Stories of Change 2022

Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya

JF Prefixes:

0 Votes
  • Closed
Joto la mwili kupungua (hypothermia) #MtotoNjiti huwa anapoteza joto kwa haraka zaidi Ni lazima kuhakikisha anatunzwa vizuri kwa kutumia njia kama vile kumfunika nguo, kumweka katika mashine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Upvote 1
1 Vote
  • Closed
Mgawanyo wa madaraka ni mgawanyo wa majukumu ya serikali katika matawi tofauti ili kuzuia tawi moja kutekeleza majukumu ya msingi ya lingine. Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania imeeleza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za Msichana ambapo asipopata matibabu ya kisaikolojia uwezekano wa kufanya ukatili akiwa mtu mzima ni mkubwa Mimba ina madhara mengi zaidi, Msichana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Mlo kamili (balanced diet) ni muhimu kwa ajili ya maendeleo mazuri ya afya ya mjamzito na mtoto tumboni na kumuepusha na hatari ya kujifungua #MtotoNjiti Pamoja na mlo kamili, mjamzito hupewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Ili kusitisha ajira kuwe kwa halali mbele ya sheria ni lazima kuwe na misingi na kufuata taratibu zilizoainishwa. Mwajiri anahitajika kua na sababu za halali na za haki za kusitisha ajira. Mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 0
0 Votes
  • Closed
Rushwa ni fedha au kitu chochote chenye thamani kinachotolewa na kupewa mtu mwenye madaraka juu ya jambo Fulani ili mtoaji apate upendeleo. Kwa mujibu wa Sheria ya kuzuia na kupambana na Rusha...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Upvote 0
3 Votes
  • Closed
Kwa mujibu wa Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kifungu cha 26 (1) inaeleza kuwa baada ya wazazi kutengana au kuachana (kwa kuzingatia masharti ya sheria ya ndoa) mtoto atakuwa na haki zifuatazo:-...
3 Reactions
0 Replies
4K Views
Upvote 3
2 Votes
  • Closed
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika ibara ya 4(3) imeeleza kuwa kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za umma Katika Jamuhuri ya muungano na kwa ajili ya madaraka juu ya shughuli...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Upvote 2
3 Votes
  • Closed
Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni? Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Upvote 3
4 Votes
  • Closed
Kifungu cha 71 cha Kanuni za Uchaguzi 2020 (Uchaguzi wa Urais na Ubunge) kinaeleza kuwa:- Kutokuwepo kwa wakala au wagombea wakati wa upigaji au kuhesabu kura hakuwezi kubatilisha mchakato huo.
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Upvote 4
2 Votes
  • Closed
Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako? Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Upvote 2
2 Votes
  • Closed
Kifungu cha 52(2) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge), 2020 kinaeleza kuwa: Endapo wakala wa upigaji kura hatoridhika na maandalizi ya kituo cha upigaji kura atatakiwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Upvote 2
1 Vote
  • Closed
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Serikali kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya Latvia(KNAB) na Taasisi ya Uwazi ya Kimataifa (Delna) wameanza kampeni ya kuongeza uelewa kwa wananchi kuhusu masuala ya...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Upvote 0
2 Votes
  • Closed
Katika nchi nyingi, sheria za jinai na kiutawala zinakataza aina mbalimbali za vitendo vya rushwa. Mkataba wa UN dhidi ya Ufisadi (UNCAC) unafafanua tabia ya jinai ambayo mataifa yaliyosaini...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Upvote 2
4 Votes
  • Closed
Back up ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili hata akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata tena Kuna majukwaa mengi yanayotoa...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
Upvote 4
0 Votes
  • Closed
SHERIA YA USALAMA BARABARANI YA 1973 INAELEZA NINI KUHUSU MWENDOKASI? Kifungu cha 51 (8) kinatamka pamojanna mambo mengine (a) Katika maeneo ya makazi mwendokasi usizidi kilomita 50 kwa saa (b)...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Upvote 0
1 Vote
  • Closed
Mtoa taarifa ni mtu yeyote ambaye anafichua mabaya yanayofanywa kwenye jamii kwa kuzingatia miongozo ya Sheria ya mtoa taarifa na shahidi ya mwaka 2015. Kifungu cha 4 (1 )cha sheria hiyo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Upvote 1
0 Votes
  • Closed
Unastahili matunzo, mapenzi na uangalizi sawa na ya mtoto wako tarajiwa. Huduma hizi zitakusaidia kudhibiti matatizo ya afya unayoweza kuwa nayo na kukukinga dhidi ya kisukari cha ujauzito pamoja...
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Upvote 0
Back
Top Bottom