Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Vijana wengi hujiuliza ni nini nifanye baada ya kumaliza elimu yangu , haijalishi elimu ya ngazi gani japokua walengwa hasa ni wanao maliza kidato cha nne na vyuo katika ngazi mbali mbali, Lengo...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Upvote 0
2 Votes
UTANGULIZI: Kulingana na takwimu za hivi karibuni(Sekta ya Mifugo)Idadi ya mifugo hapa nchini imeongezeka ambapo idadi ya ng’ombe imeongezeka kutoka milioni 33.9 hadi milioni 35.3; mbuzi kutoka...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Upvote 2
0 Votes
Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana. Ili elimu yetu iweze...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Upvote 0
0 Votes
Dingii alikuwa mshua ambaye life style yake ilikuwa ya Kipedeshee. Wale madingi hongahonga wa mjini. Ambao huingiza milioni moja na kuhonga laki tisa nzima. Hata hajutii! Alipokuta mkwanja mwingi...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Upvote 0
0 Votes
MFUMO DUME KUISHA LABDA IBILISI AJITOKEZE POSTA AKILA DAFU Kikao cha mama zetu kina Gatrude kule Beijing. Hawakuchonga funguo ya ukatili dhidi ya watoto wa kiume. Lengo lilikuwa jema juu ya...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Upvote 0
5 Votes
Mtaala wa elimu ni mpangilio wa kozi au mafunzo ambao shule,vyuo na taasisi za elimu hutoa na katika muda ulio sahihi mwanafunzi aweze kuhitimu. Mtaala wa elimu unaotumika katika nchi yetu ya...
2 Reactions
4 Replies
910 Views
Upvote 5
0 Votes
Miaka kadhaa nyuma familia ya Mzee Masega wa kijiji cha Mkata kamba ilipata mtoto mzuri wa kiume mwenye afya njema ya kuridhisha na mwenye tabasamu mwanana. Mama wa mtoto akapewa Heko na hongera...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Upvote 0
1 Vote
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Upvote 1
0 Votes
Kila mmoja atafakari,ni nini kitatokea endapo kila kaya/familia/nyumba itapanda miti miwili tu kuizunguka nyumba hiyo,nini kitatokea baada ya miaka michache tu ya kupanda miti hiyo. Kila taasisi...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Upvote 0
0 Votes
Tanzania ni nchi huru inayojitegemea katika mfumo wake mzima wa Elimu pasipo kushuritishwa na Taifa lolote duniani. Mfumo mzima wa Elimu ya Tanzania umetokana na sera na mitaala ambayo...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Upvote 0
0 Votes
Umewahi kusikia msemo wa kiswahili unaosema “Wema hauozi?”. Inawezekana umesikia lakini inakuwa vigumu kuamini na kubaki kujiulizau maswali mengi kwamba unawezaje wema kutokuoza?. Bila mifano...
0 Reactions
0 Replies
296 Views
Upvote 0
0 Votes
Waswahili husema "Pafukapo moshi basi pana moto" naam kwa hakika. Leo hii kilio na malalamiko kila mahali juu ya utawala bora, Elimu bora na hata mfumo mzuri wa maisha, ndugu zangu watanzania...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Upvote 0
1 Vote
Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha...
1 Reactions
0 Replies
944 Views
Upvote 1
2 Votes
Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili isiumize wananchi Ikusanye kodi kweny vilevi na sigara. Serikali itumie rasilimali zake kujiendesha mf. Madini, gesi, utalii, bandari n.k. Haiwezekani...
2 Reactions
2 Replies
368 Views
Upvote 2
3 Votes
MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na...
2 Reactions
1 Replies
496 Views
Upvote 3
0 Votes
UTANGULIZI Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Upvote 0
0 Votes
1) Wabunge 20 wataalamu waongezwe Tofauti na wabunge wa majimbo. - Hawa watakuwepo bungeni kuwakilisha taaluma au fani mojawapo muhimu katika maisha ya watanzania. Mifano ya fani hizo ni Elimu...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Upvote 0
0 Votes
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekua na changamoto kubwa sana ya ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa elimu ya vyuo mbalimbali, iwe elimu ya juu au elimu ya ufundi. Vilevile kumekua na...
0 Reactions
0 Replies
444 Views
Upvote 0
0 Votes
MAZUNGUMZO NA YANGU KIPOFU MWENYE PhD. Utangulizi, Toka nilipoanza shule nilipitia mikono ya waalimu wengi sana. Shule ya msingi tu nilifundishwa na waalimu wasiopungua 18, sekondari...
0 Reactions
0 Replies
287 Views
Upvote 0
0 Votes
JINSI HALI YA UVIKO 19 ILIVYO LETA ATHARI KATIKA UPATIKANAJI, UTUNZAJI NA UZALISHAJI WA CHAKULA. UTANGULIZI UVIKO 19 ni ugonjwa ulio anza kusambaa mwishoni mwamwaka 2019, ukianzia huko nchini...
0 Reactions
0 Replies
445 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom