Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Utangulizi.
Tangu uwepo wa ulimwengu huu maji ni kimiminika ambacho kimekuwepo na kusaidia shughuli mbalimbali za uendeshaji na ujenzi wa ulimwengu tangu ikiwa tupu hadi sasa katika zama za...
Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu.
Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka...
EDUCATION IS KEY OF LIFE
______________
Godson Kitomary
Tunapozungumzia swala la "ELIMU" Kuwa "UFUNGUO" Wa maisha tunazungumza kijana kuweza kujitegemea mwenyewe na kusimama katika harakati za...
Miaka ya nyuma ilikuwa ni nadra kusikia mijadala inayohusu uwezo wa mwanamke katika kuongoza, ilionekana mwanaume ndiye anafaa.
Dhana hii inazidi kukosa mashiko kadiri siku zinavyokwenda kutokana...
Utangulizi
Chagamoto ya ajira kwa wahitimu wa vyuo vikuu nchini imekuwa ni tatizo sugu ambapo kama lisipotafutiwa ufumbuzi basi linaweza kulitumbukiza taifa katika dimbwi la unyang’anyi na...
Utangulizi
Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma...
Utangulizi
Mabadiliko ya haraka na kuongezeka kwa utata(complexity) wa dunia ya leo, huleta changamoto mpya na kuweka mahitaji mapya kwenye mfumo wetu wa elimu. Kwa ujumla, kumekuwa na mwamko...
NI wazi kuwa Kasi ya maisha imekuwa Kali kiasi kwamba si baba Wala mama ambaye anataka kukaa nyumbani na kusubiri bili za mwisho wa mwezi kuanzia , umeme, maji,usafi,ulinzi,school bus fees n.k...
Utangulizi`
Mazingira ni jumla ya ardhi, maji, hewa na kila kilichopo ndani yake, mwanadamu akiwa sehemu ya mazingira anawajibu mkubwa katika usimamizi wake. Aidha, mwanadamu ana mchango mkubwa...
Giza totoro la usiku wa manane liliendelea kukumbatia kibanda alimoswekwa Marina, binti wa miaka kumi wa mzee Pakishu. Hakuwa amepata usingizi tangu aliposokomezwa humo na baba yake. Angepataje...
Paraphilias
Hii ni tatizo ambalo mtu anapata hisia za KIMAPENZI kwa kupitia vitu ambavyo sio binadamu,kwakuumizwa au kuumiza na kwa watoto
Aina za paraphilias.
1 fetishistic
Hili ni tatizo la...
UTANGULIZI;
Tangu utoto nimesikia usemi “elimu ni ufunguo wa maisha”
Tunakuwa tukiwa na ndoto kubwa na kuamini elimu ndio ufunguo
wao.Lakini je funguo zimebadilika au mlango umekuwa mbovu?
Elimu...
Chakula, malazi na mavazi ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya mwanaadamu kwa karne nyingi, ijapokua karne ya ishirini na moja imekua na ziada ya mahitaji ikiingiza gharama za elimu, afya pamoja na...
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022)
UTANGULIZI
Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye...
Babu yangu amenisimulia kuhusu athari zinazotokana na kupuuza mambo au kuchukulia "poa" kila kitu. Kupitia simulizi hii nataka nawe ujifunze, na ikibidi ikufanye kuwa mpya kabisa.
Bwana mmoja...
Kwa kutumia Upeo wa kati wa Ufahamu kuhusu Uchumi kwa Mujibu wa tunaowaita Wabobezi wa Masuala ya Uchumi, Tunautafsiri Uchumi kama ifuatavyo,UCHUMI ni Mahusiano yaliyopo kati ya Uzalishaji...
Habari za kazi wanajamvi,
Leo hii nimeona niandike kuhusiana na umuhimu wa kuwepo kwa MAABARA za kufanyia majaribio mbalimbali katika Somo la sayansi kwa shule za msingi hapa nchini kwetu...
Kaka Shabani, ni kijana mwenye historia ndefu na ya kipekee katika maisha yetu ya siku hizi. Huyu ni mkaka anayemiliki pikipiki zipatazo ishirini na tano na viwanja katika maeneo mbalimbali...
Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila...
Nawasalimu wote kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Awali ya yote nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa afya njema anbayo imenipa fursa hii ya kuandika haya kwa manufaa ya ustawi wa nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.