Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

8 Votes
Kuku ni moja ya ndege wanaopatikana kwa idadi kubwa sana hapa nchini kwetu na hata duniani kote kwa ujumla,watu wengi wamekua wakifuga kuku kwa mazoea na sio kama biashara,hii imepelekea watu...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Upvote 8
52 Votes
Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na...
39 Reactions
35 Replies
2K Views
Upvote 52
7 Votes
1. Kuingia kwenye uraibu Madawa ya kulevya,ulevi,ngono,bangi na uvutaji wa sigara ni moja ya mashimo hatari yanayonasa vijana.Uraibu ni njia tu ya kufanya maisha kuwa magumu zaidi. Yatachukua...
7 Reactions
7 Replies
2K Views
Upvote 7
3 Votes
Kuna mambo mengine mtu unaweza kufanya hapa duniani halafu baadaye ukigeuka ilikotoka ukajiuliza, hivi mi mimi kweli? Unaweza kutenda kitu ukiwa unajua kabisa kwamba umeikosea nafsi yako...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Upvote 3
2 Votes
Tanzania Na Uwekezaji Kutoka Nje Katika kipindi cha zaidi ya mwaka cha Serikali ya awamu ya sita, Raisi Samia Suluhu Hassan amekuwa akifanya ziara katika baadhi ya mataifa mbalimbali barani...
1 Reactions
4 Replies
888 Views
Upvote 2
0 Votes
'Mama Kibandiko Unajua kupika kila kitu!'-" Pishi la Leo Maharagwe tena yame changanywa na Tui la Nazi!!'. ..."Basi Shibe yangu imekua Balaa". "Huwa nahisi raha Sana, pia najisikia Amani kula...
1 Reactions
2 Replies
887 Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI Awali ya yote nipende kumshukuru Mwenyezimungu Aliyenipa afya na fikra za kuchangia story of change ambayo inaweza kuibua mijadala mbalimbali yenye kuleta mchango kwa jamii na taifa kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 0
93 Votes
Baada ya kuhitimu Shahada ya Sanaa (BA)2011 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), nilitafuta kazi bila mafanikio. Nikaona nisome Stashahada ya Uzamili katika Elimu nikamaliza 2014 ili nipate ajira...
51 Reactions
166 Replies
21K Views
Upvote 93
7 Votes
Kutokana na maendeleo ya dunia ya leo ya sayansi na teknolojia vijana wengi wanatamani kupata mafanikio ya haraka pasipo kufanya kazi kwa bidii hii hupelekea ongezeko kubwa la vijana kutegemea...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 7
8 Votes
Unene ni hali ya mkusanyiko au ongezeko la mafuta mwilini.Hii ni hali ambayo mtu anakuwa na uzito mkubwa kuliko uzito ambao mtu anatakiwa awe nao kulingana na urefu wake. Tatizo hili miaka ya...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Upvote 8
209 Votes
Kama ilivyo jadi ya Watanzania wengi, baada ya kuhitimu elimu ya Secondary nilijiunga na Chuo Kikuu kuchukua Degree ya Business Adiministration ambayo nilisoma kwa miaka mitatu hadi mwaka 2015...
161 Reactions
217 Replies
21K Views
Upvote 209
3 Votes
"Je nisomee kazi gani itakayonipa ajira kwa haraka?" Limekuwa ni swali ambalo linaleta changamoto sana kwa wanafunzi waliowengi kwani halina majibu ya moja kwa moja. Kutokana na hali ya maisha...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Upvote 3
1 Vote
“Hakuna mantiki hata kidogo kuruhusu matumizi na umiliki wa pombe na tumbaku na kufanya kanabisi jinai.”-Hukumu ya kanabisi / “Cannabis Judgement,” 18 September, 2018. Mahakama ya Upeo, Afrika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 1
11 Votes
BANGI IHALALISHWE. Kwa ulimwengu wa sasa siyo vyema kuendelea kudanganyana , baahi ya masuala hayawekwi wazi siyo kwa sababu gani? Hakuna cha maana zaidi ya danganya toto. Sheria na kanuni...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Upvote 11
0 Votes
BLOCK CHAIN TECHNOLOGY UTANGULIZI Block chain technology ilianzishwa 1991 na ikaanza kufanya kazi baada ya anguko la uchumi lililoikubwa dunia , Satoshi Nakamoto ni mtu wa mwanzo aliyeingiza...
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Upvote 0
2 Votes
Kipele kinaweza kuwa dalili ya awali ya VVU, Lakini kirusi cha UKIMWI kinaweza kikasababisha aina mbalimbali ya vipele hivyo ni lazima ufahamu haya ambayo leo tunaenda kukufahamisha. Watu...
7 Reactions
6 Replies
11K Views
Upvote 2
1 Vote
MIMI ni NANI Ni asubuhi niliyokua naisubiria kwa hamu sana na mwili wangu hauwezi kuvumilia kuonyesha shauku niliyokuwa nayo. Nahisi kama moyo wangu unadunda kwa kasi sana huku viganja vya mikono...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 1
7 Votes
Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Upvote 7
8 Votes
UTANGULIZI Katika Dunia nzima, nchi zote hufanya chaguzi zake ili kupata viongozi wake wa ngazi tofauti tofauti kupitia mfumo wa kupiga kura za mficho. Njia inayotumika kwa sasa nyingi huwa...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Upvote 8
3 Votes
Wabunge ni viongozi wenye nguvu kubwa ya mtaji wa watu nchini, nafasi yao katika maeneo yao ni viongozi wanaobeba shida za jamii, mapendekezo kwa serikali na shukrani za wananchi kwa serikali...
2 Reactions
10 Replies
899 Views
Upvote 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…