Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

1 Vote
Habari wakuu! Niwazi kuwa vijana wanapitia changamoto za ukosefu wa ajira licha ya kuwa na sifa za kuajirika. Wimbi la wasomi linazidi kuongezeka ilhali namba ya waajiri ikiwa pale pale ua...
1 Reactions
2 Replies
798 Views
Upvote 1
6 Votes
Kwanza kabisa nipende kumshukuru mungu kwa nafasi hii, Natumai sote tuwazima. Wenye maradhi na shida mbalimbali mungu awaongoze na awasaidie. UTANGULIZI . Nini maana ya utawala ...
3 Reactions
9 Replies
747 Views
Upvote 6
2 Votes
NIKIONA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YANAELEA KILA MWAKA, NAJUA YAMEUNDWA Utangulizi Elimu yetu imekuwa ikipitia katika vipindi tofautitofauti na mabadiliko makubwa ili kuiboresha. Mabadiliko haya...
1 Reactions
0 Replies
907 Views
Upvote 2
0 Votes
Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Upvote 0
2 Votes
Kwa wafatiliaji wengi wa Habari za ulimwenguni swala la mporomoko wa kiuchumi wa dunia utakua haujakupita. Unaweza usiwe mfatiliaji wa Habari hizo lakini mathwahibu yake ukayasikia hata...
2 Reactions
2 Replies
441 Views
Upvote 2
9 Votes
Wakuu, Kuna msemo ambao sikumbuki niliwahi kuusikia au kusoma wapi lakini unasema "it is now or never" Yaani kama sio sasa basi ni milele. Ikiwa na maana wakati wa kuchukua hatua ni sasa na...
6 Reactions
5 Replies
802 Views
Upvote 9
2 Votes
UTANGULIZI: Kama ilivyo misingi ya Utawala Bora ni Pamoja Na Demokrasia, Utawala Wa Sheria, Haki Na Usawa, Ushirikishwaji Wa Wananchi, na Wajibu Na Uwazi. Yapo mambo kadhaa ambayo iwapo...
0 Reactions
3 Replies
542 Views
Upvote 2
0 Votes
Haki ya mtu kupiga kura imetajwa kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwkaa 1997 ambapo sheria ya mwaka 1984 namba 15 ibara ya 6 na sheria ya mwaka 2000 namba 3 ibara ya 4 inatamka...
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Upvote 0
0 Votes
TAALUMA YANGU MASHAKANI. Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Upvote 0
1 Vote
Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu...
0 Reactions
4 Replies
667 Views
Upvote 1
0 Votes
Utawala bora ni dhana inayosimama katika misingi mkuu wa ujumuishaji na ushirikishwaji wa wahusika wote walio ndani ya jamii katika maamuzi na utekelezaji wa maamuzi yanayohusu ustawi wa maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Upvote 0
0 Votes
SULUHU LA MAUAJI NA UKATILI TANZANIA Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo kila kukicha kuna tukio jipya la Ukatili au Mauaji au kujiua. 2021 pekee vifo zaidi 470 vya Watanzania chanzo chake ni...
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Upvote 0
3 Votes
Uchumi wa nchi yoyote duniani hutegemea ni kwa namna gani viongozi wa nchi husika wanaongoza/wanatawala nchini mwao. Utawala wa viongozi ukiwa mbovu basi lazima kasi ya ukuaji wa uchumi iwe ndogo...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Upvote 3
15 Votes
Tatizo la ajira nchi hii linahitaji sana Viwanda ambavyo ni Labour Intensive na sio Machine Intensive. A to Z Arusha ni moja ya viwanda vikubwa sana vya Labour Intensive, linapo kuja swala la...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Upvote 15
3 Votes
UTANGULIZI: ▪︎Mimba zisizotarajiwa zimekuwa tatizo sugu kwa miaka mingi katika jamii yetu. Nataka kusaidia kuondoa mimba zisizopangwa kwa kumuelimisha mtoto wa kiume ambae ndiye huweka mimba. Ni...
2 Reactions
0 Replies
839 Views
Upvote 3
6 Votes
Watu wengi sana wanatamani kufanya ujasiriamali kwa malengo tofauti tofauti ikiwemo kuwa na uhuru wa muda na kuongeza kipato, hata baadhi ya watu ambao wapo kwenye ajira hupendelea kukusanya mtaji...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Upvote 6
2 Votes
"Mwanajeshi wa kweli anapambana sio kwa sababu anachukia kilichopo mbele yake, Ila ni kwa sababu anapenda kilichopo nyuma yake". UTANGULIZI. Natumai tu wazima na wenye shida na matatizo...
0 Reactions
4 Replies
792 Views
Upvote 2
2 Votes
UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara...
1 Reactions
2 Replies
934 Views
Upvote 2
1 Vote
Elimu yenye Kuleta mabadiliko. Tanzania ya sasa, inauhitaji mkubwa wa elimu yenye Kuleta mabadiliko kuendana na Kasi ya mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia ya kiulimwengu . Elimu hii...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Upvote 1
5 Votes
Mara nyingi nimekuwa nikitafakari, ni namna gani nimefika hapa nilipo. Siku zote naona ni kama kitendawili kwa maana ni mambo mengi yanahusika hadi mtu kufikia hatua yoyote katika maisha yake, iwe...
5 Reactions
2 Replies
562 Views
Upvote 5
Back
Top Bottom