Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

9 Votes
Imeandikwa na : IDRISSOU02 Mdau wa JF. Picha na Sema Tanzania Hakika kila mtu anatamani mafanikio. Hata yule mtu mwenye mafanikio tiari, bado...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Upvote 9
13 Votes
ILI KULETA TIJA YA VYAMA VINGI VYAMA VIFANYE HAYA. Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya kisiasa, tokea tuache mfumo wa chama kimoja mwaka 1992 na 1995 rasmi katika uchaguzi hadi leo 2022, vyama...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Upvote 13
1 Vote
Jioni ya leo tu nilikuwa natembea kwenye njia nyembamba ya kichaka, ghafla nikakosea nikakanyaga Mchwa 🐜 mkubwa ... Mara nikaondoa mguu wangu, nikagundua nimemuua, lilikuwa kosa ingawa nikaendelea...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 1
16 Votes
ELIMU WAKATI TULIONAO NA TUENDAPO Kwa nchi nyingi za Afrika, elimi ni kurithisha maarifa, stadi na ujuzi kwa mwanafunzi katika eneo maalumu. Hata katika jadi ilikuwa ni hivyo hivyo ambapo...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Upvote 16
2 Votes
SEKTA YA KILIMO HASA CHA TANGAWIZI KUKOMBOA UCHUMI WETU Kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa hata baba wa Taifa Mwl JULIUS NYERERE alishawahi pata kusema na ndio tumaini kubwa katika kuinua maisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Upvote 2
102 Votes
Andiko hili lina sehemu kuu nne; Utangulizi, Mada, Mapendekezo na Hitimisho. SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bi Amina J. Mohamed kwenye Maadhimisho ya Siku ya...
71 Reactions
711 Replies
21K Views
Upvote 102
2 Votes
Ni takribani miaka 39 tangu dunia ikumbwe na Janga hatari la kirusi cha UKIMWI. Hatua mbali mbali zimechukuliwa na wataalamu pamoja na mashirika ili kuhakikisha janga hili linatomezwa ulimwenguni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 2
2 Votes
Na; Mashaka Siwingwa Watu wengi sana wamekuwa wakiamua kufanya au kuanzisha biashara na kupanga malengo kwa biashara hizo. Hata hivyo, biashara hizo huanguka na kupotea kabisa kwa mtaji pasipo na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 2
495 Votes
Kubuni na Kutengeneza Kifaa Kinachotatua Changamoto ya Malipo ya Bili za Umeme Kwenye Wapangaji Wengi. Imeandikwa na: K. Masanja UTANGULIZI Sayansi na teknolojia katika Dunia ni dhana muhimu...
297 Reactions
230 Replies
17K Views
Upvote 495
13 Votes
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Afya ni hali ya kuwa sawa kimwili, kiakili na kijamii na sio tuu kutokuwa na magonjwa. Ili kuwa na afya njema ni muhimu kujikinga na vitu...
9 Reactions
29 Replies
2K Views
Upvote 13
4 Votes
MTOTO NDANI YA GIZA JEUSI. Mimi ndio taifa la kesho kweli kwa haya uliyonitendea? Nikifiwa na wazazi wangu sina amani tena ya kesho, wazazi wakinipeleka shule za hosteli nikiwa bado mdogo sina...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 4
2 Votes
Abeid Abubakar Namuuliza mtoto wangu anayesoma darasa la sita katika shule binafsi moja ya mchepuo wa Kiingereza kama wanafundishwa kompyuta. Jibu lake la hapana linaninyong’onyesha. Pengine...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 2
27 Votes
Ningependa kutumia fursa hii kueleza umuhimu wa kipimo cha Ultrasound kwa mama mjamzito na jinsi ambavyo teknolojia hii mpya inayozidi kuboreshwa kila iitwapo leo inavyoweza kuleta manufaa bora...
18 Reactions
25 Replies
5K Views
Upvote 27
2 Votes
“Saa saba juu ya alama saa nikiitazama, nimeshaachana na Jackie sasa namfata salama, saa kumi na mbili nina appointment na mademu Wawili, achana na lily ambae tutakutana saa mbili.” Hapo sasa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 2
6 Votes
KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Upvote 6
8 Votes
Utangulizi Zoezi la sensa ya watu na makazi linaloendea nchini limenikutanisha tena na swali ambalo kwa miaka mingi limekuwa likizitamausha fikara zangu. “Unajishughulisha na nini?” ni ‘swali la...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Upvote 8
217 Votes
Hadi lini tutaendelea kubaki chini? mpaka lini tutaendelea kushuhudia mataifa mengine yakipiga hatua ya kimaendeleleo, ikiwemo, uchumi, viwanda, sayansi na teknolojia, diplomasia, afya, elimu...
206 Reactions
104 Replies
8K Views
Upvote 217
225 Votes
Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au...
210 Reactions
73 Replies
5K Views
Upvote 225
4 Votes
Tanzania ni nchi yenye eneo kubwa sana kulinganisha na nchi nyingi afrika na duniani lakini ni nchi ambayo inatumia sehemu ndogo sana yae neo lake kwaajili ya kilimo cha chakula na kibiashara...
5 Reactions
7 Replies
733 Views
Upvote 4
10 Votes
Ni ukweli usiopingika kuwa tokea mapinduzi ya kumkomboa mwanamke kiuchumi, kisiasa na kijamii wanawake wengi wamekuwa na nguvu sana katika nyanja zote za siasa, uchumi na jamii na kuwaacha wanaume...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Upvote 10
Back
Top Bottom