Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

2 Votes
UTANGULIZI; Elimu ni ujuzi au maarifa ambayo mtu anayapata kwa kufundishwa kutoka kwa watu wengine.kuna njia au sehemu nyingi za kupata ujuzi au elimu kama vile darasani, au kwenye runinga au...
1 Reactions
0 Replies
830 Views
Upvote 2
0 Votes
Tanganyika ilipata uhuru zaidi ya miaka sitini(60) iliyopita, ikirithi mfumo wa kiutawala wa Serikari toka kwa waingereza. Tukarithi pia mfumo wa Kijeshi toka kwa wakoloni. Mifumo yote miwili...
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Upvote 0
0 Votes
Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS). 1. MAPENZI 2. PESA 3.CHAKULA 4. MZIKI 1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Upvote 0
2 Votes
Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Upvote 2
2 Votes
Ndugu wasomi wa Tanzania napenda kuwapa pole kwa taharuki hii iliyowafika. Najua mlipambana vilivyo bila kujali nvua au jua ilimradi tu mpate kufikia azma,malengo na kiu yenu kubwa ya kuishi kama...
1 Reactions
2 Replies
548 Views
Upvote 2
1 Vote
KUISHI KWA MALENGO NA MAISHA YA VIJANA. Malengo na ngazi muhimu katika kufikia mafanikio. Hali ya kuishi ukiwa na matarajio maalum ambayo ambao ungependa utafikiri katika maisha yako kwa hapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
8 Votes
ELIMU TAKA ISIYOPEWA UMUHIMU (picha kutoka google photo) UTANGULIZI Taka taka kwa mujibu wa wikipedia huru ni Taka au taka taka (kwa Kiingereza: waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki...
1 Reactions
0 Replies
975 Views
Upvote 8
1 Vote
Habari za muda huu mpendwa, nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutumia muda wako na kuisoma makala hii "NITUNZE NITHAMINI ILI NIISHI", ni  makala iliobeba sauti ya mtu (watu) wanaoishi na...
0 Reactions
0 Replies
379 Views
Upvote 1
0 Votes
Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!! Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2% Serikali wajibu...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Upvote 0
0 Votes
Kuupenda Urais ni tofauti na kuutaka Urais Kuupenda Urais ni hali ya kiongozi kutaka kuheshimiwa,kuwa kwenye misafara, kusifiwa,ving'ora,umaarufu, na mambo kama hayo Kuutaka urais ni hali ya...
0 Reactions
0 Replies
234 Views
Upvote 0
2 Votes
UTANGULIZI Africa ni bara lenye Rasilimali za kutosha ambazo wazungu huzitumia kutokana na kwamba sisi watu wa Afrika tumeshindwa kuona umuhimu wake na mwishowe wanatengeneza bidhaa na kuzitumia...
2 Reactions
0 Replies
833 Views
Upvote 2
0 Votes
Abeid Abubakar Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uwepo wa wawakilishi wa wananchi maarufu kama wabunge na kule visiwani Zanzibar wakijulikana kama wawakilishi. Kwa mujibu wa Katiba...
0 Reactions
1 Replies
293 Views
Upvote 0
1 Vote
GAMES AND SPORT eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona...
0 Reactions
2 Replies
432 Views
Upvote 1
2 Votes
Nchi tuliikuta na ipo na itaendelea kuwepo! Ila wananchi tunabadilishana kupitia kizazi na kizazi!na uongozi unabadilika pia dunia inaenda na wakati. Dhana mbaya ya marais ni kutaka kufanya mambo...
2 Reactions
0 Replies
309 Views
Upvote 2
1 Vote
Ni Jambo la kushangaza, vipato vyetu ni tofauti na ukubwa wa familia na matumizi ni tofauti lakini mara nyingi sote hujikuta hatuna pesa au akiba. Kitu nnachojifunza hapo ni kua ukiamua kupunguza...
1 Reactions
1 Replies
550 Views
Upvote 1
0 Votes
Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao. Tabia ya...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Upvote 0
0 Votes
Unakumbuka ile mada ya shule wote tuliipenda na kuisubiri kwa hamu? Mada ile ambayo hata nyumbani hatukupaswa kuisikia? Ile mada tuliyodhani itajibu maswali tuliyoona haya kuuliza kwa sauti...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Upvote 0
0 Votes
Katika maisha yetu ya kila siku tumekua tukisikia au tukikutana na maneno kama haya kuwa Ukitaka kufanikiwa lazima uwe na vitu kimoja wapo kati ya hivi vichache kama 1: BAHATI 2: KIPAJI 3: ELIMU...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Upvote 0
1 Vote
Najua umesikia huu msemo kuwa siku imegawanyika mara 3, masaa 8 ya kazi, 8 ya kupumzika na 8 ya kulala. Swali: Ni kazi Gani hiyo unayofanya ambayo inaweza kulipa gharama zako zote za masaa 24 kwa...
1 Reactions
0 Replies
428 Views
Upvote 1
13 Votes
Uvumbuzi wa teknolojia ya intaneti/mtandao ulianza mwaka 1966 na kupamba moto mwanzoni mwa mwaka 1999 hii ilibadilisha kabisa namna binadamu wanavyofanya shughuli zao na kufanya dunia kuwa kama...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 13
Back
Top Bottom