Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
UTANGULIZI Inatazamiwa kuwa zaidi ya asilimia 75% ya jamii iliyopo kusini mwa jangwa la sahara ni vijana,ikiwa nusu ya hii asilimia 75% wana umri chini ya miaka 25 na hali ya elimu katika nchi...
0 Reactions
0 Replies
471 Views
Upvote 0
2 Votes
Tanzania ni moja ya nchi zilizopo mashariki mwa bara la Africa. Na ndani yake huishi Watanzania na asilimia ndogo ya watu kutoka nchi zingine duniani. Tanzania sasa angalau haipo katika nchi...
1 Reactions
1 Replies
481 Views
Upvote 2
2 Votes
UTANGULIZI Sayansi na teknolojia ni maneno mawili tofauti lakini yana maana zinazohusiana, Sayansi ni elimu inayoambata na majaribio kuhusu kitu fulani lakini teknolojia ni matumizi ya...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Upvote 2
0 Votes
KILIMO Sekta inayolisha na kuleta neema kwa mabilioni ya watu imeendelea kupata changamoto za kila aina, Mungu si Athumani, bado imeendelea kutulisha na kutupa afya na ustawi wetu wa kila siku...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Upvote 0
1 Vote
Mtu huwa makini afanyapo jambo kwa juhudi na uangalifu wa hali ya juu. Mwanafunzi anayesoma kwa bidii anaonekana na umakini katika kusoma kwake, mfanyabiashara anayejituma kwenye biashara yake...
1 Reactions
0 Replies
409 Views
Upvote 1
0 Votes
UTAMBULISHO Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Upvote 0
1 Vote
Elimu ya fedha, uhuru wa kiuchumi Na Binti Msakuzi Kwa kipindi kirefu mazungumzo kuhusiana na suala la fedha yamekuwa ni gumzo baina familia mbalimbali za kiafrika. Ukimya huo uliyotamalaki juu...
1 Reactions
0 Replies
862 Views
Upvote 1
1 Vote
Bado tunasafari ndefu Na Binti Msakuzi Kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele ndivyo wananchi wanazidi kupoteza Imani na vyombo vya habari nchini. Kwa kiasi kikubwa wana haki hiyo baada ya tasnia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Pembejeo za kilimo kama vile trekta na mashine za kusaga, kukoboa, kukausha nafaka na kukamua mafuta na vitu vingine bado upatikanaji wake kwa wakulima umekuwa ni kitendawili mfano wakulima...
1 Reactions
0 Replies
589 Views
Upvote 0
1 Vote
Zaidi ya asilimia sabini ya Watanzania ni wakulima, ili Tanzania ipate mabadiliko chanya shughuli zifanywazo na hawa hazina budi kutiliwa mkazo mno. Wakiwemo ndugu zao wafugaji na wavuvi. Idadi...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Upvote 1
4 Votes
Elimu ni ile hali ya kusambaa kwa maarifa,akili,ubunifu,uwezo na ujuzi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwengine, au kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine. Pia Elimu ni msingi mkuu wa...
2 Reactions
0 Replies
439 Views
Upvote 4
3 Votes
Mwenye degree asiye na ajira kuna wakati huwa anaona bora angeishia form four na angefanya shughuli nyingine. Na aliyeishia darasa la saba kutokana na hali ya maisha aliyonayo kuna wakati anaona...
1 Reactions
1 Replies
762 Views
Upvote 3
0 Votes
Utofauti wa mawazo kati ya binadamu na binadamu, utofauti kati ya mawazo ya mtu mmoja mpaka mwingine na utofauti wa shida kati ya huyu na na yule, hii ni siraha bora ya kukuwa kiuchumi, licha ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
Kuna watu ambao walipitia shida nyingi sana enzi za utotoni na ujanani mwao; kuanzia kula yao, kusoma kwao, kulala kwao, kuvaa kwao, nk kulikuwa ni kwa shida sana. Kiufupi tu ni kwamba walipitia...
0 Reactions
0 Replies
289 Views
Upvote 0
3 Votes
KILIMO KWA MANUFAA YA UCHUMI WATAIFA LA TANZANIA Kilimo, ni sayansi na sanaa inayohusisha ufugaji wa mifugo, na kilimo cha mazao mbalimbali ya shambani, ikiwemo mazao ya biashara na chakula...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Upvote 3
0 Votes
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Upvote 0
0 Votes
AFYA Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta. Tukianzia na madawa, ningependq kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji...
0 Reactions
0 Replies
282 Views
Upvote 0
0 Votes
Uchumi ni utafiti wa uhaba na athari zake kwa matumizi ya rasilimali. Masomo ya uchumi huwa yanalenga kuelewa namna gani watu hu badili tabia ili kukumbana na hali inayoendelea. Uchumi hauna...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Upvote 0
0 Votes
Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
414 Views
Upvote 0
2 Votes
MATUMIZI SAHIHI NA SALAMA YA MITANDAO YA KIJAMII Mara nyingi tumekua tunatumia mitandao ya kijamii bila kujiuliza juu ya usalama wa taarifa zetu. Tumekuwa kama mateka katika mitandao hii ya...
2 Reactions
0 Replies
381 Views
Upvote 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…