Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Kilimo: Ni kitendo Cha ukuzaji wa mimea na ufugaji wa wanyama kwa ajili ya chakula na biashara. Ni jambo lisilopingika kwamba Kilimo ni UTI wa mgongo wa nchi yetu ya TANZANIA japo kuwa asilimia...
Historia inaanza miaka zaidi ya million 82 iliyopiya ambapo virusi vinavyosababisha Homa ya inni (Hepatitis B) viligunduliwa uko afrika ya kaskazini mapoja na masharikI ya kati huku wataalamu...
UTANGULIZI
Elimu ni njia utumiwayo na jamii kusambaza maarifa, ujuzi, mitazamo na maendeleo. Elimu hutolewa kwa njia kuu mbili, elimu rasmi ( itolewayo shuleni kwa miongozo maalumu) na Elimu...
Ni ukweli usiopingika kwamba kila mtu anatamani kufanikiwa katika maisha. Wapo wanaotamani kufanikiwa kifedha, kisiasa, kielimu, kijamii na hata kiafya.
Moja kati ya siri kubwa za mafanikio ni...
TAZAMA HISIA ZA MAPENZI ZINAVYOTESWA NA UGUMU WA MAISHA
Wanajukwaa hili pendwa kabisa napenda kuwaletea mambo kadhaa ambayo kwa namna moja au nyingine yamepelekea watu wengi kutofurahia...
Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili......
Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa...
Habari zenu wote natumai mpo salama.
Mimi ni binti nileyenusurika kupata tohara (kukeketwa), katika kijiji chetu au kabila letu kuna utamaduni wa mtoto wa kike(msichana) kukeketwa, wao wanamtazamo...
Ni kweli jamii inapaswa kujituma katika kuleta maendeleo yao wenyewe, lakini nyuma ya pazia wananchi wanatumikishwa ili kuleta maendeleo.
Ikumbukwe maendeleo na uchumi bora hutokana na wananchi...
Tanzania ni nchi inayofuata Mfumo wa Ubaba.
Yaani baba ndio kichwa Cha familia, jina la baba la ukoo ndio hurithi mtoto.
Yaani kwa Tanzania sio tu watoto urithi Mali Bali pia hurithi ubini pamoja...
Mfumo wa elimu ya Tanzania ni mfumo ambao tangu nikiwa mdogo nimeukuta na hata wazazi wangu nao wameukuta hivyo hivyo na huenda hata watoto wetu wakaja kuuacha hivyo hivyo. Huu ni mfumo wa...
Na Deodravis
Mtume Yohana Alizoea kusimama katikati Yao bila woga aliwapinga hoja zao, aliyekuwa msaidizi wake akiwa kusini, mtendaji wake mkuu akiwa kasikazini, basi yeye atakuwa magharibi. Kila...
Ni usiku wa manaani japo watu wengi wanapenda kuita usiku wa manane, wahuni wamelegeza kwa kuita night kali, ndani ya jiji la Amos makala heka heka zikiwa zinaendelea, huku baridi iliyoambatana na...
Moja ya vitu vinavyo tusumbua sisi ni swala zima la kuandaa Mrithi wa kusimamia mali pale ambapo Mungu anapo kuwa ametuita. Kwa watu kama wazungu au Wahindi hiki ni kitu cha kawaida kabisa kwao...
Karibu katika story hii Kali iliyo jaa mafunzo makubwa ndani yake ..
Iletwayo kwako na
DAVID EDWARD CHAZ
Mwenye kupatikana kwa cm no 0621731669
WhatsApp no 0689433218
Jina...
Wimbo wa taifa ni moja ya nguzo muhimu sana katika kuimarisha uzalendo na umoja wa taifa lolote duniani,
Kwetu Tanzania wimbo huu huimbwa mara nyingi sana kwenye mikusanyiko ya kitaifa pamoja na...
Usonji ni tatizo la kinafsi na la kihisia linalowatokea watu wengi tangu utotoni na kuathiri uwezo wao wa kuwasiliana na watu wengine .kifupi watu wenye usonji hawana uwezo mnzuri katika swala...
Maisha kila siku yanatufundisha kitu ,kwa kila siku inapopita ndo kadri mafunzo tunapata lakin kwa wengine hupuuzia na kuona kama ni kitu cha kawaida na ndio makosa yanazid kujirudia kwa sababu...
Najua utakuwa umeingia na kusoma nakala hii sababu ya kichwa cha hii nakala, lakini ukweli ni kuwa ingawa tehama ina leta maendeleo lakini pia katika upana wake inasababisha upotevu wa ajira kwa...
UKATILI KWA WATOTO
Ukatili kwa watoto hufanya kwenye jamii zetu pamoja na majumbani hujumuisha ukatili wa kisaikolojia kimwili ,vitisho ,ukatili wa kingono. Ukatili unaweza kutokea kwa Watoto wa...
WATU, SIASA NA MAENDELEO
Watu ni Wananchi, Wananchi ni watu wanaotambulika kisheria kitaifa katika serikali au jimbo la kawaida iwe kuomba au kuzaliwa. Kwa uelewa Wangu mdogo najua kuwa Raia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.