Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
By Abou Twika
0784327893
Awali ya yote, nianze kwa kuwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Ni imani yangu mu kheri wa afya, na wale wote tuliye na maradhi inshallah, kwa neema...
LUCK and CHOICES
Hakuna mtu ambaye hajawahi kusikia neno BAHATI(LUCK). Ila Hakuna kitu Bahati Lakini Kila kitu ni Bahati. Wazungu wanasema Bahati ni Sawa na Fursa ukaongeza na maandalizi ya hiyoo...
Ni ukweli Usiopingika kwamba Mifumo yetu ya elimu ni mibovu sana, inaangalia Div 1 ya 7 au Div 1 ya 3 basi na ni mifumo ya enzi za Uhuru na wakati huo huo kuna changes nyingi sana Duniani tangia...
UTANGULIZI.
Upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa haraka ni suala muhimu sana kwa nchi zinazoendelea na zilizoendelea, njia nyingi zimekuwa zikitumika katika utatuzi wa changamoto hii ya...
Kwanza salamu hadhira, Hali yenu vipi shwari,
Nataka niwape dira, Mimi nipo juu ya dari,
Japo kuwa Kuna swira, Sitoiogopa hatari,
Nasihitaji ngawira, Isikilizeni habari.
Utawala waparaza, Kama...
Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani
Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋
Akinukuu ripoti ya...
BIDHAA BANDIA NA HALISI KATIKA SOKO HURIA: Wajibu wa mlaji kabla ya kununua, kutumia na kuharibu mabaki ya bidhaa.
Katika zama hizi za soko huria kauli hizi si nadra sana kusikika miongoni mwa...
Kwenye hoja Moja Kwa Moja.
Unakuwa na presha kamtu kanakupandisha presha nyingii mpaka unafikia hatua ya kutaka kuacha kazi.
Inatukuta Sana na wengi hii tunaichukulia rahisi na kamtu uka-zoom...
Suala la kuwajibika ni muhimu sana unapokuwa kiongozi Katika Familia, Hususani Baba, Mama, Kaka au Dada. Kwani Sio baba pekee ndio anaetakiwa kuwajibika kwa maana hata Mama pia huwajibika kwa...
Katika vitu ambavyo nchi nyingi wanakuwa makini navyo basi ni Ubora wa chakula wanacholishwa raia wao. Ndo maana suala la ku-export vyakula je ya nchi ni suala moja gumu sana, hasa kwenye ku-meet...
Sisi Watanzania tumekuwa tunaidharau sana nchi yetu na wengi tunapenda mara kwenda kuishi Ulaya au hata South Africa. Lakini Jambo ambalo hatujajua katika nchi zote 50+ za Africa, foregners wengi...
Mfumo wa VICOBA au Saving group ni mfumo ulio asisiwa nchini Inida miaka ya 80 mwishoni na kwa bara la Africa mfumo huo ilingia miaka ya 90 na kuanzia kule Niger.
Mfumo Wa VICOBA una madhumuni...
Lishe ya antioxidant lycopene inayopatikana kwenye nyanya ina virutubisho ambavyo vina faida nyingi kiafya, ikiwa ni pamoja kupunguza hatari ya ugonjwa wa moyo, saratani na pumu. Pia ni chanzo...
Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni...
Hakimiliki ni utaratibu wa kisheria unaompa mmiliki wa kazi za akili haki ya kuamulia matumizi yake. Sheria za hakimiliki zinalenga kukinga watungaji wa kazi za akili dhidi ya matumizi ya kazi yao...
Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa.
Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia...
Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika...
Boresha huduma kwa wateja kwa kuongeza kasi ya kutoa huduma, kuchangamkia wateja, kuthamini muda na kutengeneza mazingira rafiki na mteja wako.
Toa bidhaa au huduma yenye ubora na inayoendana na...
Uhuru wa kujieleza ni haki inayompa kila mtu uhuru wa kutoa na kupokea maoni, kupokea na kutoa taarifa na mawazo bila kuingiliwa.
Uhuru wa kujieleza humfanya kila Mwananchi kuwa sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.