Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Mwanzo wa ukuaji wa watoto hutegemea mikakati au njia anuwai, ambazo mara nyingi hutegemea mazingira ya kucheza na kufurahi, hapa bila kutambua elimu ya sanaa hutolewa. Walimu wa watoto katika...
Takriban asilimia 80 ya ardhi inayotumiwa kwa kilimo Tanzania inatumiwa na wakulima wadogo wadogo wanaolima kwa ajili ya chakula.
Wakulima katika maeneo mengi ya Tanzania wanakumbana na...
Ushirikishwaji wa Wananchi katika upangaji na utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo katika Mtaa, hupelekea Wananchi kuwa na dhamana ya;
Kudhibiti Matumizi ya Rasilimali Katika Serikali...
Uhuru wa Mahakama unamaanisha kuwa kila Jaji au Hakimu yuko huru kuamua kesi iliyopo mbele yake kwa mujibu wa Sheria na ushahidi ulioletwa mbele yake, na katika kutekeleza majukumu hayo, hapaswi...
Ni mtendaji wa shughuli zote za Mtaa, Mtunzaji wa kumbukumbu zote za vikao pamoja na mali za Mtaa, rejesta ya wakazi wa Mtaa na barua zote. Mwajiriwa wa Halmashauri ya Mji, huwajibika kwa...
Utawala au uongozi sikivu ni ule unaosikiliza maoni, maombi au maswali ya wanaongozwa na kuyatolea ufafanuzi kwa namna na wakati sahihi.
Kufanya maamuzi kwa wakati bila kungoja na kutoa ahadi...
Ni wajibu wa polisi kushirikisha wananchi katika shughuli za ulinzi na usalama wao na Taifa kwa ujumla. Hatua hii imekuwa ikileta matokeo chanya kwani ushirikiano huu huibua uhalifu ambao...
Uongozi jumuishi ni moja ya misingi ya utawala bora ikiwa na maana kuwa, kuhusisha watu wa aina zote kwenye jamii kama wazee, vijana, wanawake, wanaume na walemavu kwenye kufaidika na mambo...
TAMS ni kifupi cha Tanzania Advocate Management System, mfumo unaomuwezesha mtu kutambua endapo wakili anaruhusiwa kufanya kazi za uwakili, amefungiwa, amehuisha leseni yake au la.
Ikiwa utatumia...
Kuwa karibu sana na Mama wa Mtoto(Mzazi) msaidie na toa muongozo sehemu inayoweza au unayotakiwa kufanya hivyo
Lazima uwe umejiandaa kumpokea Mtoto onesha kumuunga mkono Mama wa Mtoto na si...
Utafiti wa hivi karibuni uliofanywa na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Ulaya imeeleza umuhimu wa demokrasia kazini, ukionesha faida kwa wafanyakazi, kampuni na jamii kwa ujumla.
Utafiti umeeleza...
Kusitisha ajira maana yake ni kumalizika kwa mahusiano ya kikazi baina ya mwajiri na mwajiriwa au mfanyakazi, kusitisha ajira kihalali, kuachisha kazi isivyo halali, kusitisha kazi kwa...
Nini maana ya afya ya akili?
Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na...
Uhuru wa kushirikiana ni uwezo wa watu kuunda Vyama au Umoja mfano Umoja wa Waendesha Mabasi, Umoja wa Waendesha Bodaboda, Umoja wa Mama Lishe, Umoja wa Machinga, Vyama vya Wafanyakazi na...
Kujiua ni kitendo cha mtu kukatisha maisha yake. Tabia ya kutaka kujiua ni ile hali ya mtu kuchukua hatua zinazohusiana na kukatisha maisha yake. Mawazo na tabia ya kutaka kukatisha maisha...
Uwazi, Uingiaji, Usimamizi na Upatikanaji wa Mikataba na Taarifa katika Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi umebaki kuwa ni changamoto.
Hali hii inazuia wananchi kupata taarifa sahihi, na kwa...
Shida kubwa ya kupata kiasi kikubwa cha fedha isivyo halali (haramu) ni kwamba huwezi kuzitumia fedha hizo kwenye mazingira ya kawaida
Watu wanaojihusisha kwenye matukio ya kihalifu hawawezi...
Kuhamasisha wananchi kuhusu vita dhidi ya umaskini ni moja kati ya wajibu wa Diwani.
Katika kulitekeleza hili ni lazima ajue kwa ufasaha hali ya kiuchumi na kijamii inayowakabili wananchi wake...
Ubakaji ni moja ya makosa yaliyoainishwa kisheria chini ya makosa yanayofanywa dhidi ya utu.
Mwongozo wa Taifa wa Sekta ya Afya kuhusu huduma na Kinga dhidi ya Ukatili wa Kijinsia umeelekeza...
Hii ni kwa sababu Katiba ya JMT inampa haki mtu yeyote anapohisi au kuona haki yake ya Kibinadamu imeathiriwa na mtu mwingine au chombo chochote au Sheria yoyote, anaweza kufungua shtaka au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.