Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
UTANGULIZI Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao. kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia tumeona Faida nyingi...
0 Reactions
0 Replies
408 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI "Ajira kwa vijana" umekuwa ni wimbo wa Kila siku ambao watu kama wanasiasa na viongozi wengi wa serikali na wasio wa serikali(NGOs) wamekuwa wakiuimba Kila siku na mara nyingine...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Upvote 0
0 Votes
Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au...
0 Reactions
0 Replies
615 Views
Upvote 0
1 Vote
MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Mwendapole hajikwai ndivyo wanenavyo wahenga, salamu kwa wasomaji ndiyo sifa yangu njema. Jioni kabla ya jua kuacha kutuandama, wanakoo hujikusanya barazani kwa mzee Ndama. Watoto hujaa mapema...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Upvote 0
0 Votes
Utangulizi: Awali ya yote napenda kutumia fursa hii kumpongeza "Mh: samia suluhu hassan, raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania" kwa kuonyesha upendo na mahaba makubwa kwenye sekta ya utalli...
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Upvote 0
3 Votes
Siasa ni kitu chenye athari kubwa katika maisha yetu, ukiacha dini na fedha. Ni siasa ambayo inaweza ikampandisha au kumshusha mtu bila kujali uchumi na uwezo wake. Hata ukiwa kwenye sekta binafsi...
2 Reactions
1 Replies
547 Views
Upvote 3
1 Vote
Saadan! Mbuga iliyopo pembezoni mwa bahari ya hindi, ukanda wa bagamoyo ni eneo la thamani sana ambalo serikali imelisahau, ama limeifumbia macho ama haijui kama inaweza kuwa sehemu ya kuiongezea...
1 Reactions
1 Replies
580 Views
Upvote 1
0 Votes
Ili KUBADILIKA wafuatao ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza JE, NI NANI AANZE KUBADILIKA? Kabla ya kuitaka jamii yetu ibadilike ni kheri tufahamu kuwa wanajamii ndiyo wanaopaswa KUBADILIKA kwanza...
0 Reactions
0 Replies
204 Views
Upvote 0
0 Votes
Ua la Faraja riwaya iliyoandikwa na William.E. Mkufya mwaka 2001. Katika makala haya najadili kwa ufupi jambo moja tu linalojitokeza zaidi kuanzia kurasa wa 356 mpaka 364. Kusudi la makala haya...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Upvote 0
4 Votes
Habari wana JF Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za...
2 Reactions
4 Replies
400 Views
Upvote 4
1 Vote
"Niliyesimama mbele yenu siyo mbunge ni msanii Natumia sanaa kuitetea jamii Naongea nikiwa Bongo sitakimbia kama Roma Mkiniteka mkinifunga bado dunia itasonga" (Ney Wamitego, 2021) ‘Ney Wamitego...
1 Reactions
0 Replies
873 Views
Upvote 1
0 Votes
Ushirikishwaji wa vijana katika kilimo imekuwa mada kuu hivi karibuni na imeibuka katika ajenda ya maendeleo, kwani kuna wasiwasi unaokua ulimwenguni kwamba vijana wamekata tamaa na kilimo. Huku...
0 Reactions
0 Replies
422 Views
Upvote 0
0 Votes
Kuipitia hadithi hii n wazi kuwa jamii itabadilika na kutupilia mbali Imani zinazogubikwa na wimbi la udanganyifu. Basi, binti mkurugenzi alikuwa na rafiki Yake aitwae Sikujua ambae alikuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Upvote 0
1 Vote
Unapotazama maamuzi ya serikali wakati mwingine inashangaza sana. Ukisikiliza kauli za wanasiasa inashitua mno. Lakini kubwa kuliko na kinachonyong'onyesha akili, mifupa, mapafu na nyoyo ni...
1 Reactions
1 Replies
277 Views
Upvote 1
2 Votes
Dili kubwa Afrika na Tanzania ikiwemo, ni siasa. Wahadhiri na wasomi wanatoweka vyuoni kama sauti za tausi pale Ikulu. Wanajiingiza kwenye siasa na harakati za kipuuzi kwa mgongo wa demokrasia...
2 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 2
2 Votes
Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20...
1 Reactions
2 Replies
555 Views
Upvote 2
1 Vote
Ni majira ya Saa Kumi na Mbili jioni anaonekana Kijana mwenye furaha huku mbele yake kukiwa na watu takribani kumi na nane furaha hiyo inakuja pale kijana Shahibu Abdallah anayefahaamika kwa jina...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Upvote 1
1 Vote
Mkeka au Mikeka "ni kauli zinazotamkwa kutoka kwa vijana wengi kwenye kila kona ya nchi yetu haswa vijana wa kiume ukilinganisha na wale vijana wa kike ,kwa hakika vijana ni miongoni mwa nyenzo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 1
0 Votes
Ninayoimani kubwa kuwa Tanzania tumepoteza hazina kubwa ya ubunifu, maarifa na mapato kwa kukosa watu sahihi wa kuyaibua na kuyaendeleza mawazo ya kibunifu. "Siku neema ya kuweka alama kwenye...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom