Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

2 Votes
UTANGULIZI Kama tujuavyo sekta binafsi imekuwa na mchango katika ukuzaji wa uchumi wa nchi yetu, lakini mbali na hilo ni mdau mkubwa sana wa utoaji wa ajira nchini hususani kwa kipindi hiki...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 2
2 Votes
Inawezekana Kwa mwanaume kubaki na Muonekano ule ule Kwa miezi sita au zaidi ila hilo ni ngumu Kwa mwanamke", Mwanamke anajali muonekano wake kwanza kuliko kingine chochote". Inawezekana Kwa...
1 Reactions
0 Replies
539 Views
Upvote 2
3 Votes
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 3
0 Votes
Leo ningependa kuongelea kuhusu mfumo wa utambuzi unaotumika hapa nchini kwetu. Mimi binafsi nashindwa kuelewa kwanini inapofika swala la utambuzi kunakuwa na uchaguzi kadhaa za utambuzi mfano...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Upvote 0
1 Vote
UTANGULIZI Katika ulimwengu huu wa tatu au miongoni mwa nchi zinazoendelea, hususani Tanzania vijana wengi wanao hitimu Vyuo vikuu wamekuwa wakikosa dira ya maisha, mtaani baada ya kuhitimuelimu...
1 Reactions
6 Replies
849 Views
Upvote 1
2 Votes
By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Upvote 2
0 Votes
Mama Janet alimuona Mwanakombo katika haliile watoto wote wa mtaani na Mama Janet alimtambua Mwanakombo kwa jina la Chidy kwa mara ya kwanza anaingia jijini alishuhudia mdada mmoja aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Upvote 0
1 Vote
MATOKEO MAKUBWA SASA YANAVYOLIUMIZA TAIFA Siku za hivi karibuni tumekuwa na msamiati unaitwa “Matokeo makubwa sasa” Pamekuwapo na juhudi za makusudi kuhakikisha kwamba kila jambo linapata matokeo...
1 Reactions
1 Replies
563 Views
Upvote 1
0 Votes
ELIMU ni ujuzi anaoupata mtu ili umsaidie katika kujikomboa katika mazingira yake,na ujuzi unaweza kupatikana katika mifumo miwili ,mfumo rasmi na mfumo usio rasmi. Hapa nchini Tanzania pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Upvote 0
2 Votes
Hapana shaka mfuko wa taifa wa Bima ya afya ni hitaji la msingi la ulinzi wa afya kwa wananchi wote, katika kujenga taifa lenye siha linaloweza kupambambana na adui maradhi ili kujenga jamii...
0 Reactions
2 Replies
676 Views
Upvote 2
5 Votes
“KIDAWA” UTANGULIZI Jioni kama saa 12 hivi na dakika zake, binti mrembo katika kijiji cha Mwembeni, akitoka kuchota maji kisimani ghafla wanatokea vijana wawili wenye nguvu wanamsimamisha na...
1 Reactions
0 Replies
358 Views
Upvote 5
1 Vote
Hamjambo ndugu zangu wana jukwaa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Ni matumaini yangu kwamba jamii imekuwa ikishuhudia matukio ya unyanyasaji wa watoto Jambo ambalo limeathiri kwa namna...
1 Reactions
0 Replies
620 Views
Upvote 1
2 Votes
Upo umuhimu mkubwa sana wa kubadilishwa mfumo wa elimu ya hapa nchini Tanzania kutokana kwa asilimia kubwa kutokidhi mahitaji ya jamii ya Watanzania wengi. Kwa kawaida elimu ya hapa nchini...
0 Reactions
0 Replies
423 Views
Upvote 2
3 Votes
Utangulizi Elimu ni ufunguo wa Maisha ni neno ambalo limekua likizungumzwa sana katika jamii yetu. Neno hili limekuwa likitumika kuhamasisha wanafunzi kupenda shule na kuongeza juhudi zaidi katika...
2 Reactions
2 Replies
562 Views
Upvote 3
0 Votes
Suala la unyanyasaji wa mtandaoni limekua suala kubwa sana lenye madhara mengi kwa wahanga wakiwemo watoto na vijana ambao ndiyo watumiaji wakubwa wa mitandao hii hususani mitandao ya kijamii...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Upvote 0
6 Votes
UTANGULIZI. Ujamaa nitakaojikita nao ni (UBUNTU). Rejea (Kamusi ya karne ya ishirini na moja 21 Toleo jipya uk wa 555) Ubuntu ni mfumo katika jamii unaowawezesha wanajamii kuishi kwa...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Upvote 6
1 Vote
UTANGULIZI Kiwewe (trauma) Ni moja ya matatizo ambayo kwa sasa yanaiathiri kwa kiasi kikubwa jamii yetu ilhali wanajamii wengi hawatambui au hawana ufahamu mkubwa juu ya tatizo hili. Hivyo kupitia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
Wahenga walisema"Kila nabii na zama zake" kila jambo na wakati wake na katika kila zama kuna namna tofauti ya maisha, na namna tofauti ya utafutaji wa mahitaji muhimu ya binadamu. Kila jua...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Upvote 0
5 Votes
Utangulizi Mfumo wa elimu nchini humfanya mwanafunzi azingatie Sana kusoma, Hali ambayo inamfanya kuwa mbali na harakati za kutafuta pesa zake mwenyewe. Tunajua namna ambavyo shule huchukua muda...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 5
1 Vote
Ile pesa tuma kwa namba hii 07!!22!!21, jina litakuja ZAMA ZIMEBADILIKA, usitumie tena ile ya zamani,hii ni karne ya 21,Mama anashukuru sana kwa hela uliyomtumia mwezi jana ilimsaidia sana kwenye...
0 Reactions
4 Replies
412 Views
Upvote 1
Back
Top Bottom