Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Afya
Afya ni hali ya kuwa na ustawi au kujisikia katika hali nzuri kimwili, kiroho, kiakili na kijamii.
WHO inabainisha kuwa afya ni kuwa na ustawi kimwili, kiakili na kijamii.
Aina...
Salaam Wakuu, awali ya yote ningependa kuipongeza J.F kwa mpango huu kabambe.. bila kupoteza muda nizame moja kwa moja kwenye mada tajwa apo juu. MAFANIKIO yanaweza kuwa na maana tofauti kwa watu...
Habari wanajukwaa, kwa majina naitwa Yasini Yakubu ni muhitimu wa katika Shahada ya Uhasibu na Fedha mwaka 2016 katika moja kati ya Chuo Kikuu kilichopo Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro na...
Wengi watapigwa na butwaa kwanini natamani elimu ya mahusiano itolewe mashuleni tena mahusiano ya kimapenzi. Nitabaki kusimamia kwamba elimu ya mahusiano ya kimapenzi itolewe mashuleni...
MKOPO SI SABABU KUU YA VIJANA WENGI KUSHINDWA KUJIAJIRI AU KUANZA BIASHARA ZIJUE SABABU NYINGINE?
Changamoto ya ajira kwa vijana ni suala lisilo kosekana katika jamii zetu hasa kwa wahitimu wa...
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa ajira. Makala hii, itaangazia changamoto zinazo wakabili vijana katika sekta ya ajira binafsi.
Kutokana na wingi wa vijana wanaohitimu vyuo...
MIFUMO YA ELIMU YETU TANZANIA HAITUANDAI KUJIAJIRI
Elimu yetu ya Tanzania hasa ya darasani iliyo rasmi haijawa katika kuwaandaa vijana kujitegemea baada ya kumaliza elimu ,nitazungumza maeneo ya...
MOTTO: Kijana na mabadiliko ya uchumi.
LENGO: Kusaidia kukua kiuchumi vijana walio hitimu kidato cha nne na kufeli mitihani yao wakiwemo pia vijana wa makundi maalum na wapo nyumbani hawana...
JIna langu naitwa Elly kijana wa miaka 31 sasa nina elimu ya Diploma ya masoko, chuo nilimaliza mwaka 2013 ila wakati nikiwa katika masomo nimekuwa katika ajira zilizoweza kuniwezesha kujikimu...
Utangulizi
Uwajibikaji ni neno la Kiswahili linalotokana na neno 'wajibu' likiwa na maana ya jambo la lazima ambalo mtu au watu fulani kulifanya. Uwajibikaji wa malezi ya watoto katika familia...
Hizi jamii mbili, Ustawi wa Jamii na Maendeleo ya jamii huchanganya sana watu. Inawezekana chanzo ni zote kuwa idara katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Au...
NAME: PATRICK CHRISTOPHER SAROTA
AGE: 23
NATIONALITY: TANZANIA
EDUCATION LEVEL: BSc. INTERNATIONAL ECONOMICS AND TRADE
CITY: DAR ES SALAAM, TANZANIA
MOBILE NUMBER: 0685678650
EMAIL...
UTANGULIZI
Elimu ni nini ?
Ni ujuzi wa utambuzi wa jambo na uwezo wa kuwa na maarifa juu ya jambo fulani na kuwa na mbinu stahiki ya kuhamisha maarifa hayo katika utendaji yakaleta matokeo...
Kila mwaka takriban wanafunzi laki mbili na nusu (250,000) hujiunga na chuo kikuu katika vyuo mbali mbali kwa ngazi tofauti tofauti.
Baadhi ya Wanafunzi wanaojiunga na chuo hupata heshima ya...
TATIZO LA KUNUKA MDOMO, VISABABISHI NA NAMNA YA KUEPUKA NA T
• Kuwa na harufu mbaya mdomoni ni kitendo kinachoweza kuathiri maisha ya mtu kimahusiano si kwa mpenzi tu bali marafiki na jamii kwa...
Umefika sokoni kununua maharage unakuta yamepangiwa magunia tofauti. Muuzaji anakueleza kuwa kila aina ya maharage yapo ndani ya gunia lake, na unaona yana mwonekano wa kutofautiana.
Anaandisisha...
Maoni lukuki yanaendelea kutolewa na wadau (ikiwemo mimi) kuhusu mtaala mpya wa elimu unaolenga kuboresha watoto wanachojifunza shuleni. Wapo wanaosema watoto waanze kusoma masomo yenye mlengo wa...
KILIMO ni shughuli ambazo hufanywa na wakulima au mtu yoyote anaehitaji kuwa mkulima. Mfano kilimo cha mahindi, mpunga, n.k
KILIMO nishughuli ambayo hapo zamani ilikua inatumika Sana hasa...
MAPAMBANO DHIDI YA MALARIA.
Malaria ni ugonjwa unaoambukizwa na mbu jike aitwaye anopheles. Mgonjwa anaambukizwa na mbu jike mwenye vimelea vya plasmodium. Mbu huwa na mazalia maeneo yenye majani...
Maelezo ya gari tiba linalo safiri
Kwa maelezo zaidi vituo afya vinavyo safiri ni magari maalumu yanayotoa huduma moja kwa moja kwenye jamii husika yakiwa na idara mbalimbali za matibabu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.