Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Elimu ni kitu muhimu sana kwetu sisi sote katika nchi yetu na dunia nzima kwa ujumla wake, kupitia elimu tunaweza kua na uwezo wa kufanya vitu vingi vyenye kuleta tija katika jamii zetu maana hata...
Nasema na kijana, kijana yoyote aliezaliwa katika ardhi takatifu ya Tanzania.Kijana mwenye kuwiwa na mafanikio na mwenye mkururo wa fikra za kimapinduzi na maendeleo. Najua umezaliwa katika...
UTANGULIZI
Tanzania ni nchi inayo pokea bidhaa nyingi sana ambazo si halali kutoka kwa watengenezaji bidhaa hizo kama vifaa vya umeme na nyenzo za kazi.
BIDHAA ZISIZO HALISI
Bidhaa nyingi...
Tafakuri ya leo sitoanza na salamu bali kujaribu kuelezea athari zitakazo sababishwa na kuongezeka kwa Kodi na tozo kwenye kila nyanja ya uchumi wa nchi.
Duniani kote Uchumi uongozwa na sera...
Habari za muda huu ndugu msomaji wa makala hii.
Napenda kukukaribisha kusoma simulizi hii fupi yenye uhalisia Kwa namna Moja ama nyingine. Tukiwa na umri wa miaka kumi Mimi na rafiki yangu aitwae...
UTANGULIZI
Ukatili ni kitendo kiovu au kichafu anachofanyiwa mtu au watu. Ukatili ni neno lenye mapana sana na limebeba vitu vingi ambayo baadhi yake tunavijua na kuvielewa kabisa. Ukatili ni...
Fikiria jinsi unavyoweza kuishi kwa furaha pasipo msongo wa mawazo unaosababishwa mara nyingi na mkwamo-kiuchumi. Fikiria unayo pesa ya kutosha kulipa bili zako zote, matumizi ya kawaida kama...
TANZANIA YANGU
1. ~Mkumbushe mwanao kuwa WIVU utamfanya amchukie Mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake..✍🏻
2. ~Mkumbushe Mwanao kuwa Msaada sio Haki yake asipopewa Asinung'unike atafute...
MATUMIZI SAHIHI YA DAWA.
Matumizi sahihi ya dawa.
Matumizi sahihi ya dawa ni ile hali ya mgojwa kupokea dawa sahihi kutokana na mahitaji yake (ya ugojwa), kwa dozi sahihi ambayo inaendana na...
Ukizungumzia mavazi ya kisasa ya wanawake, basi DELA ama kama wengine wanavyoliita DILA halibaki nyuma, na lenyewe utaliona kimbelembele kuliko hata mbele yenyewe. Vazi hili limejizolea wafuasi...
Umuhimu wa chakula uonekana palipo na njaa vivyo hivyo umuhimu wa amani huonekana pasipo na amani, giza lilitanda upande wa kazkazini mwa Tanzania maskani pa majirani zetu wa nchi ya kidemokrasia...
CHOZI la mama; Chozi hutokana na huzuni au maumivu anayoyapata mtu, inawezekana kwa sababu ya:- kusalitiwa.
-kunyanyaswa kwa aina mbali mbali.
-historia mbaya. Na mengine...
Kwanza kabisa ningependa kushukuru kwa fursa hii adhimu katika jukwaa la uandishi wa STORY OF CHANGE 2022. Kwa upande wangu nitajikita katika Nyanja ya elimu, na kwa namna ya pekee nitajielekeza...
Habari wanajamvi na poleni kwa majukumu ya kujitafutia riziki ili kujenga nchi. Nawaombeni msome mwanzo hadi mwisho ili kuweza kunufaika na FURSA hii ya 'kusikiliza'.
Nijikite kwenye mada moja...
KUFELI ni kushindwa kukamilisha jambo kwa wakati. Husababishwa na hofu, kukosa uzoefu au kukosa kujiamini. Hakuna mafanikio bila maumivu, hata mbegu hulazimika kuiumiza ardhi kwa kuipasua ili...
Elimu ni njia ambayo hutumiwa makusudi na jamii kupitisha maarifa, ujuzi na maadili kutoka kwa kizazi kimoja hadi kingine. Elimu husaidia mtu kuelimika ,kujitambua , kuchukua hatua na kufanya...
1. Utangulizi
Idadi kubwa ya wafanyakazi Tanzania hawazifahamu haki zao jambo ambalo linapelekea kunyonywa, kukandamizwa, kunyanyaswa, na kudhalilishwa na waajiri wao kwa njia mbalimbali kama...
KILIMO BIASHARA
Kilimo biashara, ni kilimo chenye fursa kubwa Kwa kila mkulima pamoja na vijana kwani ni kilimo ambacho kinampatia tija mkulima haswa katika utambuzi wa masoko na kujua ni aina...
Unyanyasaji wa wenza majumbani ni aina ya Unyanyasaji wa Kijinsia unaohatarisha afya ya umma ulimwenguni kote na huletelea madhara kisaikolojia, kiuchumi na kiafya kwa mtu binafsi, familia na...