Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
  • Closed
Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Irekebishe Sera ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ili ijumuishe kifungu ambacho kinaruhusu Wanafunzi waliojifungua kuendelea na elimu yao. Irekebishe Kanuni Na. 4 ya Kanuni ya Elimu (Kufukuzwa Shule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Pumu au ‘asthma’ ni moja kati ya magonjwa hatari sana yanayoathiri mfumo wa upumuaji ambao huathiri takriban watu million 130 duniani kote. Ingawa hakuna sababu ya moja kwa moja ya kupelekea...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Inakadiriwa kuwa takriban Watoto Milioni 15 wanazaliwa kabla ya Wakati kila mwaka Duniani kote Watoto Milioni 1 waliozaliwa kabla ya Wakati au wakiwa na uzito wa chini hufariki Dunia kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Vaa barakoa mara kwa mara unapokuwa na watu wengine au unapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu Nawa mikono yako mara kwa mara kwa maji tiririka na sabuni Epuka kusalimiana na watu kwa kushikana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Upvote 0
2 Votes
  • Closed
Mwekezaji anayetaka kununua hisa atafuata taratibu zifuatazo: a) Kuwasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kununua hisa b)Kujaza fomu maalum za kununua hisa na kulipia...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 2
2 Votes
  • Closed
Mwekezaji anayetaka kuuza hisa atafuata taratibu zifuatazo: Wasiliana na dalali wa soko la hisa na kumweleza kusudio lako la kuuza hisa Kabidhi hati yako ya umiliki wa hisa kwa dalali. Dalali...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Upvote 2
0 Votes
  • Closed
Vyombo vya habari huru humaanisha kuwa hakuna mtu anayepaswa kudhibiti na kushawishi utangazaji wake wa habari. Hakuna mtu anayepaswa kuviambia vyombo vya habari ni nini kinachoweza kuingizwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Viongozi wa dunia wameahidi kutokomeza ukeketaji ifikapo mwaka 2030, lakini wanaharakati wanasema utamaduni huo hatari na uliopitwa na wakati bado umekita mizizi katika maeneo mengi. Tarehe 6...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ukeketaji umejikita kwenye kanuni na taratibu za kijamii, imani za kiutamaduni na vichocheo vya kiuchumi. Ukeketaji unaonekana kutumika kama njia ya kudhibiti ashki ya kujamiiana kwa wanawake, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
2 Votes
  • Closed
Haki za watu wenye ulemavu: 45.-(1) Mtu mwenye ulemavu anastahiki, kuheshimiwa, kutambuliwa na kutendewa kwa namna ambayo haishushi utu wake Kupata elimu kwa kutumia vifaa maalum na kushiriki...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 2
0 Votes
  • Closed
Sera mpya ya faragha ya WhatsApp imesheheni maneno 8,000 ambayo yameandikwa wa lugha ya kisheria (ngumu kueleweka kwa mtu wa kawaida) Sera imeeleza kuwa taarifa za watumiaji wa WhatsApp...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Mahitaji ya ardhi yameongezeka wakati wawekezaji wanatafuta maeneo ya kupanda chakula cha kuuza nje, au kukuza nishati ya mimea, au tu kupata faida. Hii hupelekea unyakuaji wa ardhi kutoka kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Toleo la awali ni mauzo ya hisa na dhamana kwa umma kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kukusanya mtaji. Kwa lugha nyingine inajulikana kama IPO (Initial Public Offer) Mauzo hayo yana kipindi chenye...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) ni taasisi ya serikali iliyo chini ya Wizara ya Fedha na Uchumi iliyoanzishwa na Sheria ya Masoko ya Mitaji na Dhamana ya mwaka 1994 ili kusimamia na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Kinywa kutoa harufu mbaya huweza kuwa kero kwako binafsi au kwa watu wanaokuzunguka. Visababishi vya harufu mbaya kinywani ni kama vifuatavyo:- Aina ya vyakula Vyakula jamii ya vitunguu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ugonjwa wa Alzheimers ( Ugonjwa unaharibu kumbukumbu) ndio sababu kubwa ya shida ya akili. Kati ya 60% -80% ya watu walio na shida ya akili wana #Alzheimers Magonjwa ya upungufu wa Neva na shida...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Kutelekeza watoto hufafanuliwa kama "aina ya unyanyasaji ambao unamaanisha kutompa mtoto huduma ya malezi inayohitajika na inayostahili kulingana na umri wa mtoto ingawaje kifedha mlezi au mzazi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Uraghbishi ni falsafa yenye lengo la kuingia kwenye jamii kwa urahisi zaidi kwa kuamini kwamba jamii inafahamu zaidi matatizo yanayowakabili, sababu zake na jinsi ya kuweza kutatua matatizo yao...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Mabibi na mabwana kutofautiana kimawazo hakujawahi kuwa dhambi. Kutofautiana kwa mawazo ndiyo uthibitisho rasmi wa kuwa tu binadamu hai na timamu. Kutofautiana kimawazo ni muhimu mno kwa...
0 Reactions
5 Replies
754 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom