Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
Uchumi limekuwa jambo ambalo kila taifa duniani linapambania, huduma nyingi za kijamiii zinatolewa ili watu wawe na wasaha wa kusonga mbele kiuchumi. Vijiji vimekuwa na mchango mkubwa sana kukuza...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Upvote 0
0 Votes
Mauajia yahusishayo wivu wa kimapenzi limekuwa Janga kubwa kwa Jamii na Nchi kwa ujumla,Inasikitisha kuona wivu wa kimapenzi ukiteketeza nguvu kazi ya Taifa Kwa vijana kuwa Wahanga wa Janga hili"...
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Upvote 0
0 Votes
SOMO LA KWANZA MAANA YA GRAFTING NA BUDDING Grafting na buddinging ni maneno ya kiingereza ambayo kwa lugha ya kiswahili ni 'kupandikiza'. Kwenye somo letu ni sawa na kusema 'kupandikiza mche'...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
1 Vote
Tanzania ilikumbwa na hofu ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa ulionekana kuwa mpya ambao, wengi hawakuwahi kuuona Wala kuusikia hali iliyopelekea maneno ya hofu wengine wakisema Sasa ni mwisho wa...
1 Reactions
0 Replies
867 Views
Upvote 1
1 Vote
Kujiajiri si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.Wanasiasa na viongozi wanasisitiza kujiajiri wakisahau wajibu wao wa kuweka mazingira wezeshi ya kujiajiri.Japo wakati mwingine tunawajibika...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Upvote 1
3 Votes
Habari wanaJF, Napenda kushiriki nanyi kwenyw mjadala huu wa elimu "Mitaala ya elimu ni chanzo cha vijana wengi kuwa maskini" Mitaala ya elimu ya Tanzania haimuandai kijana kuingia kwenye soko...
2 Reactions
1 Replies
850 Views
Upvote 3
1 Vote
Leo Tena kwenye story of change naleta njia rahisi Kabisa kwa mazingira yetu ya kitanzania Kuboresha mazingira mazuri ya kujifunza na kufundisha kwa walimu na wanafunzi Tanzania. Kwa asilimia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
1 Vote
Cha Mzazi si cha Mtoto ila cha Mtoto ni cha mzazi hivyo jukumu na juhudi za kubadili maisha yao ni zao wenyewe. Na Waambieni Wakumbuke kuwatendea wema Nyinyi Wazazi Wote wawili Maana Pepo zao...
1 Reactions
0 Replies
315 Views
Upvote 1
1 Vote
Ndani ya giza nene lisiloweza kuruhusu aina yoyote ya mwanga kupenya ndipo vijana wenye uthubutu wakafanya kila bidii katika kuonyesha kile kilicho ndani ya fahamu zao ili kurudisha uaminifu tena...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Upvote 1
1 Vote
Ni wakati vijana kujivunia kile wanachokifanya. Kazi iwe ndogo au kubwa ukiifanya kwa kujivunia unaweza kufikia ndoto zako. Ni kweli kwamba vijana hasa waliohitimu elimu ya juu (tertiary...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Upvote 1
1 Vote
Uchumi na maisha Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya...
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Upvote 1
0 Votes
Utangulizi Maisha ni kuzaliwa kukua kujifunza kuzeeka na hatimaye kufa. Sio kila mmoja wetu anapitia hatua hizi. Baadhi hufa kabla hata hawajaliwa. Wengine mara tu baada ya kuzaliwa. Kadhalika...
0 Reactions
1 Replies
358 Views
Upvote 0
3 Votes
Tanzania Haijachelewa Kuufikia Uchumi wa Viwanda Tanzania ya Viwanda ni sera iliyopewa kipaombele sana na Raisi wa awamu ya tano hayati John Pombe Magufuli akiamini kupitia uwekezaji na maendeleo...
2 Reactions
0 Replies
524 Views
Upvote 3
0 Votes
UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
UTANGULIZI ELIMU YA TANZANIA Elimu ya Tanzania ni elimu ya kumjenga mwanafunzi kitaaluma ila sio kujitegemea. Asilimia kubwa sana ya wanafunzi wa Tanzania hawatumii elimu waliyo ipata katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
Mwenye macho namwambia atazame na asome ijapokuwa imesemwa mwenye macho haambiwi tazama. Hizi mbio sio zetu, wametulazimisha, tumekimbia kuliko uwezo wetu, tumeanguka, hatuwezi kuinuka tena...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Upvote 0
0 Votes
WATU NI MTAJI Mtaji ni Fedha ambayo ni lazima uwe nayo katika mwanzo wa biashara yoyote ile. Mtaji ndio msingi mkuu wa biashara yoyote ile ili iweze kukua na kufikia malengo na matamanio ya...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Upvote 0
0 Votes
Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿. Kwenye sketa ya ELIMU. Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Upvote 0
4 Votes
Kilimo ni Uti wa mgongo katika nchi yetu ya Tanzania. Kilimo ndio chanzo cha chakula na ajira katika kaya nyingi zinazoishi katika nchi ya Tanzannia. Ili nchi yoyote iweze kuendelea basi sekta ya...
1 Reactions
1 Replies
467 Views
Upvote 4
2 Votes
Yaliyomo: UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA MZAZI KATIKA MALEZI YA MTOTO MTOTO NA ELIMU MTOTO NA JAMII TABIA NA MATENDO MTOTO NA MTAZAMO WA MAISHA ATHARI ZA MALEZI DUNI UTOTO NA UWAJIBIKAJI WA...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Upvote 2
Back
Top Bottom