Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Habari wapendwa,
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo kwa neema ya Mwenyezi Mungu. Kupitia jukwaa hili la "Stories Of Change" napenda kushiriki kwa kuja na mada isemayo "Namna Bora ya kupunguza ukali...
Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini...
Baada ya njaa kali nimejikuta nikifanya uchunguzi na kugundua uhusiano uliokuwepo kati ya mwanaume na jua, na mwanamke na mwezi katika maisha ya kila siku.
Mwanaume na mwanamke kila mmoja ana...
Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu.
Pia...
Nina rafiki yangu ninamfahamu tunaishi naye mtaa mmoja, nimecheza naye mpira mara nyingi sana mtaani kwetu, nakiri kusema kuwa katika watu niliowahi kucheza nao mpira pengine yeye alikuwa ndiye...
Utafiti na Maendeleo Tanzania
Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua...
Umewahi kupata wazo kuwa mtu kazini kwako hana nia njema na wewe?
Je, wakati mwingine unahisi kuna watu fulani unaofanya nao kazi ni wabaya wako?
Inawezekana isiwe uadui wa moja kwa moja lakini...
Kijana wangu Sasa umekuwa si mtoto tena, umeingia umri wa kuyajenga, umri wa majukumu, natamani ningekufundisha haya ana Kwa ana ila muda Sio Rafiki hivyo nimekuandikia walaka huu utakaokusaidia...
Mazingira; Ni vitu vyote vinavyo mzunguka kiumbe hai.Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa...
Huenda likawa jambo gumu kwako kuamini, lakini ukweli ni kwamba; kiwango cha unyanyasaji kwa wajawaito katika maeneo ya kutolea huduma za afya ni kikubwa sana. Ni jambo linalosikitisha, kuona wale...
Je una tatizo? hilo ni jambojema!.
Je una tatizo? Na ni jambo jema kwanini?
Kwasababu utatuzi wa matatizo yako unakuletea mafanikio makubwa katika maisha yako.
Kila mmoja wetu ana matatizo ndo...
Jamii tunayoishi imekuwa na mambo mengi ya kustaajabisha ambayo ukikaa kuyatafakari Kwa undani yanatokana na mambo ya kimila, watu wamekuwa wakiishi Kwa mateso wakijua hayo ndio maisha Yao kumbe...
25/08/22 Wilayani Kisarawe kata ya Sanze mtaa wa Kibon'gwa ndipo ilipokuwa kiwanda changu kidogo cha kutengenezea silaha bandia kwaajili ya filamu na video za muziki.
Ilikuwa saa 10:30 jioni...
Maskati ni Kata inayopatikana upande wa Kaskazini Mashariki Mwa Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. Wakazi wa Kata hii kwa kiasi kikubwa huishi kwa kutegemea shughuli za Kilimo hasahasa kilimo Cha...
Kuwepo kwa Teknolojia kumepelekea kutokea mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja au nyingine yamepelekea kurahisisha matumizi ya kazi za binadamu ya kutoka katika ugumu na kuwa katika urahisi...
SAYANSI NA TEKNOLOJIA
UTANGULIZI
Sjui ni Mimi tu au Kuna wenzangu ambao pia hukerwa na baadhi ya tabia mtandaoni kutokana na matumizi mabaya ya mtandao.
kupitia maarfa ya Sayansi na Teknolojia...
Moja ya vitu ambavyo vinatuchelewesha sana watanzania basi ni ubinafisi, tuna ubinafisi wa kutisha sana na ambao hauna afya kabisa mbele ya safari zetu, nakumbuka kipindi cha nyuma ilianzishwa...
Ikawa furaha kwa wazazi wote wawili kumpata mtoto wa kiume. Ikawa ni furaha zaidi kwa kuwa walimsubiri mtoto wa kiume kwa miaka mingi kwa hamu na shauku kubwa. Wakazipiga nderemo na vifijo kuuona...
Swala la rushwa ya ngono vyuo vikuu na vyuo vya kati ni jinamizi linalozidi kuitafuna jamii yetu kila uchwao. Rushwa ya ngono si neno geni wala habari mpya kwa wafuatiliaji wengi wa mitandao ya...
Tuanzie mbali kidogo katika karne za nyuma hususani kuanzia karne ya 18 hadi ya 19 dunia iliingia katika machafuko ya kivita na biashara za utumwa.
Ndani ya karne hizo pia kulitokea na mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.