Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Timu ya Chuo Kikuu cha Oxford iliyohusika kutengeneza chanjo ya Oxford-AstraZeneca Covid-19 imetengeneza chanjo dhidi ya malaria inayofikia kiwango cha juu cha ufanisi kwa 75% ya Shirika la Afya...
Ugonjwa huu husababishwa na vimelea mbalimbali vya makundi ya bakteria, virusi na fangasi.
Bakteria kama vile Beta-streptococci pneumoniae, Homophilus influenza, Virusi ni kama Herpes simple...
- Vidonda na mikwaruzo kwenye utumbo
- Kupata Minyoo
- Kuhisi kushiba muda wote, hivyo husababisha mwili kukosa virutubisho
- Kukosa haja kubwa au kupata haja kubwa ngumu, inaweza kupelekea...
Jaribu kubaki mtulivu, usijibu hata ikiwa unatamani kufanya hivyo
Kulipiza kisasi hakutasuluhisha shida, bali itampa mtu majibu anayotafuta
Chukua 'Screenshot' ya hilo chapisho ulilochafuliwa...
Linda Afya ya Moyo wako kwa kufanya yafuatayo;
Dhibiti matumizi pombe na sigara
Dhibiti uzito, fanya mazoezi
Kula mboga za majani na matunda kwa wingi
Dhibiti kiwango cha chumvi kwenye chakula
Nakala mbili za kazi yako ya sanaa;
Picha mbili za utambulisho(Passport size);
Nakala ya picha za utambulisho, Kitambulisho cha Kitaifa au cheti cha kuzaliwa;
Nakala ya picha ya utambulisho...
1. Katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na marekebisho yake ya 30th April 2000 yananipa haki zote kama raia halali wa Taifa la Tanzania kuwa na mawazo huru juu ya jambo lolote...
1. Kwa kutumia Wi-Fi moja, watu wanapojiunga na mtandao mmoja wa Wi-Fi mdukuzi ana uwezo wa kuingia kwenye mtandao huo na kupata taarifa zote za watumiaji.
2. Wadukuzi hutengeneza hotispoti za...
Iwapo Sheria ya Ulinzi wa Data itakuwepo Tanzania, Watanzania watafahamu taarifa binafsi kama jina, namba ya simu au mahali anapoishi anazozitoa anapoingia kwenye ofisi fulani, zinakuwa kwenye...
Ibara ya 8 ya makubaliano hayo imeweka malengo ambayo Watanzania wangenufaika nayo kama #Serikali ingekuwa imetia saini
Moja ya lengo ni: Kila #Taifa lazima lihakikishe linatengeneza sheria kwa...
Wateja wenye furaha huchochea kukua kwa brand yako kwa kiwango kikubwa. Jitahidi kutoa huduma bora kwa wateja. Picha|Lyfe Marketing.
Jitahidi kujenga mtazamo chanya kwa wateja juu ya biashara au...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha...
Haki hii imeibuka miaka ya hivi karibu kutokana na maendeleo ya teknolojia hasa kutokana na uhalisia kuwa intaneti inakusanya taarifa nyingi za watumiaji wake
Mataifa mengi yameanza kuitambua...
Unaponunua gesi ya kupikia, hakikisha imepimwa kwenye mzani na mtungi umefungwa lakiri (seal)
Kumbuka: Anayeuza gesi bila mzani wa kupimia anafanya kosa na faini yake ni Tsh 3,000,000/-
Sheria ya #UlinziWaData ambayo bado haipo nchini Tanzania ina umuhimu mkubwa kwasababu itasaidia kulinda data za mteja kama zifuatazo;
Majina ya Watu(Wateja kama ni kwenye Kampuni ya biashara)...
Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea.
Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka...
1. Zingatia urefu wa kichwa cha habari. Jitahidi herufi za kwenye kichwa cha habari zisizidi maneno 70.
2. Weka herufi kubwa katika kila mwanzo wa neno. Mfano, Njia 5 za Kulainisha Nywele.
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.