Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Wanawake wamekuwa wakikumbana na kebehi, matusi na hata vipigo kutoka kwa wakunga wakati wa kujifungua.
Utafiti uliofanywa na WHO ulibaini kwamba wanawake wenye umri mdogo, na walio na kiwango...
Chuo cha Basel kilifanya utafiti kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda na Rwanda) kuhusu Rushwa kwenye utoaji wa huduma ya afya.
Ilibainika tatizo hilo limetokana na kusuasua kwa...
Chunguza Maelezo ya Bidhaa. Chukua muda kusoma na kuelewa yaliyomo kwenye bidhaa unayotaka kununua. Usidanganyike na picha zilizohaririwa vizuri zinazoweza kupotosha muonekano halisi wa kitu...
U.T.I ni maambukizi katika njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, pia wadudu huathiri sana kibofu na yurethra
Jina U.T.I ni kifupi cha Urinary Track Infection. Jinsia ya kike...
Virusi vya Corona katika hatua ya mwanzo husababisha homa ya mapafu na kushindwa kupumua vizuri ambayo inaweza kusababisha madhara ya kudumu kwenye mapafu.
Lakini Covid-19 sio tu ugonjwa wa...
Maeneo ya ndani, haswa mazingira ambayo uingizaji hewa ni duni au hakuna hewa, ni hatari kuliko maeneo ya nje
Sehemu zenye msongamano na watu wengi kama maeneo ya masoko
Mahali ambapo watu...
Ingawa kila nchi ina muongozo wake wa Haki za Digitali, kuna miongozo ya jumla ambayo nchi zote zinafuata na ambayo ni:
Ulinzi wa faragha na data
Raia lazima wawe na udhibiti wa ni nani...
Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona.
Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine...
Mitandao ya kijamii imejitokeza na kuendelea kuwa vyombo vya kusambaza habari na taarifa mbalimbali na kwa mifumo mbalimbali. Ili kupata habari na taarifa zilizo sahihi, watumiaji wa mitandao ya...
Wataalam wa Afya wamekuwa wakisisitiza umuhimu wa kunawa mikono kama njia kuu ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya Corona kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine
Tunaponawa mikono tunaondoa vijidudu...
Haki za uzazi ni haki zinazomwezesha mwanamke mwajiriwa kutimiza majukumu yake ya uzazi na kufanya kazi au kuzalisha bila kubaguliwa, kubugudhiwa au kupoteza ajira.
Likizo ya uzazi ikiwa ni...
Kuchagua wazo la biashara ni jambo la awali na muhimu kulifanya kabla ya kuingia kwenye biashara husika. Hatua hii inahitaji umakini wa hali ya juu kwakua ukikosea hapa kitakachofuata ni kupoteza...
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOTANGAZA BIASHARA MTANDAONI
Jifunze na uitambue hadhira yako unayoilenga
Ikiwa huijui hadhira yako ni ipi, huwezi kuipa kile inachotaka, na kisha nayo haitakupa kile...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75%
Viti hivi vina nyenzo...
Watoto wenye umri wa miaka 5 kushuka chini hawatakiwi kuvaa barakoa
Hii ni kwa sababu ya usalama na uwezo wa mtoto kutumia barakoa ipasavyo bila msaada wa mtu mzima.
WHO na UNICEF wanashauri...
Tafiti zinaonesha kuwa virusi vya Korona haviambukizwi kupitia njia ya kunyonyesha
Hivyo mama aliyethibitika au kuhisiwa kuwa na Virusi vya Korona anaweza kuendelea kunyonyesha mtoto wake...
USAWA: Ni hali ya kuwapatia wananchi wote fursa sawa katika kushiriki kwenye mambo yanayohusu jamii yao.
Usawa katika utendaji unahusisha mambo yafuatayo:
• Kutoa huduma bila ubaguzi au...
Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni
Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 100,000 mwekezaji huyu...
Glovu zinazotumika mara moja huvaliwa katika kazi za kitabibu. Glovu hizi hazina ufanisi katika maisha ya kila siku katika kujikinga na Korona.
Usivae glovu katika mazingira ya kawaida kila siku...
Wafanyakazi wa afya katika mazingira ya kliniki
Mtu yeyote anayesubiri matokeo ya vipimo vya Korona au ambaye amekutwa na Virusi vya Korona.
Watu wanaomhudumia mtu anayeshukiwa au kuthibitishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.