Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu...
Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012, Zaidi ya asilimia 77 ya wakazi wa Tanzania ni vijana. Serikali ya Tanzania imezidi kupanua wigo kwa vijana kupata elimu, kwa kutoa elimu bila...
"Kilimo ni moja kati ya sekta kwenye uchumi inayobeba sana maendeleo kwenye nchi yetu", ni kauli ambayo husikika ikisemwa na watu wengi hususani viongozi wa serikali. Ila kwangu mimi hapo mwanzo...
Kauli tata ilitoka kinywani mwa aliyekuwa Raisi wa Marekani awamu iliyopita Bwana Donald Trump ambayo ilisababisha taharuki na tafrani miongoni mwa wengi wapenda haki na amani duniani hasa kutoka...
Kama Wahenga wetu walivyosema'Ndege anayetaka kutua kwenye bua la mtama ale sharti Kwanza atue kwenye mti wa pembeni ili aone vizuri bua lenye mtama mzuri'.
Kujitolea ni Hali ya kufanya...
UWAJIBIKAJI
Uwajibikaji ni hali au kitendo cha kuchukua hatua kutekeleza majukumu mbalimbali uliyo kabidhiwa na watu kimaandishi au kimaneno au kujikabidhi mwenyewe binafsi. Uwajibikaji ni dhana...
i) Kupata wazo kutokana na taaluma yako; wazo la biashara linaweza kutokana na taaluma yako. Unaweza kuangalia fursa zilizopo katika taaluma yako kwa maana ya fani ambayo ulisomea au ile ambayo...
kwanini tunafanya biashara?
Mfanya biashra ambae hufanikiwa ni mfanya biashara ambaye huanzisha biashara akiwa amejiwekea malengo yake binafsi. Malengo aliyojiwekea mfanya biashara ndicho kitu...
Wazo la kibiashara ni nini?
Mawazo ya kibiashara ni mawazo aliyo nayo mfanyabiashara au mtu yoyote kunilngana na mtazamo wake juu ya biashara na biashara anayotaka kuifanya. Mawazo ya kibiashara...
Maana ya sensa: Ni utaratibu wa kitakwimu wa kuhesabu, kuchambua na kutunza kumbukumbu za watu na makazi. Kwa mjibu wa sensa nchini Tanzania, ilianza baada ya nchi kupata uhuru. Hivyo imekuwa Kila...
Ni katika mpangilio wa sayari saba zenye kupendeza ambako inapatikana sayari moja inayoitwa dunia na ndani ya hiyo dunia kukiwa na mabara yapatayo saba(7) basi kati ya hayo mabara linapatikana...
Mtunzi wa Shairi- Anna Meleiya Mbise (annambise2015@gmail.com)
Jina la Shairi – Mwarubaini wa Haki
Mwarubaini wa Haki
1. Amani tunda la haki, kukua lataka wote,
Wenye viti nazo dhiki, pamoja...
Ama kweli unanipenda sana, ama kweli unaniwaza sana, ama kweli unanitafuta sana lakini unawaza mbona hunipati? Nimeamua kutoka mafichoni unapo nitafuta nikujie kwa maana kiu yako ni kubwa sana...
Utatu kati ya serikali, elimu na uchumi
Serikali.
Ili serikali iweze kukuza uchumi ni lazima kufanya kwanza maboresho katika mifumo yake ya elimu, kwa kuweka miundo mbinu wezeshi kumwezesha...
Mada Kuu: MISINGI YA UKUAJI KIUCHUMI KWA MTAZAMO NA UZOEFU WANGU.
Nimefurahi kupata nafasi ya kueleza jambo kuhusu uchumi kwasababu binafsi nimejikita katika shughuli za kiuchumi kwa muda mrefu...
ILI NCHI IENDELEE, INAHITAJI MAPATO. Pato la taifa linachangiwa na vyanzo kama vile viwanda, kilimo, madini, uvuvi, usafirishaji, utalii, kodi, ushuru, na tozo mbalimbali. Kwa Sasa hebu...
Katika jamii zetu za kitanzania kwa sasa utakuwa shahidi wewe mwenyewe kuona kwa jinsi gani ongezeko la watoto wanaolelewa na mzazi mmoja, sababu za zinawezakuwa ni KIFO cha mzazi mmoja au...
Kumekuwa na Mfululizo wa Serikali ya Tanzania kudai Taarifa Mhimu za mwananchi anapotaka kupata huduma serikali ambazo kimsingi ni Mzigo kwa Mwananchi huyo, kuwa nazo kwa wakati anaohitaji kupata...
Bado hakuchoka, bwana Kingambe aliendelea kupambana katika kutafuta maisha. Hakusahau kuhusu mambo ya ubunifu.
Akaja na jambo la ajabu zaidi la vocha zenye tarakimu 4. Hili aliliwaza baada ya...
UKATILI KWA WATOTO
Ukatili kwa watoto hufanya kwenye jamii zetu pamoja na majumbani hujumuisha ukatili wa kisaikolojia kimwili ,vitisho ,ukatili wa kingono. Ukatili unaweza kutokea kwa Watoto wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.