Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

1 Vote
Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha...
0 Reactions
4 Replies
576 Views
Upvote 1
98 Votes
UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka...
87 Reactions
62 Replies
5K Views
Upvote 98
0 Votes
"Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"! Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake. Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Upvote 0
0 Votes
Imekuwa changamoto kubwa sana kwa watoto wanao anza awali au darasa la kwanza kwa maeneo ya vijijini na hususa ni kwenye makabila yanayo dumisha zaidi Lugha mama kuliko kiswahili. Kuna kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Upvote 0
0 Votes
Jamii nyingi za kiafrika zimekumbwa na matatizo mbali mbali katika familia kama:- 1: Ndoa kuvunjika 2: Baba kukimbia familia 3: Vijana kukataa mimba 4: Watoto kuugua magonjwa yatokanayo na...
0 Reactions
0 Replies
331 Views
Upvote 0
0 Votes
Alex Fellar Ndiomaana mtume Paulo aliwa tahadhirisha Wakristo kuwa juu ya neema hiyo wasijisifu badala yake waogope [WARUMI11:24-25]. Kwa maana alisema 'Kama hakuwaachia Israel aliowapenda...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI; Kutokana na kuwepo kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira kwa wasomi wenye taaluma mbalimbali katika kada za afya, maono yangu ni endapo serikali itaamua kuchukua hatua ya kutoa vibari...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 0
0 Votes
Ndugu, wanajamii Forum na wasomaji wote, kumekuwa na wimbi la watu wengi hasa vijana tunaotumia mitandao ya kijamii kwa wingi kupuuza frusa zitokanazo na mitandao ya kijamii. Hii ni kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Upvote 0
0 Votes
Tunapozungumzia maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na intanet bila shaka hutaacha kuzungumzia jukwaa linalotoa fursa za ajira, kujuajiri (yaani kuuza bidhaa au huduma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
Kwa Majina wananiita bwana Kupata Majaliwa, mtoto wa tatu kuzaliwa katika familia ya watoto wanne inayoongozwa na mama pekee. Familia yetu haikuwa familia yenye uwezo wa kifedha lakini pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Upvote 0
0 Votes
“Elimu ni ufunguo wa maisha” nakumbuka huu msemo ndio ulikuwa motto na salamu tuliyotumia kusalimia walimu wetu kipindi niko shule ya msingi Diamond. Kwa kipindi hiko tulitamka maneno hayo kwa...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Upvote 0
2 Votes
FAHAMU JINSI YA KUTAFUTA SOKO NA MASOKO. Utangulizi: Kuwafundisha washiriki wote kufikiri ki- masoko na kuelewa baadhi ya mbinu za masoko kitu ambacho kitawafanya waelewe maana ya maneno “soko...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Upvote 2
0 Votes
Amani ya Mungu iwe nanyi. Katika kipindi cha miaka mitano hadi sita iliyopita nimeshudia wajasiriamali wadogo( machinga)wakifanya biashara zao maeneo yasiyo rasmi. Baadhi yetu kama wateja...
0 Reactions
0 Replies
275 Views
Upvote 0
0 Votes
Story of change. Hadithi yangu inaanzia asubuhi ya Mei 9, 2017 baada ya kupokea simu. Haikuwa ni namba ngeni kwenye simu yangu, alikuwa ni mtu mwenye nilikuwa nikimfahamu na ni mtu wa karibu...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Upvote 0
1 Vote
DENI LA TAIFA NA UNYONGOFU WA MFUMUKO WA BEI Mikopo inatoa uwezo wa kununua baada ya ahadi ya kurejesha, ambapo deni linazaliwa. Uzuri wa deni au ubaya unaamuliwa kwa uzalishaji uliosimamiwa na...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Upvote 1
2 Votes
PANDE MBILI ZA TANZANIA YETU. SEHEMU YA KWANZA: TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA. SEHEMU YA PILI: WANANCHI NA UFUKARA, WATAWALA NA UKWASI. TANZANIA YETU KATIKA MAANDISHI NA PICHA...
1 Reactions
0 Replies
304 Views
Upvote 2
0 Votes
Elimu ni ujuzi, utambuzi au maarifa. Kwa kulitambua hili, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejidhatiti katika sekta ya elimu kwa kuipa kipaumbele. Serikali imejitahidi kwa kiasi...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Upvote 0
1 Vote
Ni kwa muda sasa adhabu za viboko zimekuwa zikitumika mashuleni kama njia ya kuwa-adabisha wanafunzi, huku ikiaminika kuwa kupitia kuwa adhibu watoto kwa kuwachapa fimbo husaidia kuongeza utii...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Mataifa makubwa na ya kati tunayoyaona leo yaliwekeza kwenye Sayansi na teknolojia,ndipo yalipofikia apa tunapoyaona.Ili taifa letu la Tanzania kuweza kukua halina budi kuwekeza kwenye sayansi na...
1 Reactions
2 Replies
591 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom