Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Picha na farming Africa.
UTANGULIZI
Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana...
CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KILIMO
Na Amini Nyaungo
Kilimo ni shina la maisha ya Watanzania waliowengi hutegemea chakula chao kupitia kiimo. Kiwango kikubwa tunategemea kilimo.
Lakini bado kila...
Uchafu ni kitu chochote ambacho hakina matumizi kwenye mazingira; mfano chupa zilizoishiwa matumizi, karatasi, makapi ya mazao mbalimbali,majani ya matunda, mabaki ya vyakula na vinginevyo. Kwa...
Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo...
Hii ni novela inayohusu suala la afya hususan uzingatiaji wa maambukizi ya UKIMWI kijamii. Ni wazi kuwa wadau wanaelewa jinsi ugonjwa huu ulivyoathiri taifa hasa tangu utangazwe kwa mara ya kwanza...
sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao
Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala...
Elimu hutumika kumkomboa mtu kifikra, kimwili, kijamii na hata kiroho. Lakini uimara wa namna elimu itolewavyo huweza kumkomboa au kumdidimiza zaidi mtu. Elimu ya Tanzania bado ina mapungufu mengi...
Nadhani wote tunakubaliana kwamba kuna tatizo kubwa sana la ukame na kitu kinachoitwa tabia ya nchi ambayo inapekekea kukosa mvua za kutosha na kusababisha ukosefu wa chakula cha kutosha nchini...
Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi swala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma.
Unakuta mwanafunzi anamaliza...
ELIMU YETU!
Hivi sasa elimu ni chombo chenye msaada mkubwa sana tofauti kabisa na ilivyochukuliwa hapo mwanzo wakati wa babu zetu kwani kwa baadhi ya watoto na jinsi ya kike ilionekana kuwapatia...
Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake.
Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza...
Na Malenja jr
Ninapotaka kufanya jambo kubwa kwa nchi huwa nawasikiliza wanaopinga uamzi wangu, najibizana nao kwa hoja, nikiona hoja zao zina nguvu kuliko zangu naacha niliyokuwa nayo natekeleza...
Kizazi cha sasa hasa kwa vijana (wasichana kwa wavulana) asilimia kubwa wamekuwa wakijikita katika michezo ya kubahatisha (betting) kama njia ya kujipatia kipato ya haraka,
Picha: Watanzania...
Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya...
Habari za wakati huu ewe msomaji wa makala hii, nipende kukushukuru kwanza kwa kutenga muda wako kwaajili ya kutengeneza maarifa mapya kutoka katika ujumbe huu uliojaa madini na ninaamini...
UKOMBOZI WA WATOTO NA VIJANA KUTOKA KWENYE WIMBI LA MATUMIZI YA VILEO NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI TANZANIA.
Nchi yetu ya Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo vijana wake wengi kila kukicha...
"Unajua ni hatari sana sisi kuwa wakweli?"
"Kwa kazi zetu hizi lazima tuwe waongo waongo ndio tueleweke unajua..."
"Lakini mbona wa kule magharibi sio waongo waongo? na mbona wakiahidi...
Ajira: Ni kazi yoyote ambayo mtu anafanya kwa malipo katika kampuni, ofisi za serikali au kwa mtu mwingine binafsi.
KUJIAJIRI: ni ile hali ya kutegemea ajira Binafsi kuliko kutegemea kupewa Ajira...
Kwa wingi wa changamoto hizo na kuendelea kukua kwa kasi kwa hizo changamoto bila shaka lazima kutakuwa na sehemu moja ambayo ndio mzizi mkuu wa matatizo mengine yote.
Kuna usemi usemao, “Kama...
AJIRA NA VIJANA BAADA YA ELIMU
Vijana ni kundi linalochangia maendeleo ya uchumi katikataifa. Yapo makundi mbalimbali ya vijana katika taifa letu ilanitayagawanya katika makundi matatu. Kundi la...