Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Wazo hili lilimjia bwana Kingambe pale alipoona wizi mwingi unatokea pale ambapo, watu wa karibu wanapofahamu namba za siri za ndugu au rafiki zao. Mfumo huu pia, unaondoa hatari ya mwenye pesa...
Miongoni mwa filamu zenye watazamaji wengi duniani ni zile ambazo huwa na wahusika ambao ni binadamu wenye uwezo wa ajabu kama vile; kupaa angani, kukimbia kwa kasi sana, kutoonekana, kuona mbali...
Elimu ni ufahamu na ufunuo juu ya mambo husika, yaani kuna elimu ya ; darasani, dini, barabarani, n.k
Katika mtazamo wa elimu ya darasani yaani chekechea, msingi, sekondari na chuo...
UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA
Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa...
KESHO YANGU NI KESHO KUU.
Mwandishi Simulizi za Shafih.
Baada ya jogoo wa kwanza kuwika nilijinyanyua kitandani na kukaa kitako. Siku ile jogoo hakuniamsha usingizini Bali alinifanya nijue kuwa...
Tupo kwenye kwenye karne ya 21 kwenye zama za sayansi na teknologia ambayo hujaribu kutatua na kuleta mbadala wa huduma na kazi zinazofanywa na mwanadamu kwenye kuhakikisha maisha ya wanadamu...
Wewe ni mshindi amka na Tumaini jipya
Umaskini unaweza kukunyima vingi, lakini usikubali kujishushia thamani yako kwa sababu ya umaskini. Usione umechakaa, thamani yako iko palepale.
Fanya...
Utangulizi
Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na...
Mazingira yanayozunguka yana umuhimu kwetu kama binadamu katika maisha yetu ya kila siku. Mazingira hayo yapo katika makundi mawili tofauti. Kuna mazingira asilia ambayo hayajatengenezwa na...
Je, nini maana ya uzalendo? Je ni kweli uzalendo unapatikana kwa kutodai stahiki zako?
Uzalendo ni hali ya kuipenda, kuithamini na kujitolea kwaajili ya kabila, tamaduni na nchi yako .wikipedia...
UJASIRIAMALI WA KIDIGITALI
Watu wengi wamekuwa wakielewa Ujasiriamali kwa maana isiyo pana. Wapo wanaodhani Ujasiriamali ni kufanya biashara ndogondogo kama kuuza karanga, mikoba, vyakula, viatu...
Salaam wakuu,
Kwenye kichwa cha habari ya mada hapo juu tutaangalia;
1.Utangulizi
Maana ya teknolojia na ukuaji wa uchumi
2. Sekta ambazo zinatumia teknolojia kwenye kukuza uchumi.
3...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi na uhai pamoja na maarifa ya kunijalia kuona jambo hili ambalo linahitaji mabadiliko makubwa sana ili kuleta ufanisi katika utoaji wa elimu mashuleni. Pia...
Kuna bunifu mbalimbali ambazo aliziandaa kabla hata ya kufeli chuo. Hizi zilikuwa ni programu katika kompyuta ambazo aliziandaa katika programu iitwayo MATLAB. Programu hizo ni daftari la...
Serikali ilikua na lengo zuri sana kutenga maeneo ya wazi kwaajili ya matukio ya kijamii kama vile walsha, michezo, matamasha na vinginevyo vifananavyo na hivyo.
Kama ilivyo adha kwamba kila...
1. UTANGULIZI
Duniani kote sasa hivi bei ya mafuta hususani mafuta ya dizeli petroli pamoja na mafuta ya taa yamepanda bei na sababu kubwa ikitajwa ni vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine...
DHANA YA UMAARUFU
Jamii ni mkusanyiko wa watu wenye hali na mitazamo tofauti wakiwa chini ya mamlaka moja ambapo kila mmoja ana mchango kwa maisha ya mwingine.
Katika jamii zilizoendelea, hali ya...
Tanzania ni nchi yenye wananchi walio na amani na subira sana mbele ya utawala lakini mioyoni na ndani ya fikra zao wameghubikwa na huzuni, mifadhaiko na hali duni ya maisha.
Wananchi wengi wa...
Utangulizi
Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini...
UWAJIBIKAJI NA MAENDELEO
Palikuwa na kazi ya muhimu kufanyika na kilamtu aliamini kwamba mtu fulani angeliweza kuifanya. Mtu yoyote angeliweza kuifanya, lakini hapakuwa na mtu aliyeifanya. Mtu...