Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Utangulizi
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazotenga kutolesha mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali...
UTANGULIZI
Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa...
Safari Ya Dar es Salaam
Dar es Salaam ni moja mkoa kati ya mikoa 33 na moja ya jiji kati ya majiji 5 katika nchi ya Tanzania. Dar es salaam ina wilaya 4 ambazo ni Kinondoni, Ilala, Temeke na...
Unajiona sio mtu mwenye umuhimu tena kwenye haya maisha na hujui nini kimekukuta au wapi ulipokosea, unatamani kulia sana na upate mtu wa kumweleza unayoyapitia, umeamua kuwa mtu wa liwalo na...
Watu wengi katika nchi yetu wanaishi maisha ya kawaida sana na ya kujutia sana huku wengi wao hawafurahii shughuli na kazi wanazozifanya. Lakini katikati ya watu wote hao kuna wengine bado...
Nchi zenye uchumi mkubwa duniani kama Marekani na China zinapiga hatua kubwa katika Nyanja mbalimbali za teknologia wakati sisi Tanzania(Africa kwa ujumla ) tukiwa bado tuko nyuma. Mifano mizuri...
UTANGULIZI:
AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya...
Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na...
DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA
UTANGULIZI:
Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii...
Usawa wa kijinsia ni lengo la jitihada za kuleta usawa kati ya jinsia zote, kutokana na dhuluma mbalimbali za jinsia moja dhidi ya nyingine. Usawa wa kijinsia unahusiana na haki za binadamu, hasa...
Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23...
Afya ya Akili.
Kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO), afya ya akili ni hali ya kutambua na kuthamini afya ya hisia na mwili kwa ujumla ambavyo vinahusisha ubongo. Afya ya akili katika karne...
UTAWALA (BORA)
Uwepo wa Uongozi na serikali mbalimbali una lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowaongoza na njia mojawapo ambayo ni kiungo muhimu cha kufikisha maendeleo hayo kwa wanachi...
UTANGULIZI
Huduma za afya ni jumla ya huduma za umma zinazotolewa ili kuboresha afya ya wananchi. Mfano wa huduma za afya ni pamoja na uboreshaji wa mazingira ya kufanyia kazi kwa watumishi katika...
Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni...
Peter ni rafiki yangu na ni kijana wa miaka 27, mjasiriamali na anatumia mitandao kujitaftia riziki. Vilevile ni mtaalamu katika masuala ya uundaji na uendelezaji wa tovuti(website designing and...
nipende kuchukua fursa hii kuipongeza sana serikali ya Tanzania KATIKA jitihadaa zake za kuhakikisha kila Mtanzania anapata elimu angalau ya sekondari ili kufukuza ujinga ,hii Ni baada ya kuifanya...
Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Shughuli hizo ni pamoja na uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia...
Je! Unajua unaweza kudukua Iphones?
Unafahamu ndicho chanzo cha tajiri namb 1 duniani Jeff Bezos kuachwa na mkewe?unafahamu aliyefanya hilo tukio ni King Salman kiongozi wa Saudi Arabia?
Kuna...
Awali mtoto wa kike hutakiwa kutokuondoa nywele zilizopo katika sehemu za siri kwa muda wa miezi mitatu, kisha huwekwa ndani kwa muda wa mwezi mmoja wakifanyiwa mambo ya kiutamaduni.
Baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.