Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Umuhimu wa kunyonyesha kwa mama ni kama ifuatavyo:-
Mama anayenyonyesha huepukana na adha za uzazi na kurejea katika hali yake ya kawaida kwa haraka na kirahisi. Hii ni kutokana na Homoni za...
Kunyonyesha, pia inajulikana kama uuguzi, ni kumlisha mtoto maziwa kutoka kwenye titi la mama. Shirika la Afya Ulimwenguni linapendekeza unyonyeshaji uanze ndani ya saa ya kwanza ya maisha ya...
Sheria za Kimataifa zinaruhusu mtuhumiwa na Raia wa Nchi moja kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine tofauti na Nchi yake.
Ili Mtuhumiwa aweze kuhamishwa kwenda kuhukumiwa Nchi nyingine ni Lazima kuwepo...
Ukatili kwa mwanamke mjamzito ni jambo la hatari kwani huongeza hatari ya kuharibika kwa mimba, uchungu wa kabla ya muda na kujifungua #MtotoNjiti au mwenye uzito pungufu.
Katika maeneo ya kazi...
Mtu anaweza kwenda Mahakamani na Kumshitaki mtu mwingine ambaye anamsababishia usumbufu katika Eneo lake la Makazi au la Kazi.
Usumbufu huo unaweza kuwa Kelele, Harufu, takataka, au aina nyingine...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977
Inaitaka Serikali kuwajibika kwa watu wake katika maswala yote yanahusu maslahi ya watu hao.
Aidha Katiba hiyo pia inaweka ukomo kwa...
Ili mtu aweze kufanikiwa Katika Kumshitaki mtu mwingine kwa Usumbufu lazima aweze kuthibitisha vitu viwili:-
1. Uwepo wa usumbufu uliokuwa kinyume na sheria au usiokuwa na sababu za msingi.
2...
IBARA YA 15
Ni marufuku kwa mtu yeyote kukamatwa, kufungwa, kufungiwa, kuwekwa kizuizini, kuhamishwa kwa nguvu au kunyang’anywa uhuru wake vinginevyo, isipokuwa tu:-
a) Katika hali na kwa...
Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13)
Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu...
Upangishaji wa nyumba au chumba unaendeshwa na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 , ambapo sheria hiyo imetaja wahusika wawili tu katika upangishaji.
Wahusika hao ni mpangaji na mpangishaji, sheria...
Kujiua ni kitendo cha mtu kukatisha maisha yake. Kwa mujibu wa American Foundation for Suicide Prevention, kujiua ni sababu ya 10 ya vifo duniani. Tabia ya kutaka kujiua ni ile hali ya mtu...
Kanuni ya adhabu inaeleza kuwa iwapo kosa limetendwa, kila mmoja wa watu wafuatao atahesabiwa kwamba ameshiriki katika kutenda kosa hilo na atakuwa na hatia juu ya kosa hilo na anaweza kushtakiwa...
Baada ya Serikali Kutangaza kuwa Wasafiri wote wanaokwenda nje ya Nchi wanapimwa maambukizi ya #CoronaVirus kwa gharama ya Dola za Kimarekani 100 ambazo ni sawa na Tsh. 231,900
Kupitia mitando...
Sheria ya Mikataba inabainisha kuwa wakati ambapo mkataba unakuwa umevunjika, mhusika ambaye ameathirika na uvunjwaji huo anastahili kupata fidia ya hasara iliyojitokeza kutoka kwa aliyesababisha...
Lengo hili linahusu kuongeza kipato cha watu waishio kwenye umaskini na kuhakikisha wanapata huduma za msingi na kumlinda kila mtu kuepukana na majanga.
Hivyo basi, Serikali za Mitaa zina jukumu...
Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :-
Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano,
ambavyo vitakuwa vya aina na majina...
Makubaliano yote ni mikataba kama yatakuwa yamefanywa kwa hiari na watu wanaostahili kufanya makubaliano, kwa malipo ya kitu halali na ambayo hayajatajwa waziwazi na sheria hii kuwa ni batili...
HAKI ZA BINADAMU
Hakiki za binadamu ni stahili alizonazo kila binadamu kwa asili ya kuwa binadamu.
Chanzo kikuu cha haki za binadamu nchini Tanzania ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
Mikataba mbalimbali ya kimataifa, bara na kanda inalinda tasnia ya habari, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu kutoingiliwa na Serikali. Mikataba hiyo inaweka wajibu kwa Serikali...
Kanuni ya Ushirika ni kanuni iliyowekwa katika Ibara ya 7(1) (d) ya mkataba wa Uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Treaty, 2007) inayotaka maamuzi yoyote ya Jumuiya yaanzie ngazi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.