Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Asili ya mwanadamu ameumbwa na MUNGU na akajaaliwa kuwa na neema tofautitofauti katika mwili wake. Neema hizi amepewa mwanadamu ili apate urahisi katika kuendesha maisha yake hapa ulimwenguni...
0 Reactions
0 Replies
856 Views
Upvote 0
0 Votes
Elimu ni kitendo cha kuamisha ujuzi kutoka kwa mtu mmoja(mwalimu) kwenda kwa mtu mwingine (mwanafunzi). Ili tuseme mtu ameelimika tutampima kwa mabadiliko ya tabia baada ya kupata elimu mfano...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
1 Vote
AFYA YA AKILI NA UCHUMI WA VIJANA Nusu ya magonjwa yote ya akili duniani yanaanza kati ya umri wa miaka 14, na mengi hayabainiki wala kutibiwa, suala linaloweka mustakabali wa vijana wengi njia...
0 Reactions
0 Replies
620 Views
Upvote 1
0 Votes
Ukuaji Wa Sayansi Na Teknolojia. Awali ya yote tunatakiwa tujue nini maana ya Sayansi na Teknolojia,na ndani ya Sayansi na Teknolojia Kuna kitu gani na kitu gani na vina umuhimu gani ama na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
1 Vote
Ndugu zangu, Nadhani neno ‘deni’ si geni machoni mwetu. Ni moja ya kitu mashuhuri katika jamii zetu. Wingi wa neno deni ni ‘madeni.’ Binafsi mtu akiniuliza deni ni nini, nitamweleza kuwa; Deni ni...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Upvote 1
0 Votes
0 Votes
Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Upvote 0
2 Votes
Bara la Afrika kwa kipindi kirefu sasa pamekuwa pakikabiliwa na tatizo au baa la njaa japo kuwa nchi za Afrika ni wazalishaji wa mazao ya chakula kwa asilimia kubwa yaani uti wa mgongo wa uchumi...
1 Reactions
0 Replies
404 Views
Upvote 2
1 Vote
Sijui Leo niandike kwa mfumo gani? Maana kama mfumo wa hoya hoya hautoipa heshima hii nyuzi, ila niandike kwa kadili ya mtazamo chanya. Yaani nchi hii Ina majeshi mengi yanayoitwa usalama mpaka...
1 Reactions
1 Replies
982 Views
Upvote 1
0 Votes
Utangulizi Mawazo ya siasa za ujamaa yalichagizwa Sana na mwana falsafa mashuhuri katika Karne ya 19 aliyeitwa "Karl Marx" lakini katika Karne ya 20 Nchi nyingi duniani ziliipokea siasa ya ujamaa...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Upvote 0
0 Votes
MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Upvote 0
1 Vote
Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Upvote 1
3 Votes
MBINU MPYA ZA KUBORESHA MAISHA YA WAFUNGWA UTANGULIZI Napenda kumshukuru Mungu kwa ajili ya uhai alionipa na kunijalia mawazo mazuri ya kuandika ili jamii yangu iweze kuimarika, napenda kutumia...
1 Reactions
6 Replies
844 Views
Upvote 3
7 Votes
Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Upvote 7
1 Vote
Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama...
1 Reactions
0 Replies
479 Views
Upvote 1
1 Vote
Kila mtu katika maisha ana malengo yake ya kimafanikio, yanaweza kuwa mafanikio ya kiuchumi, kisiasa, kielimu au katika nyanja nyingine zozote za kijamii. Lakini watu wengi hushindwa kutimiza...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Upvote 1
0 Votes
Elimu ni sekta muhimu sana katika nchi, hutazamwa pia kama ni sehemu inayozalisha wabeba maamuzi wenye taaluma mbalimbali na inapotokea kuonekana kuwa na changamoto, mapitio mapya yanayoweza...
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Upvote 0
0 Votes
~~Ini ni kiungo kinafanya kazi kubwa sana mwilini ya kuchuja sumu na damu na kuondoa sumu kutoka kwenye mmeng’enyo wa chakula ili kiende mwilini kufanya kazi. 1️⃣.Ugonjwa wa ini unaotokana na...
0 Reactions
0 Replies
339 Views
Upvote 0
2 Votes
Tanzania VICOBA inaogopwa sana kwa sasa, na kosa ni kuvunja miiko yake, VICOBA AU Saving group, Village Saving and Loan Associations(VSLAs) na kadhalika ni wazo ambalo malengo yake yalikuwa ni...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 2
0 Votes
Katika maisha yetu ya Kila siku Kila mtu anatamani awe na mafanikio katika Nyanja moja ama nyingine.kiuhalisia mafanikio ni ndoto ya Kila binadamu mwenye akili timamu. Mafanikio hayo yanaweza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
266 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom