Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Thamani ni Chakula, fedha ni namba huna uhakika nazo.
Utajiri ni chakula, Walioamua kulima wakisema hawauzi chakula chao, sijui kama tutaweza kula hela. Chakula ndio utajiri kwa kuwa ni mfumo...
UTANGULIZI;
Elimu ni ujuzi au maarifa ambayo mtu anayapata kwa kufundishwa kutoka kwa watu wengine.kuna njia au sehemu nyingi za kupata ujuzi au elimu kama vile darasani, au kwenye runinga au...
Tanganyika ilipata uhuru zaidi ya miaka sitini(60) iliyopita, ikirithi mfumo wa kiutawala wa Serikari toka kwa waingereza.
Tukarithi pia mfumo wa Kijeshi toka kwa wakoloni.
Mifumo yote miwili...
Katika maisha ya mwanadamu, Kuna vitu 4 vikubwa vinavyompa RAHA/FURAHA ( HAPPINESS).
1. MAPENZI
2. PESA
3.CHAKULA
4. MZIKI
1.MAPENZI; Hii ni furaha ya kwanza kabisa katika maisha ya mwanadamu...
Miezi mitatu iliyopita nilikua nimekaa ofisini nikiwa naendelea na kazi zangu. Mara nikapokea ujumbe kutoka kwa rafiki yangu mmoja tuliesoma wote kuwa rafiki yangu wa karibu kajiua Kwa kujipiga...
Ndugu wasomi wa Tanzania napenda kuwapa pole kwa taharuki hii iliyowafika. Najua mlipambana vilivyo bila kujali nvua au jua ilimradi tu mpate kufikia azma,malengo na kiu yenu kubwa ya kuishi kama...
KUISHI KWA MALENGO NA MAISHA YA VIJANA.
Malengo na ngazi muhimu katika kufikia mafanikio. Hali ya kuishi ukiwa na matarajio maalum ambayo ambao ungependa utafikiri katika maisha yako kwa hapo...
ELIMU TAKA ISIYOPEWA UMUHIMU
(picha kutoka google photo)
UTANGULIZI
Taka taka kwa mujibu wa wikipedia huru ni Taka au taka taka (kwa Kiingereza: waste, trash, garbage, rubbish, junk) ni mabaki...
Habari za muda huu mpendwa, nipende kuchukua nafasi hii kukushukuru kwa kutumia muda wako na kuisoma makala hii "NITUNZE NITHAMINI ILI NIISHI", ni makala iliobeba sauti ya mtu (watu) wanaoishi na...
Serikali wajibu wake ni kujenga na kuboresha barabara zote nchini na hili jambo si la siasa ni la kiuwajibikaji!!
Eneo hili sijapenda! Awamu ya 5 inaalama 86% awamu zengine 13.2%
Serikali wajibu...
Kuupenda Urais ni tofauti na kuutaka Urais
Kuupenda Urais ni hali ya kiongozi kutaka kuheshimiwa,kuwa kwenye misafara, kusifiwa,ving'ora,umaarufu, na mambo kama hayo
Kuutaka urais ni hali ya...
UTANGULIZI
Africa ni bara lenye Rasilimali za kutosha ambazo wazungu huzitumia kutokana na kwamba sisi watu wa Afrika tumeshindwa kuona umuhimu wake na mwishowe wanatengeneza bidhaa na kuzitumia...
Abeid Abubakar
Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 inatambua uwepo wa wawakilishi wa wananchi maarufu kama wabunge na kule visiwani Zanzibar wakijulikana kama wawakilishi.
Kwa mujibu wa Katiba...
GAMES AND SPORT
eneo hili ni pana sana na lina mambo mengi sana ndani yake na kundi kubwa 98%ya wakazi wa dunia lazima wawe kwenye eneo hili kila siku mchana na usiku ukiwekeza hapo uaona...
Nchi tuliikuta na ipo na itaendelea kuwepo! Ila wananchi tunabadilishana kupitia kizazi na kizazi!na uongozi unabadilika pia dunia inaenda na wakati.
Dhana mbaya ya marais ni kutaka kufanya mambo...
Ni Jambo la kushangaza, vipato vyetu ni tofauti na ukubwa wa familia na matumizi ni tofauti lakini mara nyingi sote hujikuta hatuna pesa au akiba. Kitu nnachojifunza hapo ni kua ukiamua kupunguza...
Wazazi na walezi lazima ifike kipindi muache kuangalia watoto wenu wamekuwa wangapi katika mitihani yao bali mnatakiwa kuangalia watoto wenu wamepata daraja gani katika matokeo yao.
Tabia ya...
Unakumbuka ile mada ya shule wote tuliipenda na kuisubiri kwa hamu? Mada ile ambayo hata nyumbani hatukupaswa kuisikia? Ile mada tuliyodhani itajibu maswali tuliyoona haya kuuliza kwa sauti...
Katika maisha yetu ya kila siku tumekua tukisikia au tukikutana na maneno kama haya kuwa Ukitaka kufanikiwa lazima uwe na vitu kimoja wapo kati ya hivi vichache kama
1: BAHATI
2: KIPAJI
3: ELIMU...
Najua umesikia huu msemo kuwa siku imegawanyika mara 3, masaa 8 ya kazi, 8 ya kupumzika na 8 ya kulala.
Swali: Ni kazi Gani hiyo unayofanya ambayo inaweza kulipa gharama zako zote za masaa 24 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.