Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

1 Vote
BUSTANI YA BOTANIC NA ZOOLOJIA, CHACHU YA UFAULU KWA MASOMO YA SAYANSI Kuhusu Bustani ya Botanic. Katika miaka ya hivi karibuni, watafiti na watunga...
1 Reactions
0 Replies
451 Views
Upvote 1
0 Votes
Nianze kwa kutoa pongezi na shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita (6) ikiongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kupambana na hali ya uchumi wa nchi yetu kila siku...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Upvote 0
0 Votes
Taaluma yoyote uliyonayo ina heshima yake ndio maana imekugharimu muda na mali mpaka kuipata taaluma hiyo. Bila kujali una ngazi gani katika taaluma hiyo lakini tambua ya kwamba ina heshima yake...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Upvote 0
0 Votes
“Wanameremeta, wanameremeta”, sauti za akina mama zilisikika na vigelegele vilisikika hapa na pale. ‘’Shosti yetu kashauaga umaskini’’ Nyemo aliwaambia wasichana wenzake aliosimama nao huku...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Upvote 0
3 Votes
Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi. Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi. Wasomi wanaohitimu...
1 Reactions
5 Replies
812 Views
Upvote 3
0 Votes
Ndugu zangu, Kuna taasisi na mataifa mengi ya nje ya nchi ambayo hutoa udhamini wa masomo ya juu katika kada mbalimbali ambazo nyingi hupatikana huko njee. Na kwakua udhamini huu wakat mwingine...
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Upvote 0
7 Votes
Habari, Kwa majina naitwa (Geniva Joseph) sio majina halisi, ila nipo hapa kuwasilisha historia fupi ya maisha yangu yangu na jinsi gani uwajibikaji ni muhimu sana katika jamii yetu Nilizaliwa...
6 Reactions
1 Replies
520 Views
Upvote 7
0 Votes
Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Upvote 0
1 Vote
Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu...
1 Reactions
5 Replies
560 Views
Upvote 1
1 Vote
UTANGULIZI Idadi ya wahitimu wa vyuo katika ngazi mbalimbali hapa nchini ni kubwa sana ikilinganishwa na idadi ya nafasi za ajira na serikali zinatangazwa katika mwaka husika,sambamba na hilo...
1 Reactions
1 Replies
464 Views
Upvote 1
2 Votes
Wakati naishi Arusha, kuna kipindi nikawa nimesimamishwa kazi gHafla na sikuwa nimejipanga vizuri, kwa hiyo muda mwingi nilikuwa nafanya kazi ya kutafUta kazi nyingine wakati mwingine nakaa tu...
2 Reactions
0 Replies
655 Views
Upvote 2
0 Votes
Mbinu bora za kuzuia unyanyasaji. ADAM SAMY| 29.07.2022 Uonevu ni aina iliyoenea ya unyanyasaji wa vijana, haswa katika mazingira ya shule. Inafafanuliwa kama tabia ya uchokozi ambayo hutokea...
0 Reactions
0 Replies
403 Views
Upvote 0
1 Vote
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022) UTANGULIZI Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Upvote 1
0 Votes
Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii (...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Upvote 0
0 Votes
Kwa muda mrefu sana nchi yetu imekuwa ikipambana kwa kila hali ili kuhakikisha inajiweka kwenye nafasi nzuri katika sekta ya michezo hususani kwenye mashindano ya kikanda, bara na yale ya...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Upvote 0
0 Votes
Uwajibikaji wa viongozi ngazi ya kata ni suala ya kuzingatiwa hasa kwa watu waliopewa mamlaka ya kuongoza bila kubagua dini au itikadi ya vyama.Viongozi kutokuwajibika katika utozaji wa tozo...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Upvote 0
1 Vote
Utangulizi. Huduna ni shughuli ambayo hufanywa kwa manufaa ya wengine, inaweza tolewa na mtu au taasisi. Huduma bora ni shughuli itolewayo ili kukidhi mahitaji ya muhitaji, na muhitaji hurudhika...
0 Reactions
1 Replies
792 Views
Upvote 1
5 Votes
Nilipohitimu shahada yangu ya kwanza ya elimu mwezi wa saba mwaka 2014 kule Mtwara kwenye chuo cha STAMUCO nikaamua kurejea nyumbani Dar-es-Salaam, nikaona nisibweteke na kungojea ajira za...
3 Reactions
0 Replies
613 Views
Upvote 5
0 Votes
UALIMU SI WITO, NI TAALUMA YENYE SIFA NA TIJA KWA TAIFA LA TANZANIA, TUKIWATHAMINI WAALIMU TUMEITHAMINISHA TANZANIA. HALI YA WALIMU HIVI SASA? NI FUMBO LISILO NA MAJIBU Kama Taifa tulipofikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
Uchumi:Serikali iangalie swala La maeneo yaliyo wazi mjini haswa Dar es salaam wamilikishwe watu binafsi kwa mkataba ambao utakua wa kudumu ambapo atakayemilikishwa atapaswa kuanzisha mradi mfano...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom