Awamu ya Pili. Nyanja: Maudhui yakilenga maeneo ya Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya
Kwa mujibu wa kifungu cha 60(1) cha Kanuni za Chaguzi za Taifa ( Uchaguzi wa Rais na Wabunge) endapo mchakato wa kupiga kura utaingiliwa au kuharibiwa na vurugu na bado kuna wapigaji kura...
Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi ya Taifa Kifungu cha 72, kifungu kidogo cha kwanza kinaeleza kuwa:- Hakuna mtu yeyote zaidi ya wafuatao anatakiwa kuwepo wakati wa kuhesabu kura ,
a) Msimamizi wa...
Kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za 2020 Kifungu cha 68 kifungu kidogo cha kwanza; Tume ya Uchaguzi baada ya kupokea matokeo ya awali ya Urais yatayoletwa kwao na wasimamizi wa Uchaguzi, baada ya...
Habari wanaJF,
Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Ni vyema ukafahamu yafuatayo:
Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri...
Kifungu cha 70(1) cha Taratibu za Uchaguzi 2020 kinaeleza kuwa:- Kila Chama cha Siasa ambacho kinashiriki Uchaguzi wa Wabunge ambao utafanyika baada ya kuvunjwa kwa Bunge kitapendekeza na kupeleka...
Kwa mujibu wa kifungu cha 68 na 69 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343 na kifungu cha 69 na 70 cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292, kituo cha kupigia kura...
MAKOSA YA UCHAGUZI
Kwa mujibu wa kifungu cha 89A cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, sura ya 343 na kifungu cha 88A cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, sura ya 292, Maafisa Uchaguzi...
Tanzania’s election is scheduled for October 28, and although there are 15 parties in contention only two have any real chance of victory.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), the ruling party since...
Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara...
Utaratibu wa Kupiga Kura
(i) Mpiga Kura atatakiwa kwenda na Kadi yake ya kupigia Kura Kituoni na kumpa Msimamizi Msaidizi Na. 1 wa Kituo;
(ii) Msimamizi Msaidizi Na. 1 wa Kituo atasoma kwa sauti...
Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya...
Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi kifungu cha 58 kifungu kidogo cha 1, sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila...
Mgombea Kujitoa
Kwa mujibu wa Kifungu cha 48 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, Mgombea anaweza kujitoa kugombea kwa kuwasilisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi yeye mwenyewe barua ya kujitoa...
Orodha ya wapiga kura kwa kila kituo itabandikwa siku nane (8) kabla ya Siku ya Uchaguzi ili wapiga kura walioandikishwa wapate fursa ya kutambua vituo watakavyopigia kura.
Vilevile, Tume...
Mambo yanayotakiwa Kufanywa na Vyama vya Siasa Mambo yanayotakiwa kufanyika wakati wa upigaji kura mpaka kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi ni pamoja na-
(a) vyama vya siasa na wagombea...
Eneo hilo lililopo Kaskazini mwa Jiji la Sydney nchini Australia limekuwa likijulikana kama 'Mlima Unaoteketea'. Kwa asili inaaminika kuwa mlima huo ni wa volkano lakini moshi unawaka...
Ufafanuzi huu ni kwa mujibu wa kifungu cha 57 (1) na (2) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, na kifungu cha 58 (1) na (2) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292
Chama...
Zifuatazo ni njia zinazotumika ili kuhakikisha kuwa mtoto anawekwa katika mazingira ambayo yatamwezesha kuishi vizuri.
Kuhakikisha ngozi ya mtoto inakuwa imegusana na ngozi ya mama ( skin to...
Madaktari kutoka Hongkong wametoa matokeo ya utafiti waliofanya kwa waliopona #COVID19 na kugundua athari ya udhaifu wa mapafu
Wakati wakitahadharisha kuwa ni mapema sana kufanya hitimisho la...
Mfumo wa Uchaguzi Kwa Mujibu wa Jarida la Tume ya Taifa ya Uchafguzi Tanzania Ukurasa wa 8
Tanzania inatumia mfumo wa uchaguzi ambao mgombea anayepata kura nyingi halali kuliko mgombea mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.