Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Unashauriwa kuharibu kwakuwa inaonesha jina la Benki, Namba nne za mwisho za namba ya Akaunti, kiasi kilichotolewa na kilichobaki.
Taarifa hizo zikifika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza...
Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu.
Ushirikishwaji...
Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi.
Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa...
Huwa ni msingi wa haki nyingine za kibinadamu.Ikiwa watu wana uhuru wa kujieleza wanaweza kusema pale haki zao nyingine zinapovunjwa na kuwawajibisha wavunja haki
Uhuru wa kujieleza husaidia...
Kupitia somo la Stadi za Kazi Wanafunzi hujifunza sanaa na shughuli mbalimbali za uzalishaji kama, uchoraji, ushonaji, mapishi, kilimo, ufugaji
Ni sanaa gani au ujuzi ulijifunza kutokana na somo...
1. Ongeza ulinzi kwenye 'accounts' zako mfano 'two factor authentication
2. Usimpe mtu password yako
3. Kuwa na tabia kusasisha 'update' tovuti unazotumia na akaunti zako za mitandao ya kijamii...
Wananchi kuhusishwa katika maamuzi ya Kiserikali husaidia kuwajengea uwezo wa kuchukua jukumu katika uundaji wa Sera nzuri na utekelezaji kwa maendeleo ya nchi.
Simba
Naashiria ukuu, nguvu, ujasiri, haki, na nguvu za kijeshi. Simba huonekana kama "MFALME wa Nyika," ni ishara ya nguvu na nguvu za kifalme. Kichwa cha Simba hutumika kuwakilisha ujasiri...
Kanuni za Maadili na Mienendo ya Utumishi wa Umma zinamtaka Mtumishi kutotoa taarifa au Siri za Mteja bila ruhusa maalumu
Kujadili taarifa za Wateja kwenye maeneo ya Umma kama Sokoni na kwenye...
Kifafa ni Ugonjwa unaoathiri mfumo wa fahamu na kusababisha mtu kupata degedege, kukakamaa, kuanguka au fahamu.
Kifafa kinaweza kuwa cha kurithi, kupata jeraha kubwa kichwani, magonjwa mengine...
Siku za kujifungua zinapokaribia ni muhimu maandalizi ya kumfikisha mjamzito Kituo Cha Afya yafanyike kwasababu kujifungulia Kituo cha Afya ni salama zaidi ya kujifungulia nyumbani.
Hakikisha...
Binafsi nadhani hii dhana ipo Afrika peke yake.
Sidhani kama mataifa ya Magharibi yalitumia hii dhana ili kukuza viwanda vyao,walianza kwa utafiti na ubunifu na sio kukaririshwa masomo darasani...
Hapa nchini, mara baada ya sheria ya hakimiliki ya mwaka 1966 kuthibitika kwamba ina upungufu mwaka 1999, Bunge lilitunga sheria mpya ya hakimiliki na hakishiriki, namba 7 ya mwaka 1999.
Sheria...
Kampuni ya Kitabibu ya Moderna imetangaza nia yake ya kuomba kibali cha kuthibitishwa kwa chanjo yake ya COVID-19 kwa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Marekani.
Moderna sasa inaungana na kampuni...
Mwalimu mkuu ndiye mwenye mamlaka ya kutoa adhabu ya viboko au mwalimu mwingine ambaye atakasimishwa na mwalimu mkuu kwa uangalizi maalum.
Tukio la viboko kwa mwanafunzi sharti liwekewe...
Sheria za Hakimiliki hulinda wamiliki zaidi ya zinavyolinda maisha yao. Kwa Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya Mtunzi wa mwisho kufariki
Wakati kipindi cha Ulinzi wa Hakimiliki...
Kuamini kuwa watu wanaokuzunguka wanatakiwa kujua unachotaka bila kuwaambia
Unataka watu wote kuwa kama wewe
Kufikiria kuwa unaweza kubadilisha mitazamo ya wengine
Kufikiria kuwa huwezi kuwa...
Hicho ulichokikosa kitakuwa na maana ndani ya miaka 10 ijayo?
Kitu hicho kina umuhimu gani ukilinganisha na vitu vingine kwenye maisha yako?
Ni funzo gani umepata kutokana na kuumizwa...
Sheria za hakimiliki kawaida hulinda wamiliki wa hakimiliki zaidi ya maisha yao. Katika nchi nyingine, kama Kanada, New Zealand na Tanzania, kazi zinalindwa kwa miaka 50 baada ya mwandishi kufa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.