Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Ajira ni kazi yeyote anayoifanya mtu na kulipwa ujira kwa makubaliano maalumu. Au ni kazi aifanyayo mtu inayoweza kumuuingizia kipato. Kuna aina kadhaa za ajira. Ajira binafsi, hii ni aina ambayo...
Bima ni nini?
Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba...
Umeshawahi kujiuliza, utaongeza vipi pesa ambayo unaipata katika maisha yako? Watu wengi sana wanatamani kuongeza kipato chao ila mara nyingi wanatumia njia ambazo sio sahihi kujipatia au...
Nimejaribu kujielimisha kidogo kama kuna ugumu wowote kwa wahitimu wa elimu ya juu kujiajiri. Nimejifunza kwamba, vikwazo vikubwa kwa wahitimu kuhusu kujiajiri ni mfumo wa elimu kutokuwajengea...
MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI
Na Edson Joel
UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri...
KAMA ILIVYO KWA MADAWA YA KULEVYA IWE HIVYO HIVYO KWENYE PUNYETO(KUJICHUA)
Suala la kujichua(Kupiga Punyeto) Au bakari nondo kama wengine Wasemavyo,Limekuwa ni tatizo kibwa Sana Ambalo...
Nchi nyingi za Afrika mara baada ya kuhodhi uhuru wao kutoka kwa wakoloni zilikichagua kilimo kama sekta kuu ya maendeleo ya kiuchumi, na kukisanifisha kama UTI WA MGONGO WA UCHUMI wa nchi zao...
Neno “Utawala”pekee linaweza kutumika katika fasihi kadhaa, mfano utawala katika ngazi za taasisi (corporate governance), utawala wa kimataifa,(international governance),utawala wa kitaifa...
Utangulizi
Binadamu tunahitaji vitu kadhaa ili tuweze kuishi, ni vitu muhimu sana katika maisha na kama tukivikosa binadamu hatuwezi kuendelea kuishi na ili tuishi lazima tupate maji.
Huduma ya...
Nipende Kutanguliza Shukrani zangu za Dhati kwa Jamii Forums kutufanya Kuyafikisha Yaliyokuwa Vichwani Mwetu Kwa Jamii Hii kwa Manufaa Ya Taifa Letu. Katika Kutangulia kwa Makala Hii nianze kwa...
Utangulizi.
Maarifa ni elimu ambayo mtu huitaji ili aweze kuitumia katika maisha yake au kusaidia wengine kwa changamoto ambazo hawawezi kuzitatua kutokana na ufinyu wa maarifa. Maarifa unaweza...
1.0 Ikisiri
Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira...
Mauaji mengi ambayo yanatokea katika jamii zetu yanatokana na wivu wa mapenzi; na wivu wa mapenzi unaweza kusababishwa na kutokuaminiana katika mahusiano au usaliti miongoni mwa wapenzi au...
Kwa miaka takriban 60+ sasa tangu tumepata Uhuru wetu mwaka 1961 bado nchi yetu imeshindwa kutuonesha inasimamia malengo gani na inakwenda wapi ?
Hii kwa kiasi kikubwa inachangiwa na nchi kukosa...
Umeshawahi kukaa chini na kutafakari ni mara ngapi umejikosea kwa kujidanganya kwa kauli “Nitafanya kesho" ! Bila shaka unastahili kujipa adhabu kali ya kutega sikio kwa makini kabisa na...
Mwaka huu Tanzania ilikuwa na kampeni kubwa sana ya kutanga utalii Duniani na kwenye hio kampeni inayo enda kwa jina la royal tour ilizinduliwa Marekani ambapo ndo kitovu cha utalii Duniani na pia...
Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa?
Wakati wa...
UTANGULIZI
Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa...
Abeid Abubakar
Umewahi kutembelea shule yoyote ya msingi au sekondari iwe mjini au kijijini?
Tuache shule zilizopo vijijini, tuzitupie jicho zile shule za mjini. Aghalabu hutokosa kukuta vibanda...
Abeid Abubakar
Takwimu nyingi zinaonyesha kuwa Watanzania wengi wanajihusisha kwa namna moja au nyingine na kilimo.
Kwa mfano, utafiti wa nguvu kazi ya taifa wa mwaka 2014 ambao bado unatumika...