliwa wa Moshi kilimanjaro na namshukuru mungu nilipata elimu yangu...
Ni nyakati hizi ambazo kila jua likienda zake, Watu Wa Mataifa ya Magaharibi Huumiza kichwa kuona namna gani kesho ikija, wabadili kitu gani kutoka kuwa Ugumu kwenda Kwenye Wepesi, Maana yangu ni...
VIJANA NA CHANGAMOTO YA AJIRA
✔️Kipindi Cha hivi karibuni kumekua na kasumba ya waajili wengi kutaka waombaji (vijana) kuwa na uzoefu usiopungua miaka mitatu.
✔️Leo nataka nizungumzie hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.